Zamani Hakukuwa na Technology kama sasa, IDF wanakufa kindezi kweli, ukiona Video za Hamas unaona kabisa hamna kitu pale, kila baada ya siku 2 ama 3 Hamas wanatoa Video wakionesha makumi ya Vifaru yalipuliwa.

Mfano hii video ya Juzi
View attachment 2820779

Ukiangalia hio video Hamas hapati upinzani wowote, wanatega tu sehemu wanawalipua IDF wanasepa.

IDF wanabakia tu kuua vizee na Vitoto mpaka leo hawajui Hamas wanatoka wapi.
IOF ilishiriki video nyingine ya propaganda inayodaiwa kuonyesha maendeleo yao ndani ya Ukanda.

Ninachokiona ni makomando wa Kiisraeli wakifyatua risasi kwenye kuta tupu, nyumba, na ardhini katika kujaribu kuwashawishi watu wao kwamba jeshi lao linashiriki katika mapambano ya ardhini yenye mafanikio.
😂
 
Wanaukumbi.
Ripoti kwamba Jeshi la Iran limejiweka tahadhari na kuanzisha mazoezi makubwa ya kijeshi lipo tayari kwa vita kuanzia sasa hivi.
==========================
BREAKING: Reports that Iran's Armed Forces raised their alert level and launched a large military exercise.



Source: Israel Today.
 
Zamani Hakukuwa na Technology kama sasa, IDF wanakufa kindezi kweli, ukiona Video za Hamas unaona kabisa hamna kitu pale, kila baada ya siku 2 ama 3 Hamas wanatoa Video wakionesha makumi ya Vifaru yalipuliwa.

Mfano hii video ya Juzi
View attachment 2820779

Ukiangalia hio video Hamas hapati upinzani wowote, wanatega tu sehemu wanawalipua IDF wanasepa.

IDF wanabakia tu kuua vizee na Vitoto mpaka leo hawajui Hamas wanatoka wapi.
Wajinga mpo wengi sana.
 

Attachments

  • FB_IMG_1699462240284.jpg
    FB_IMG_1699462240284.jpg
    84.1 KB · Views: 2
Guys tuacheni utani na ushabiki pembeni to be honestly IDF nanga waliyoingia hapo Gaza hawatoki salama.

Haki IDF wanakwisha huko Gaza hebu imagine kwa siku wanauliwa si chini ya 30 mpaka 40 na majeruhi ndo usipime

Hadi sasa Israel keshakula hasara nzito sana kiukweli tuache utani na masihara na ushabiki pembeni hawa jamaa wanafutwa kama kuku huko Gaza

Na ndo maana nahisi wenyewe wameanza kuomba #ceasefire vita imekua ngumu sana kwao!! sasa hii vita ikiendelea hivi si watakwisha wote hao jamaa?

Kusema kweli kuna saa nahisi Hamas labda sio binadam wa kawaida,maana jamaa hata sijui wana utaalam gani maana jamaa wameshindikana kwenye vita halafu wana mbinu nyingi sana.

Mfano jana wamerusha maroketi makumi kwa makumi rockets ambazo Israel wanakiri tokea vita imeanza hawajawahi kufurumushiwa nyingi kwa mpigo kama jana.

Na hapo Israel alikua ashajiganga kuwa nguvu ya maroketi ya Hamas ndo basi tena tokea waingie Gaza jana wakapata suprise hadi Israel wanajiuliza hawa jamaa wanazirusha kutokea wapi

Gaza imezingirwa kuanzia angani nchi kavu na baharini lakini bado wanaume wa Hamas wanajitutumua wanajitunisha misuli mbele ya dola linalofadhiliwa kila kitu,imagine Hamas wangekua na hata kifaru kimoja tu huko Telaviv pangekalika?Israel pamoja na propaganda na kubebwa lakini still hamna kitu ushoga ni mbaya sana unalegeza mtu hawezi kupigana kabisa ona sasa aibu hizi kwa IDF

Kama nchi tuna ya kujifunza kwa Hamas pamoja na mzingiro mkali na vikwazo kwa miaka 16 still bado wana nguvu na wanatengeneza silaha na vitu kibao sisi miaka 60 ya uhuru hatujaweza kila kitu tunaagiza nje.

Kwa hali ya sasa ikiendelea Waisrael wote wataishia kufia Gaza kiukweli sio kwa wanavyouliwa kama kuku..

UKWELI HUWA UNAUMA SIKU ZOTE.
 
Pole Sana,zipo nyingi mno hizo,mpaka netanyahu kakubali kukaa mezaninna Hamas ujue mambo yamefika shingoni
Hebu tuambie zinaonyeshwa na channel gani? Lini Netanyahu amekubali kukaa mezani na Hamas?

Mimi nimeona BBC kiongozi wa Hamas akieleza jinsi Qatar ilivyofanikisha mazungumzo ya kusitishwa mapigano kusini mwa Gaza na kuachiwa Wapalestina zaidi ya 300 kwa kubadilishana na mateka wa Israel.
 
Back
Top Bottom