Mkutano wa hadhara wa CHADEMA Sumbawanga ulikuwa wa kumpamba Mbowe kugombea Uenyekiti

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,973
50,687
Hello 👍👍

Jana CHADEMA walikuwa na Mkutano wa Hadhara Sumbawanga, cha ajabu Mkutano ulikuwa wa Kumpamba Mbowe Ili aendelee kuwa Mwenyekiti na kwamba anatosha huku wakiacha kunadi sera zao.

Mbowe naye kama kawaida yake aliishia kumponda na kumtukana Mwendazake Kwa kile alichoita kwamba anatokea Mwendazake wazimu mmja anazuia furaha ya Watanzania na hivyo Mungu akafanya yake. 😁😁

CHADEMA punguzeni manung'uniko na makasiriko jengeni hoja naona watu wanawa-zoom tu.

Hello 👍👍

Jana Chadema walikuwa na Mkutano wa Hadhara Sumbawanga, Cha ajabu Mkutano ulikuwa wa Kumpamba Mbowe Ili aendelee kuwa Mwenyekiti na kwamba anatosha huku wakiacha kunadi sera zao.

Mbowe naye kama kawaida yake aliishia kumponda na kumtukana Mwendazake Kwa kile alichoita kwamba anatokea Mwendazake wazimu mmja anazuia furaha ya Watanzania na hivyo Mungu akafanya yake. 😁😁

Chadema punguzeni manung'uniko na makasiriko jengeni hoja naona watu wanawa-zoom tu.

Na wewe punguza wivu mwendazake akinangwa.
 
Back
Top Bottom