Yanayojiri Bunge la Katiba leo tarehe 5 Machi, 2014

Kama angekuwa jembe au kichwa basi tusinge shuhudia kasoro kibao ktk kanuni za bunge zinazo endelea kujadiliwa hivi sasa,makosa kibao ya kisheria ktk rasimu ya kanuni za bunge, Hilo jembe lako mbona halijalima ipasavyo?!!!! Hamna kitu mbwembwe tu.
 
Leo hata mimi nimemkubali kumbe akiachana na unazi wa siasa akiwa anazungumzia sheria au vitu vyenye element hizo bila ya siasa anageuka mwelevu ghafla. Kweli siasa si uwanja wa wana taaluma Lissu mfano.
 
Kama angekuwa jembe au kichwa basi tusinge shuhudia kasoro kibao ktk kanuni za bunge zinazo endelea kujadiliwa hivi sasa,makosa kibao ya kisheria ktk rasimu ya kanuni za bunge, Hilo jembe lako mbona halijalima ipasavyo?!!!! Hamna kitu mbwembwe tu.

siyoo buree kuna mtu anakupapasa nyuma..
 
jaman kama mtu kafanya vizuri apewe sifa zake sio mpaka afe ndo tuseme, ila wengne wataponda kwa ushabiki wa chama, kweli amefanya poa na anastahili pongez san.
 
jaman kama mtu kafanya vizuri apewe sifa zake sio mpaka afe ndo tuseme, ila wengne wataponda kwa ushabiki wa chama, kweli amefanya poa na anastahili pongez san.
Unajua mkuu watu wanashangaza sana. Kazi anayoifanya Lissu ndani ya ile kamati nadhani ndiyo iliyoleta hata amani kidogo ndani ya Bunge hilo katika utenyenezaji wa kanuni. Lissu amewapinga hata wabunge wa chama chake na kuwapa somo katika badhi ya kanuni kwa upole na utaratibu kama anavyofanya kwa wengine.
Tatizo huku nje tunafanya mambo yote ni kama ushabiki wa Simba na Yanga kwamba hakunacnayekubali kuwa mchezaji wake yuko chini ya kiwango na mwingine yuko juu. Siku zote chake ndio bora.
 
Back
Top Bottom