Yanayojiri Arumeru: Kamata kamata PCCB yaendelea, Mwigulu meneja wa Chadema na Helikopta

Ikiwa CCM inataka kujipima kisiasa vizuri basi ni lazima iache wizi ili ione hali ikoje. Ni dhahiri Arumeru kutachimbika.
 
Tusubiri tuone..tar 1 siyo mbali!
Naona baada ya kutelekezwa na Nape muda mrefu bila malipo hadi ukahamia kwenye jukwaa la CHIT CHAT kuchekacheka na mademu wa JF kutwa nzima Mzee Mzima Rejao umerejea kwa kasi sana kula hela za CCM kwa propaganda zako. GoodLuck broda
 
Mkapa + Mwigulu, ushindi lazima.

CDM sioni sababu ya viongozi wote kuanzia mwenyekiti, katibu mpaka viongozi wa kada za chini kwenda kujikusanya Arumeru. Haya ni matumizi mabaya ya fedha za chama.
Wachagueni wawakilishi wachache mnaoamini wanaweza kuwaletea ushindi.

Rejao,unapaswa kuelewa kwamba pale arumeru CDM si tu inapambana uso kwa uso na kikosi kamili cha ufisadi nchini.Lakini pia CDM inapambana na chama cha siasa ,serikali yake yoote pamoja na uhasama wake wa Taifa
Kama wao wanashimdwa kuwaacha wazee wastaafu kama mkapa apumzike kwa nini unawashangaa CDM kuweka timu yake yote pale wakati unaelewa ni muhimu kwao sasa kuwa pale ili kuhakikisha hawarudii kosa kama awali..jambo llilo wapa ccm nafasi ya kuchakachua matokeo.
 
Rejao=Ke_ge
 
Mkapa bado ana deni letu (Kiwira Coal Mines) na pesa walizokopa CRDB, hivyo si ajabu kumsikia anahaha kuipigania kambi ya EL kumbuka 'birds of the same feathers flocks together'. Mwigulu ni ka fisadi in the making, he'll pass through RA's paths and ways kwa kutumia pesa za chama kama mali yake. Sijawahi kusikia ni lini CCM waka audit heasabu zao.
Bila kutumia ghiliba za Igunga (kutumia Bakwata, Green Guards etc) magamba bado wana kai ngumu kule Arumeru,nasikia hakuna hata msikiti kule.
Igunga wakala wa CDM aliuawa, magamba wajaribu basi kuua tena waone.
 
formation ni kama iliyotumika arusha mjini tunapanda pamoja tunashuka pamoja tunakomaaanao katikati kamanda lema anahitajika pande hizo na ushindi lazima
 
CCM hawana chao kule, na huyo SIOI, ni mgeni kabisa katika siasa za hapa Tanzania sidhani kama ataweza kuhimili mikiki mikiki yake...
Lets wait...
 
Rejao=Ke_ge

Pesa atakayotumia mkuu wa kampeni chichi 'M' ni mara2 za wale wa CDM,TENA WA CDM huchangiwa na wanachama wapenzi, wanazi na Mungu wa haki.SASA PATA JAMII YA GREAT THINKERS KAMA ARUMERU, CDM NI KAMA SIMBA KUISUBIRI KIYOVU[CDM SIMBA VS CCM KIYOVU]
 
Mnaijua nginja nginja mpaka baharini? Chadema kila siku mnatandaza sana kandanda but mwisho wa siku mnapigwa bao,na hivo ndo itavyotokea,mtaishia kumlaumu Refa! Chezea mkwe wa Edo nyie!!
 
hii inaonyesha cdm yote inawathamini watu wa meru!!
Mkuu matumizi mabaya ya fedha ni kuwalisha watu pilau pale kirumba.
Hii haionyeshi kuwathamini wananchi bali nidhamu ya woga! Kama mtu wenu ni mzuri, haitaji mass support!

jiandaeni tena kudhalilika kama Igunga na Uzini!
 
Pilipili usiyoila yakuwashiani? Mmmesahau mlivyoiba pesa ya Kagoda BOT ili mshinde na mpaka leo mwashindwa kumpeleka Rostam Mahakamani, Nyie CCM ni mijizi iliyokubuhu na hamna huruma kwa watanzani na yafaa mg'olewe kama daktari anavyotoa saratani kwa mgonjwa wake
Kheeeee! Wapi CCM imeiba hela BOT?
Kama una ushaidi ipeleke mahakamani!
 
Nitashangaa CDM wakishindwa uchaguzi huu kwa namna yeyote! Kwanza Mgombea ubunge wa CCM hajazoea mikiki ya siasa kama wa CDM na hata uwezo wa kujenga hoja zilizokomaa Nassari ni mzoefu.Pili Mkapa anaekwenda kumpigia debe Sioyi ana kashfa lukuki kama Chadema wakianza mapema kuanika yote tena bila Aibu Mkapa atanywea,Tatu tycoon wa uchaguzi wa Arumeru ni EL ambaye na yeye hasafishiki na uozo wake ukianikwa vizuri kwisha kabisa.Siyoi hawezi kushinda bila akina EL hivyo ukitaka mifugo watawanyike piga mchungaji wao! Tatizo la CDM siku hizi toka wadanganywe kuwa eti hawana lingine zaidi ya ufisadi nao kelele zimepungua hadi Mkapa na El wanapata ujasiri wa kupambana nao majukwaani! Akina Dr Slaa,Lisu,Mbowe,Mnyika,Zitto,Mdee na wengine waumbueni hasa hao mafisadi hadi wakimbie huku mkiwaeleza wana Arumeru mtawafanyia nini!! Narudia tena Chadema mkishindwa Arumeru hata kama mtaibiwa kura mchana kweupe ndio Kifo rasmi cha upinzani kukamata dola! Ni wajibu wenu kudhibiti kila hila kwa mbinu zote! Nawatakia kheri!
Hauna cha kushangaa..CDM hawana ubavu wa kushinda Arumeru! Umesikia lini CDM wameshinda kwenye chaguzi ndogo?
Wananchi wa Arumeru wana akili, hawataki yawapate ya Arusha mjini. Hawataki kumsikia kabisa Lema na kundi lake CDM.
CDM hawana ubavu wa kuongea chochote kuhusu EL na Ben..wote ni wakr....!
 
Mkapa + Mwigulu, ushindi lazima.

CDM sioni sababu ya viongozi wote kuanzia mwenyekiti, katibu mpaka viongozi wa kada za chini kwenda kujikusanya Arumeru. Haya ni matumizi mabaya ya fedha za chama.
Wachagueni wawakilishi wachache mnaoamini wanaweza kuwaletea ushindi.

Rejeo,CDM si kama ccm, hiki ni chama cha ukombozi; we uliona wapi saa ya ukombozi mwenyekiti, katibu na viongozi wengine wanabaki nyuma? acha makamanda wafanye kazi!!!
 
Naona baada ya kutelekezwa na Nape muda mrefu bila malipo hadi ukahamia kwenye jukwaa la CHIT CHAT kuchekacheka na mademu wa JF kutwa nzima Mzee Mzima Rejao umerejea kwa kasi sana kula hela za CCM kwa propaganda zako. GoodLuck broda
Chit Chat nimekuwepo miaka yote since najoin JF..
Mimi ni mtu wa watu, so kuwepo kule kusikuumize sana!
 
Rejao,unapaswa kuelewa kwamba pale arumeru CDM si tu inapambana uso kwa uso na kikosi kamili cha ufisadi nchini.Lakini pia CDM inapambana na chama cha siasa ,serikali yake yoote pamoja na uhasama wake wa Taifa
Kama wao wanashimdwa kuwaacha wazee wastaafu kama mkapa apumzike kwa nini unawashangaa CDM kuweka timu yake yote pale wakati unaelewa ni muhimu kwao sasa kuwa pale ili kuhakikisha hawarudii kosa kama awali..jambo llilo wapa ccm nafasi ya kuchakachua matokeo.
Arumeru kuna Mwigulu na Mkapa tu, tena mkapa anaenda tu kwenye ufunguzi, kazi yote inabaki kwa Mwigulu. Hiyo serikali unayosema iko wapi?

Mkuu..kuwa na imani na tume ya uchaguzi. Hamna uchakachuaji wowote unaofanyika.
Kinachowaponza CDM ni kuona muda wote wanaibiwa...kungekuwa kuna kitu kama wizi wa kura, naamini CDM wasingekuwa na mbunge hata mmoja!
 
Nasikia na Rostam anaelekea huko kukiongezea nguvu chama chake ana marafiki na wafanyakazi wengi wa Kimeru katika makampuni yake na amewataka wote wahakikishe wanamsapoti kwa kuhamasisha watu wamchague Sumari.

Si unajuwa Rostam akiingia mahali ushindi ni lazima. Kwi kwi kwi, teh teh teh.
 
Back
Top Bottom