huu hapa jamani https://www.youtube.com/watch?v=YYllfAr9dDA
Lakini Fella namuaminia sana linapokuja suala la management katika muziki... Fella ni mzoefu kwenye haya mambo; it's almost ten years now so, I believe anajua anachokifanya!! Unajua muziki wa bendi ni wa jukwaani sasa unapofanya muziki wajukwaani ni lazima audience ifahamu nyimbo zako ili pawe na participatory show kati ya musicians na audience... sasa kwavile Ya Moto haina muda mrefu nadhani ni sahihi kuifanya audience izifahamu angalau nyimbo tatu nne kutoka kwao ili mkikutana jukwaani mchizishane... nothing disappoint kwenye muziki wa jukwaani kama mnaimba, mnhangaika huku na kweli lakini audience inawakodolea macho tu... hawatoi ushirikiano kwavile nyimbo zenu hawazifahamu! Kwavile wanaanza... wanahitaji kutambulisha nyimbo zao chache ili biashara iweze kunoga!!
Ki ukweli madogo wanajua... si utani nadhani hata Skylight Band sasa ndo kapata mshindani kweli kweli wote wanapiga staili ya muziki wa bendi wenye bongo flavor.Kwa upande mwingine wanaweza kuwa right kutoa nyimbo nyingi maana mziki wa live unahitaji nyimbo za kutosha na prngine tunazo zisikia hazijatolewa rasmi maredioni!
All in all Fella namuaminia sana na ninapenda kazi za hawa madogo sana wanaimba nyimbo zinazo endana nao na zinazo gusa watu wote!
Hiyo ndio sababu kubwa... bendi lake ni jukwaa na unapofanya muziki wa jukwaani unanoga pale tu kunapokuwa na ushirikiano kutoka kwa mashabiki na ushirikiano unakuja pale tu mashabiki wanapozifahamu nyimbo zako! So, kabla mtu hujapanda jukwaani inapendeza mashabiki wanapokuwa wamezifahamu angalau nyimbo tat hadi tano! Fella linapokuja suala la muziki huwa habaatishi... huwa anafahamu anachokifanya!
Hao unaosema ni watoto;m1 kati yao majuz kapata mtoto!so jarib kusema nnawapenda hao wababa!
Nani huyo?tutajie jina lake....
Kweli kabisa...wanatoa nyimbo nyingi hata sijui wanajiamini nini...muda utatuambia lakini
Dogo asley alipata mtoto!
Hivi mimi nitoe kiingilio changu kwenda kwa Jux mwenye nyimbo moja au Ommy Dimpoz mwenye nyimbo 3? No way.
Hivi mimi nitoe kiingilio changu kwenda kwa Jux mwenye nyimbo moja au Ommy Dimpoz mwenye nyimbo 3? No way.
Hao unaosema ni watoto;m1 kati yao majuz kapata mtoto!so jarib kusema nnawapenda hao wababa!
Trust me... mbele ya mikono ya Fella lazima watafika mbali tu, angalau kimafanikio ya muziki hayo mengine, yana taabu zake!!
1. Nainai
2. Baadae
3. Me & U
4. Tupogo
5. Miss Koikoi
6. Ndagushima
# Get your facts right
1. Nainai
2. Baadae
3. Me & U
4. Tupogo
5. Miss Koikoi
6. Ndagushima
# Get your facts right
Hao jamaa sisikiagi nyimbo zao zinachezwa wapi hadi walinganishwe na Yamato Bendi.Ki ukweli madogo wanajua... si utani nadhani hata Skylight Band sasa ndo kapata mshindani kweli kweli wote wanapiga staili ya muziki wa bendi wenye bongo flavor.
Mhhh hiyo miss koikoi kaitoa lini jamani?