yamenikuta......

Afu wewe Bishanga acha sifa eti yamekukuta?,yamekukuta wapi wakati umeyatafuta mwenyewe,! Na huyo Theo Pistol lazima akunyooshe! Utatwambia hapa! Bahati nzuri umetangaza mwenyewe!
 
Wakati wewe ukiendelea kuhondomola huko Bujumbura huku nyumbani mkeo kanitaarifu kuwa ana mimba yangu.

Jiandae kulea ka mini-me.

na hako kabamia kako weza tia mimba mtu weye?
(source:ex wako)

Sasa unadhani hiyo mimba umempa wewe? Mtu mwenyewe binduki yako ya Kichina hata risasi haina (source: mkeo mwenye mimba yangu).

Wewe jiandae kulea tu. She is due in November or December kwa hiyo anza kujiandaa sasa. Sawa Babu J?

i will kill you!

Teh teh teh....the tables have been turned. Now BJ is threatening to kill me. Teh teh teh....

But BJ, if you kill me your step son (my biological son) will have no daddy. So don't kill me. Just learn how to deal with me. Okay BJ?

Btw, your wife says hi. She is here cuddling with me.

ujue mwenzio nasumbuliwa na presha?

Nimwambie mkeo akupigie? Akikupigia presha itashuka au itazidi kupanda?

i will kill her also!

ushawahi kushushwa mshipa weye?

Wewe ushawahi kutolewa kishipa?

Ngoja nimuulize mkeo hiyo 'akachabali' ndo nini

una hatari wewe,mwone kwanza pua ka la Pinochio.
Ndo mana unakojoa kitandani.
(source:ex wako)

Ukiona hivyo ujue 'mke' ndo katoa hiyo visa. Stuka.

@umenionea wapi phina?

Yamenikuta mzee mwenzangu sina changu,
Nabaki na machungu,
Wanga wengi anga zangu!!!!
Amba chao amba changu,
Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga!!!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

nani alitoa hiyo single?

II Proud feat. GWM (Gangstaz With Matatizo)

Unawajua hao wee BJ?

Napenda sana hii ligi ya Nyani Ngabu Vs Bishanga....

I love JF.

Niko hapa nasubiri kutoa kombe kwa mshindi.
 
Last edited by a moderator:
ushawahi kushushwa mshipa weye?

Bishanga, utajifunza lini weye? Mshipa kwa wengine ni deal ati! Sasa una uhakika gani shemeji yetu (mkeo) hautaki? Kama anautaka na ukamshushia jamaa si utakuwa umemuozesha kabisa?
 
lakini Bishanga hata kama ni mzuri kama lulu bado kitobo chake anabaki nacho tu hawwez akakupa uondoke nacho so ni bora tu utumie kisha urudi kwa mzee mwenzio.

'kitobo ndo nini'?

sasa kama hata kitobo huju ndugu yangu huyo mnyarwanda wamtumiaje?

unajua kitu inaitwa 'akachabali'?
M PM ruttashobolwa umuulize.

hiyo naijua niliwah kuwa na bf mziba so alinielezea mambo yake

ulimwaga 'mai'?

wewe ulitegemeaje? ndio.

gf?????????? Haya bana.

waniona kipolepole eeh! pole yako sana tu

Aisee!..........:A S-coffee:
 
wewe endelea kujinywea coffee!
Na kweli bana, ngoja nijitulize zangu na bibi yenu. Mambo yenu siyawezi kabisaaaaa....

attachment.php
 
Bishanga, utajifunza lini weye? Mshipa kwa wengine ni deal ati! Sasa una uhakika gani shemeji yetu (mkeo) hautaki? Kama anautaka na ukamshushia jamaa si utakuwa umemuozesha kabisa?
basi nitamshusha kakikojoleo kake,we mwache tu azidi kummendea bibi yangu Kongosho.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom