yamenikuta......

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,063
kimya kingi kina mshindo,hivi mnavyoniona ndo nimejificha chooni na ka kanokia tochi natuma ka post haka.
Nilipata safari ya kikazi bujumbura,sijui shaitwan gani aliniingia nikaenda eneo la muyenza,huko nikaopoa kimwana anaitwa Theopista,mwanamke wa kinyamlenge,kwanza bishanga sikuamini nimemwopoa.Mwanawane kanifungia chumbani leo siku ya nne,sifikirii wala siwazi kurudi kwa mama kayaii Kongosho embu nenda kafukizie kwa babu kimanzichana angalau nipate kareji ya kujitutumua nipande basi la kurudi dar.
Ila jamani raha inaniua hapa....
 
Last edited by a moderator:
poleee
nakudedicate wimbo wa side mnyamwezi. "amekoma amekoma" BAK naweza kùpata huu wimbo katika youtube ama hata lyrics zake umtupie mzee Bishanga hapa?
 
Last edited by a moderator:
poleee
nakudedicate wimbo wa side mnyamwezi. "amekoma amekoma" BAK naweza kùpata huu wimbo katika youtube ama hata lyrics zake umtupie mzee Bishanga hapa?
yaani nalishwa nabembelezwa,kwenye niniliiii naimbiwa khadija kopa cha mtoto,shingo dah,kiuno,pua,macho,guu mama mia,sijui niombe uraia.....
 
Last edited by a moderator:
Ngoja urudi mkeo atakutia mangumi urudi hapa na sredi la unyanyasaji wa kijinsia. Ohooo!
 
Wakati wewe ukiendelea kuhondomola huko Bujumbura huku nyumbani mkeo kanitaarifu kuwa ana mimba yangu.

Jiandae kulea ka mini-me.
na hako kabamia kako weza tia mimba mtu weye?
(source:ex wako)
 
na hako kabamia kako weza tia mimba mtu weye?
(source:ex wako)

Sasa unadhani hiyo mimba umempa wewe? Mtu mwenyewe binduki yako ya Kichina hata risasi haina (source: mkeo mwenye mimba yangu).

Wewe jiandae kulea tu. She is due in November or December kwa hiyo anza kujiandaa sasa. Sawa Babu J?
 
Bishanga kipya kinyemi eeh ingawa kidonda eeh! kazaaz ipo angallia wasije wakakupa olimukidah hakya MUngu utamkuta mama yako keshazikwa na kwako ni mahame.
 
Last edited by a moderator:
Maneno ya mtu mzima hua hayadondoki! Unakumbuka niliwahi kukwambia utajakufia chooni! Sasa umeanza kuandikia chooni ! Hatua kwa hatua!
 
Sasa unadhani hiyo mimba umempa wewe? Mtu mwenyewe binduki yako ya Kichina hata risasi haina (source: mkeo mwenye mimba yangu).

Wewe jiandae kulea tu. She is due in November or December kwa hiyo anza kujiandaa sasa. Sawa Babu J?
i will kill you!
 
i will kill you!

Teh teh teh....the tables have been turned. Now BJ is threatening to kill me. Teh teh teh....

But BJ, if you kill me your step son (my biological son) will have no daddy. So don't kill me. Just learn how to deal with me. Okay BJ?

Btw, your wife says hi. She is here cuddling with me.
 
Hapo sasa! Ngoja nione utatokaje huko wakati wewe ndiye uliye fanya..:.........................................................................................................................................................................................................
 
Uko mitaa gani nije nikurescue? Maana najua utakuwa umeishiwa huko ni kitu ya kuanzia $300. LOL
 
Teh teh teh....the tables have been turned. Now BJ is threatening to kill me. Teh teh teh....

But BJ, if you kill me your step son (my biological son) will have no daddy. So don't kill me. Just learn how to deal with me. Okay BJ?

Btw, your wife says hi. She is here cuddling with me.
ujue mwenzio nasumbuliwa na presha?
 
Hapo sasa! Ngoja nione utatokaje huko wakati wewe ndiye uliye fanya..:.........................................................................................................................................................................................................
funguka mkuu,desh desh ndo nini?
Btw omwana najwaa,lushengo ndi kubi!
 
Back
Top Bottom