Yaliyomo kwenye mswada wa kuvibana vyama

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
1.Vyama vya siasa havitatakiwa kuwa na uhusiano na vyama vilivyo nje ya nchi

2.Kila mgombea hatatakiwa kuwa na biashara

3. Kila chama kitatakiwa kueleza vyanzo vya mapato yake ktk uchaguzi

4.Chama chochote hakitakiwi kuomba msaada nje ya nchi

5. Tshirt, kapelo na kanga havitakiwi kutengenezewa nje ya nchi

Je wewe una maoni gani?
Je CCM, itaweza kung`olewa?
Je vyanzo vya mapato vilivyochukuliwa na CCM mf viwanja vya mpira, majengo nk wakati wa chama kimoja vimeishalejeshwa serikalini?
 
Back
Top Bottom