Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,323
sheria ni mbmumbumbu sijawahi kuona, NAKUMBUKA THE ORIGINAL COMEDY walipokwenda Zanzibar walikuwakuta wakazi wengine kule ni "MNDEMBWEDO" huyu mwanasheria atakuwa mmoja wao
Huyu mwanaKisharia Mh Othman Masoud yeye aliapa kuilinda katiba ya Znz na alichofanya ni kuhakikisha maslah na ustawi wa Znz unapatikana katika katiba mpya. Na pale alipoona kuna kuminywa kwa haki hizo na matakwa hayo alikuwa na haki zote kupinga kwa kula hali na aliposhindwa alijiondosha katika kamati ya Uandishi kwa kutoa sababu zake..
Na hata alipopiga kura amevikataa vifungu vyote visivyo na maslahi kwa Znz. Huyu ni jasiri sana na mkweli na anasimamia haki na maslahi a katiba ya Znz. watu hawa ndio wale wa kupongezwa.
Si kama alivyokuwa mh Kessy amejitahidi kuinanga na kuitetea Tanganyika lakin katika kupiga kure AMEUFYATA na kupiga kura ya NDIO kwa katiba nzima. Watu wa aina hii tunawaita WANAFIKI