Yaliyojiri viwanja vya Furahisha Mwanza: Mkutano wa kampeni ya Dr. John Magufuli - Oktoba 17, 2015

Kama hupendi kuambiwa ukweli usiingie kwenye thread hii.

Pamoja na Ukawa kuweka kambi Mwanza kwa wiki nzima ili kuzuia "hurricane" la TINGATINGA aka wa Home!

CCM Waitikisa Mwanza na kuitapishia ziwani...haijapata kutokea.

Hii ni ya wana mwanza watu wa #hapakazitu

SAA 1523

Magufuli anaingia uwanjani

SAA 1542

Utenzi maalumu kwa ajili ya Mgombea unaimbwa.

SAA 1553

Bulembo anatoa takwimu za mikutano rasmi ya kampeni zaidi ya 300,mikutano isiyo rasmi zaidi 1000,vijiji zaidi ya 12,000 na wapiga kura zaidi ya 24,000,000.

Kiufupi wameweza kuwafikia wananchi wengi kuliko chama chochote.

View attachment 299931
View attachment 299952

wapiga kura 24,000,000 ccm, Kikwete wapiga kura 28,000,000 ,N.E.C wapiga kura 22,000,000
 
Were is child Wright???
Nauliza huu mkutano.ni wa watoto??

Duh...kama ukiangalia huo mkutano unaona watoto, basi muandae mawe kabisa tar 26 pale mtakapoambiwa mmeambulia asilimia 28 kwenu mtaona ni 82.
 
Nikiweka siasa pembeni....

Je ndege hii anaruhusiwa kuitumia mgombea Urais wa ACT-Wazalendo?? Je wa CHAUMMA akiihitaji ataruhusiwa??

1445087780726.jpg
 
Mh JPM ameanza hotuba yake kwa salamu kwa makabila mbali mbali kama kawaida yake.
.
Mwanza mmefunika kweli kweli....sijawahi kuona mapokezi kama haya.....inawezekana mnaongoza Afrika nzima kwa mapokezi kama haya. -JPM
.
Anasema ametoka airport huku wanawaponda wanaopanda chopa.
.
Anaahidi kuifanya mwanza kuwa Geneva ya Afrika kwa maendeleo.....nitakuwa rais wa vyama vyote.

Vasco da gama alisema ataifanya Kigoma kuwa Dubai ya Afrika,huyu nae maigizo kayapeleka Mwanza.
 
Maghufuli. Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hapa kazi tuuu
 
Kama hupendi kuambiwa ukweli usiingie kwenye thread hii.

Pamoja na Ukawa kuweka kambi Mwanza kwa wiki nzima ili kuzuia "hurricane" la TINGATINGA aka wa Home!

CCM Waitikisa Mwanza na kuitapishia ziwani...haijapata kutokea.

Hii ni ya wana mwanza watu wa #hapakazitu

SAA 1523

Magufuli anaingia uwanjani

SAA 1542

Utenzi maalumu kwa ajili ya Mgombea unaimbwa.

SAA 1553

Bulembo anatoa takwimu za mikutano rasmi ya kampeni zaidi ya 300,mikutano isiyo rasmi zaidi 1000,vijiji zaidi ya 12,000 na wapiga kura zaidi ya 24,000,000.

Kiufupi wameweza kuwafikia wananchi wengi kuliko chama chochote.

View attachment 299931
View attachment 299952
AksQPU8d85n0t36n1ylpBHV2NMCNnznZNpso5uJD1vmo.jpg
 
Utenzi maalum kwa Mgombea mtu mwenye hekma hawezi kusikiliza ama kushabikia utenzi kama huo ni zaid ya mipasho hiyo ni michemsho .nonsense
 
Vasco da gama alisema ataifanya Kigoma kuwa Dubai ya Afrika,huyu nae maigizo kayapeleka Mwanza.

Anaifahamu Geneva kweli??? Naona anaongea mambo ambayo ni abstract sana....kwa mwananchi wa kawaida tunaona ni mambo mazuri....ila kiuhalisia HATA YYANAJUA KWAMBA NI UONGO.
 
Mtoa shairi mshenzi sana, laana ya MUNGU imkute

Nakuunga mkono kwa hili, nimemsikiliza huyu bwana nikatamani aanguke pale na apoteze fahamu paka mkutano uishe....

kama Magufuli unaongea mambo muhimu na sera za chama, ni kwa nini mnawaruhusu watu wa aina hii....nimeumia sana.

CHONDE CHONDE CCM...CHONDE CHONDE NAPE,JANUARY MAKAMBA, KINANA NA WAPENDA USTAARABU WOTE.....ACHANENI NA MAMBO YA AINA HII....PLEASE.
 
Mwambie Magufuli aache kukariri sera ya nchi barabara tu! Karibia lisaa nzima anajisifia barabara! Hvi utazungumzia saa ngapi maswala ya elimu, afya, teknolojia, kilimo, mahusisano na nchi nyingine, viwanda,
kama hotuba yake ina base kwenye barabara si abaki kuwa waziri wa ujenzi?

Kwa ujumla Magufuli hana vissiona kama kiongozi wa nchi
 
Back
Top Bottom