ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 488
Kama hupendi kuambiwa ukweli usiingie kwenye thread hii.
Pamoja na Ukawa kuweka kambi Mwanza kwa wiki nzima ili kuzuia "hurricane" la TINGATINGA aka wa Home!
CCM Waitikisa Mwanza na kuitapishia ziwani...haijapata kutokea.
Hii ni ya wana mwanza watu wa #hapakazitu
SAA 1523
Magufuli anaingia uwanjani
SAA 1542
Utenzi maalumu kwa ajili ya Mgombea unaimbwa.
SAA 1553
Bulembo anatoa takwimu za mikutano rasmi ya kampeni zaidi ya 300,mikutano isiyo rasmi zaidi 1000,vijiji zaidi ya 12,000 na wapiga kura zaidi ya 24,000,000.
Kiufupi wameweza kuwafikia wananchi wengi kuliko chama chochote.
View attachment 299931
View attachment 299952
wapiga kura 24,000,000 ccm, Kikwete wapiga kura 28,000,000 ,N.E.C wapiga kura 22,000,000