YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

CCM wamefungua kampeni kwa kututukana watanzania.

Ingekuwa ni UKAWA wametumia lugha chafu kama Limkapa. Ungesikia mpaka Likova linaingilia kati.
Wale mnaojiita mabalozi wa Amani mko wapi?
 
Mzee Warioba amewadanganya watanzania kuwa Magufuri sio fisadi na wakati CAG alisema kuwa Wizara ya Magufuri imetumia Bilion 252 za barabara bila maelezo yoyote na Magufuri hajakanusha wala kujitetea je kakaa kimya sio kwamba amekubariana na maamuzi ya CAG ?
 
Kama tunashindwa kuvuliana hapa mtandaoni,tukiwa uso tutachapana makonde, kuitana wapumbavu! Mods nao mnaacha Uzi kama huu? Ccm Hanna uvumilivu lakini ndio hivo,lazima tuifute ccm hapa Tanzania
Hayo kayasema mkawa Leo Kwenye uzinduzi wa kampeni so no diachronic mada hiyo ijadiliwe
 
Kiukweli tuache utani nimeumia mpaka nimekosa raha kweli chama changu nilikua naona utani naona kinakufa niko kwenye Luninga toka saa 7,nilitarajia leo tungeweka watu makini tungetumia mda mrefu kuwaeleza watanzania sera na mikakati ya kukuza uchumi kwa data zinazoeleweka na kuelezea mafanikio ya awamu ya nne ili kuwashawishi watanzania kwanini watupe ridhaa tena,yani chama kikongwe kimeshindwa kujitofautisha,badala yake limekua Tamasha la mipasho,nimezima Luninga nimeamua kuwaleta watoto kuogelea Shame on Tanzania

Tatizo maccm ni mapumbavu na malofa
 
Makamanda wamepanic sana kuitwa wapumbavu na malofa Mkapa tena kasema mara mbili.

Mkapa bana uwa anatoa makavu tu.
Ana hasira manake watu waliipigania nchi hii lakini leo wanakuja watu wanasema ati wataikomboa nchi hii. Kwamba CCM inayotawala ni wakoloni.
 
Jk yeye kaishasema wazi wanamtukana kwenye ma Blog. Lakini yeye wala haimsubui.
 
Alichofanya Mkapa hakipaswi kushabikiwa kabisa ndugu...kumbuka hata wale wa upande wa pili wanaweza nao kuongea hayo, jiulize itakuwaje?

Hili swala linapaswa kukemewa kwa nguvu zote!

lakini yuko sahihi,kama nchi ilishakombolewa,utaikomboa vipi tena,ni upuuzi
 
Hii imetokea muda huu wakati akihutubia mkutano wa ufunguzi wa kampeni za CCM, kuwa kuna vyama vinasema vinataka kuwakomboa watanzania, ya kuwa watu hao ni WAPUMBAVU.

Kwa hili Rais Mstaafu Mkapa amekosea kwa kuwatukana watanzania ambao wanashiriki katika siasa halali kabisa nje ya CCM.

AMEHARIBU SANA IMAGE YAKE

Mkapa amejidharaulisha sana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom