YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Mseto wa sera: CUF na CCM ndani ya CHADEMA

Duh JK haelewi Sumaye kasema nini! Au ndio ana maana ya kale kakatuni ka zero?
 

Attachments

  • 1440340194966.jpg
    1440340194966.jpg
    49.8 KB · Views: 144
Ccm hawana sera zaidi ya kuzungumzia ukawa ccm wapumbavu kweli kweli kama mkapa!!
 
Kuna vyama vinataka kuwakomboa watanzania- wapumbavu na malofa. Benjamin

Haya ndio mambo yanayozidi kunitia hasira ,mpaka lini tutaitwa wapumbavu ?? Pigeni mbizi,huna hela ya kulipia Umeme washa kibatari ,ndege ya raisi lazima inunuliwe hata watanzania wakila nyasi, watanzania wapigwe tu tumechoka ......etc ,uzee ni hekima ila kwa hili naomba nikukosee heshima mpumbavu mwenyewe
 
JK kapanic haswa, anaongelea ukawa tu.
EL, FS, Babu Duni wanamchanganya sana.
Naona anawapa miongozo
 
Kuanzia yule mmachinga aliyeongea kwa niaba ya wenzake, Nape, Mwinyi, hadi Kikwete, mwanasaikolojia mzuri yeyote anaweza kuona jinsi ccm isivyojiamini mwaka huu. Mwinyi na Mkapa na sasa Kikwete mwenyewe kwa kweli wameongea kwa "kustrugle" yaani kama watu wanaoshindana na nguvu kubwa kupita uwezo wao. Ukawa wana kazi rahisi lakini lazima ifanyike kwa umakini mkubwa kwani ccm wapo tayari kufunga hata bao haramu "bao la mkono".

Mwaka huu hatudanganyiki na CCM,Chama cha watu watano
 
MKAPA..... utajutiaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


Huo upumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuu na

ulofaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


tutakutana uwanjani sasa..... haya matusi
mwisho October....

JK analeta mipashooo nae eti Picha za UKAWA NI PHOTO SHOP....

Watajutiaaaaaaaaa.... tutawanyoa kwa kura zetu, mkomeeeeeeeeeeeeeeeeee


JK, kama anahubiria wasaniii vile
 
Back
Top Bottom