Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

Mengi na timu nzima ya ITV ni washenzi, wanachofanya ni kuhujumu mkutano wa Chadema kwa kujikomba kwa CCM, hawa watu hawaaminiki ni muhimu sana Chadema tukawa macho, tuache kufanyanao kazi tutafundi TV nyingine hata kama ni Tv isyokuwa na umaarufu kama huo, kwa kuweka vipindi vyetu huku tutakuwa tumezisaidia kupanda chati

Kwa uzembe wenu mtalia rafu hadi mkome!!! Mkiambiwa mhoji mapato ya chama yanaenda wapi badala ya kutumika kuanzisha hata media zake, ofisi zake nk mnajitoa ufaham!! Kila anayeshauri jambo ka maendeleo mnamuattack ni mccm!! Sasa haya ndo mambo gani!!?
 
Sauti imekuwa safi kiasi,si kama walivyoanza. Ameanza kuzungumza Dr Slaa.Anashukuru kwa mahudhurio
 
ImageUploadedByJamiiForums1437573477.589136.jpg Mkutano CDM mwanza now on ITV
 
Hivi watu wote hawa waliojitokeza hapo uwanjani wamejiandikisha katika daftari la kudumu la Wapiga kura na kuhifadhi vizuri kadi zao?
 
Mbowe ni Mchaga, Lema ni Mchaga, Kiwia ni Mchaga,uwezi kubadili kabila mkuu, Lembeli ni Msukuma, Mnyika ni Mpare, Mdee ni Mpare, Dr.Magufuli ni Msukuma.
Ritz ni muislam, Mohamed Said ni muislam, Sofia Simba ni..., Riziwani Kikwete..., Mshume Kiate...
 
Back
Top Bottom