Yaliyojiri: Mkutano wa Dr.Slaa Kyela

sangas

Senior Member
Aug 26, 2012
134
94
Dr.slaa yupo kyela kwa mkutano ambao umeathiriwa na mvua na kusimamisha kwa mda sasa,naona mh.sugu na viongozi kadhaa wa chama
 
mvua imetufanya tukae jukwaa kuu na mkutano umesimama kwa mda ila watu ni wengi sana hapa pamoja na mvua lakini wapo kusubiri dr.slaa ahutubie
 
Dr.slaa yupo kyela kwa mkutano ambao umeathiriwa na mvua na kusimamisha kwa mda sasa,naona mh.sugu na viongozi kadhaa wa chama

Tulia na uandike kinachoeleweka, pia weka picha ni muhimu, unajua Magamba wanadai kwamba zinatumiwa picha za Mwaka 2010, weka uthibitisho Mkuu
 
Bado mapema, mvua itasimama hiyo, sikilizeni mpate dawa ya kuin'goa ccm.
 
Muda mfupi baada ya kuwasili dr. slaa na msafala wake imeshuka mvua kubwa ikiambatana na radi na kusababisha mkutano wake kusitishwa kwa muda, mpaka hakuna taarifa rasmi zilizotolewa na uongozi wa chama (w) kama ziara hiyo itahairishwa au lah. wachunguzi wa mambo wanasema kutokana na mvua hiyo ujio wake umekuwa wa neema kutokana na wakazi wengi wa hapa wanategemea kilimo na wengine wamesema vigagula vya chama huenda wameshafanya yao hiyo ni kukubalika kwa chadema wilayani hapa source: Kifimboplayer
 
watu kibao ngoja niwape mapicha kwanza kama ka cm kangu katanirusu,ila nyomi pamoja na mvua wa2 kibao dr.analazimishwa kupanda jukwaani na mvua watu wana hamu na mkutano hadi basi
 
JIMBO LA KYELA Dr.Harrison Mwakyembe atali kabidhi kwa CHADEMA 2015 ili yeye akamkabe Lowassa huko chama cha mizigo a.k.a MAGAMBANI a.k.a UCHAKAVUNI a.k.a MSITU WA MABWEPANDE
 
Muda mfupi baada ya kuwasili dr. slaa na msafala wake imeshuka mvua kubwa ikiambatana na radi na kusababisha mkutano wake kusitishwa kwa muda, mpaka hakuna taarifa rasmi zilizotolewa na uongozi wa chama (w) kama ziara hiyo itahairishwa au lah. wachunguzi wa mambo wanasema kutokana na mvua hiyo ujio wake umekuwa wa neema kutokana na wakazi wengi wa hapa wanategemea kilimo na wengine wamesema vigagula vya chama huenda wameshafanya yao hiyo ni kukubalika kwa chadema wilayani hapa source: Kifimboplayer

Sipendi unavyoandika Vigalula wakati ni hali ya hewa imebadilika
 
mhh kyela kuna wachawi sana..yaani nina uhakika hiyo ki kamati ya ufundi tena ya wazee toka kule katumba songwe...hatariiiiiii kwa ndumba
 
Mungu ana makusudi yake kuleta hiyo mvua hapo, labda anaepusha watu wake kulaghaiwa na huyu Padri aliyeikana ROZARI.
 
Gooooooooooo Dr. Slaa, tumaini letu!!!! Acha waseme mchana usiku watalalallllaaaaaa. zege halilali!!!
 
zege halilali,spika zimeingia maji ila mambo ndo yanaanza, sugu anapanda jukwaani ila spika ndo zimeloga tena ila mkutano unaendelea na kadi zinauzwa kama njugu.nitaleta updates
 
WANAKYELA ujio wa DR SLAA NI KAMA BARAKA KUTOKA KWA MUNGU , TUITUMIE ZIARA YA MKOMBOZI DR SLAA KUIKOMBOA WILAYA YETU , WANA BUJONDE , NGONGA , MBAKO , KILASILO , KABANGA , KATUMBASONGWE , ISAKI , BODA , KAJUNJUMELE , NKUYU , NGYEKYE , IPINDA , MATEMA , IPANDE NK HII NDIYO NAFASI YENU YA KUMG'OA MKOLONI MWEUSI CCM , NDAGA FIJO GWE NKAMU GWETU WILBROD SLAA , KYALA AKUTULE FIJO !
 
Mungu ana makusudi yake kuleta hiyo mvua hapo, labda anaepusha watu wake kulaghaiwa na huyu Padri aliyeikana ROZARI.

Bora yeye alikuwa muwazi mkuu kuliko wale wanafiki wana vimada kibao!!! Tuwataje mkuu!! Anzia nyumba kubwa!!! Tunapoteza kodi zetu kulea haramu kibao huko, tunapishana nao vikumbo tu!!! Wekeni wazi rasmi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom