ashy da don
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 613
- 657
Wew jamaa ni mweupe sana kichwani kama kuna mtu anakulipa kuja kuleta propaganda humu mwambie kazi imekushinda..Hivi anagombea kupitia chadema au ukawa?!?! Kwa maana hao naona viongozi wa chadema pekee vp ukawa imesambalatika...!
Hiyo sherehe ni ya chadema kumpa fomu ya raisi hakukuwa na ulazima wowote wa ukawa kuwepo pale.
Ile ya juzi lazma wawepo kwa sababu wasingekuepp mngeanza kuleta porojo zenu humu kama ulizoanzisha wew hapa.