Mkuu yupi, lowasa?!Nakumege sili kidogo tu ila ukimaliza kusoma delete watu wengine wasisome.
Ni 'Hivi Dr. Slaa yupo Australia na aliondokea Nairobi' alichoenda kufanya tukiache ila hata mkuu hajui kama Dr. Yupo kule.
Mkuu yupi, lowasa?!Nakumege sili kidogo tu ila ukimaliza kusoma delete watu wengine wasisome.
Ni 'Hivi Dr. Slaa yupo Australia na aliondokea Nairobi' alichoenda kufanya tukiache ila hata mkuu hajui kama Dr. Yupo kule.
Kwanini hajavaa gwanda au nguo ya Chama?
la mkono hilo tayar ushafungwaHana lolote kanunua ugombe kwa 10bl chezea Mbowe wewe yuko kibiashara zaidi na manywele washauri wake wanataka hizo pesa zake za kifisadi tu
Nami nasikia naibu wake atakuwa job ndugai.Naskia Slaa anakuwa Spika wa Bunge
The out going one.....Mkuu yupi, lowasa?!
Taratibu jaman,mtasababisha presha ugambani!
Who is that, Regina?Hapa vp:what::what:
Mkuu kuna watu wanaleta mzaha kwenye issue serious kama hizi, utamuwekaje mbali dr slaa na chadema kwemye matukio muhimu kama haya jamani....roho inauma sana mkuu haiwezekani ukampoteza dr slaa in-favor of lowassa...never...kuna watu wanadhani tunaomlilia dr ni magamba, hapana, wengine hatuna chama kabisa ila ni wafuasi wakubwa wa cdm kupitia imani kwa watu kama dr slaa
Nina imani atakaba hadi penati kwenye wizi wa kura maana hilo ndilo huwa tegemeo lao kwenye chaguzi.Ni Apson Mwang'onda.
Sasa hapo ni kuchukua fomu au kutambulishwa kuchukua fomu? Ina maana atapambana na Dr. Slaa ili apatikane mmoja wa kuchuana na kina Lipumba na Mbatia?