Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

Maneno hayo yalitolewa leo bungeni, mikoani na hasa mitaani baada ya kauli alioitoa leo bungeni ameonyesha uwezo wake wakufanya maamuzi na kuisimamia tanzania na watanzania. Wassira azidi kujichukulia nafasi kwenye mioyo ya watanzania.
Nawakumbusha tena tujiandae kisaikolojia kuwa mhe wasira ndiye atakaye chukua nafasi baada ya jk.
 
zitto anatoa pongezi sanana anasema katika hili kafanya kazi na kila mtu bila kujari vyama

anakiri kuwa anamgogoro na chama chake kweli chadema, lakini anasema katika suala hili vyama vyoote na wabunge woote wamemuunga mkono, na walisisimama pamoja na anasema kwa mara ya kwanza amehudhuria mkutano wa ukawa wa pamoja, na anakiri kuwa alikuwa amewamisss sana na anashukuru sana kwa hilo, ana anaonyesha kuwa anapenda sana umoja huo uendelee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom