Bunge la leo linavutia kwa namna zote iwe kuangalia iwe kusikiliza powa tu. Mpina utaua mtu umetosha
Mpina anatoka Zitto anaingia!!!!!!!!!!!!!!!
Dk. 30
LUSINDE yule ni wakupuuzia sanaHa ha ha ha ha nimecheka halima mdee alivyosema hajielewi.....
Hivi Lusinde anaingia kwenye kundi gani la binadamu???
Bunge la leo linavutia kwa namna zote iwe kuangalia iwe kusikiliza powa tu. Mpina utaua mtu umetosha
Amesharudi kitambo.Zitto tutamrudisha CDM
Jana kwa mara ya kwanza nimehudhuria kikao cha UKAWA-ZITTO
We jamaa noma!
Halafu sijui huo usiku uliisheje!?