Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

Naam, nimemsikia na huo ndiyo ukweli, hakuna sijuwi mtu kakwepa kodi sijuwi kafanya nini, kodi TRA wako macho na wanafatilia. Ulitaka nini zaidi ya hilo?


Leo umeumbuka na imedhihirika fikra zako hazina tofauti na lusinde....

Umesikia majibu ya watukufu Wa CCM??
 
kuanzia kwa Wasira ,Pro Mark,Deo,Kigwangalla na Mpina wameua kbs ngoja tumsubiri Zitto.... Bunge lingekua hivi kwa userious huu wa leo na mafisadi wasingekuopo kabisa
 
Wabunge mnaopitia hapa jf, toeni taarifa bungeni kuwa sehemu kubwa ya nchi umeme umekatika, waziri wa nishati atoe tamko tatizo ni nini?
 
huku kwetu washakata umeme zamani...Tanzania bwana kwenye mambo ya maana hawataki wananchi wafaidike.Ingekuwa miss wasingekata
 
Yaani tanesco wameninyanyasa sana na ingekua ndo kama mitandao ya simu ningeshahama siku nyingi sana
 
Pesa aliyopewa Tibaijuka ilikaa saa 48 tu kwenye akaunti ya shule na ikatolewa bila maelezo.

Bodi ya shule haijui chochote kuhusu 1.6bilion.
Point of legal reference ha ha ha typically ni utakasishaji wa fedha
 
Back
Top Bottom