Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

Wqbunge bado wqnaendelea na zoezi la kuoiga kura. Namuona Captain Komba anaenda kupiga kura
 
Hakika mkuu. Huyu mama amekuwa jasiri sana. Sema ndo hivyo kazidiwa nguvu na Samiha Suluhu

Sure mkuu Chabruma, unajua masuala ya kijamii yanagusa kila mtu either direct or indirect hivyo hakuna kuchekana. Tena huwa nawapongeza sana akina mama wanaokubali hali zao, hata wanaume pia. Kwa nini mtu ujiumeume. Ila Samia Suluhu nimeshakubali yaishe, ndiye atakuwa vice chair. Cha msingi watuendeshee bunge la katiba la demokrasia bila mashinikizo. Hiyo avatar yako sasa, mhhhh, ghorofa gani hili mkuu niombe makazi!!! Ha ha ha!!
 
Katika hali isiyotarajiwa na Wabunge wengi na Watanzania kwa ujumla Mbunge wa Bunge la muungano pia mbunge wa Bunge maalum la Katiba AMINA ABDALLAH AMOUR; ametoa siri kwamba ameachika wakati akijinadi kwa wajumbe wa Bunge maalum wa Katiba akiomba ridhaa ya kuwa makamu mwenyekiti wa bunge la katiba leo tarehe 13.03.2014 saa1032jioni,baada ya jana bunge hilo maalum kumchagua MH. Sita kwa kura nyingi za ushindi. kweli nimeamingi uongozi unaweza kumfanya mtu akatoa siri zake zote pole sana MH.AMINA ABDALLAH AMOUR
 
Huyu Samia anaonekana kuwa na uwezo mkubwa wa kujieleza lakini kiutendaji sijui
 
Chabruma nilichelewa kidogo kutokana na mvua kubwa iliyonyesha hivyo kusababisha umeme kukatika. Sasa nipo hewani, tuendelee.
 
Last edited by a moderator:
Zoezi la kupiga kura limeisha punde zitakwenda kuhesabiwa hatimaye tupate makamu mwenyekiti.
 
Mkuu, kwa bahati mbaya ni kwamba hajatuambia kwa nini aliachika. Labda ni baada ya kuteuliwa kuwa mbunge wa viti maalum maana wakati wa semina kuna mbunge mzanzibari alisema kuwa kwa zanzibar ukiwa mbunge basi unahatarisha ndoa yako

Inawezekana kiongozi wengi wakishapata dhamana huwa wanaleta kiburi ndani wakikutana na dume kiburi ni red card tu
 
Zoezi la kupiga kura limemalizika na Esther Salaya ameteuliwa kumwakilisha Amina Abdallah Amour kwenye zoezi la kuhesabu kura huku Mheshimiwa Vita Kawawa akiteuliwa na mama Samiha Suluhu
 
Back
Top Bottom