Yaliyojiri Arusha katika mazishi ya waliouliwa na Polisi

tunawatakia maziko mema ya ndugu zetu

tunaomba mtukumbuke na sisi tulio mbali kwa updates ili tuweze kuwa nanyi
 
Naamini watu watakaojitokeza NMC leo watatuma ujumbe wa kutosha kwa hao washika virungu kuwa Nguvu Ya Umma ni zaidi yao
 
Piki piki kuwa nyingi kuliko magari hili nisomo tosha kwa wana ccm na wanatakiwa kujua nchi hii sasa ipo mikononi mwa watu gani.........safi sana wapigania uhuru na mabadiriko ya kweli.....
 
Hospitali na aicc ndo kumeshona, lakini Amani imetawala. Pikipiki nyingi sana magari machache.

GURUDUMU asante sana kwa kutujuza kinachoendelea huko AICC, vipi nini kinachelewesha hadi sasa hamjatoka hapo hospital
 
166hcuo.jpg
 
Attachments

  • 162707_10150133373417873_516107872_7878414_3323143_n.jpg
    162707_10150133373417873_516107872_7878414_3323143_n.jpg
    12.3 KB · Views: 542
mambo bado imebidi tuwafate huko huko hospital ila bado
maiti zinafanyiwa uchunguzi haijulikani iyo kazi itaisha muda gani ila kuna ucheleweshaji kwani mtu anazikwa moshi nadhani wanataka vuruga ratiba
 
Hii inagusa sana uchungu ni mwingi ila tuwe na imani MUNGU yuko pamoja nasi na roho za mashujaa wetu zitapokelewa mbinguni. Mungu tubariki n tuepushe na wadhalimu naonataka kula nchi yetu
 
Mhh watu wa nJi hii bana!!?

RIP our people who died in the incident, Shame on you police and CCM (Makamba and Chitanda)

Jamani wapashaji habari tunafurahi sana kutupasha, asanteni sana na tuko pamoja
 
Hapo ndio wanataka kuchefua watu halafu waone habari yake
 
Escober
signature yako haina taswira nzuri kwa wapigania uhuru...........hebu jaribu kuibadirisha kuonyesha uhalisia wa mazingira tuliyo nayo na mjadala uliopo hapa ukumbini.......
 
Mhh watu wa nJi hii bana!!?

RIP our people who died in the incident, Shame on you police and CCM (Makamba and Chitanda)

Jamani wapashaji habari tunafurahi sana kutupasha, asanteni sana na tuko pamoja

Hwa jamaa kwa jinsi wanavyonitia kichefuchefu ndio maana nimeamua kuwa-highlight kwa rangi nyekundu
 
Hii inagusa sana uchungu ni mwingi ila tuwe na imani MUNGU yuko pamoja nasi na roho za mashujaa wetu zitapokelewa mbinguni. Mungu tubariki n tuepushe na wadhalimu naonataka kula nchi yetu

Haki na Damu ya mtu huwa haipotei bure
 
Back
Top Bottom