Yajue mataifa yanayopinga uwepo wa Mungu

Rebo Tz

Senior Member
Sep 26, 2016
169
124
1475308380716.jpg

Utafiti Unaonesha kwamba 63% ya watu duniani wanaamini uwepo wa Mungu, yafuatayo ni Mataifa yasiyoamini uwepo wa Mungu (Atheism).

Yasemekana kiwango cha watu kuwa na imani na dini na uwepo wa Mungu kinazidi kupungua duniani huku makanisa mengi hasa Ulaya yakigeuzwa kuwa majumba ya starehe japo pia yasemekana kwamba watu wanatumia teknolojia zaidi hasa luninga kusikiliza mahubiri majumbani mwao huku wakituma sadaka kwa njia ya miamala kama za M-Pesa ama tiGO-Pesa

Wazungu wengi ambao ndio walisambaza dini huku Afrika kwa njia ya Umishenari wanaamini kwamba Dini ni jambo la kufikirika na kuogofesha tu ili kupunguza maovu duniani na kuwanyima watu KULA BATA huku wakiwakamua mapato yao kwa njia ya kinachoitwa ZAKA NA SADAKA….

1. Asilimia 75 ya Wachina hawana dini kutokana na kuaminishwa na Mao Zedong kuzama kwenye Ukomonist mwanzoni mwa miaka ya 70. Wachina wengi wanaamini katika ‘CONFUCIUS’ huku wakila chochote kilicho mbele yao, hata hivyo hali hii inasemekana kusababishwa na wingi wa watu nchini humo usioendana pengine Tanzania tunachagua kwa sababu bado tupo wachache na chakula kipo tele huku tayari Raisi wa Malwi akiamuru watu wale kula panya na panzi kwa kuwa wanapatikana kwa wingi nchini humo

2. Wajapani wengi hawajielewi na wengi wao wana dini zaidi ya moja yaani unaweza Ijumaa ukamkuta Msikitini, Jumamosi Usabatoni na Jumapili pia anazama kanisa lolote.

3. Huku Raia wengi wa Vietnam wanaabudu babu zao, yaani siku akijisikia kuabudu anakwenda kwenye kaburi la Babu yake anakula gombo na kurudi nyumbani. ….Ilihali Wahindi wengi wakiabudu wanyama aghalabu Ng’ombe kama Mungu wao

4. Jamhuri ya Czech ……wao wanaamini zaidi kwenye Ukomunisti, ni asilimia 21 tu wanaoamini uwepo wa Mungu….Hii pia imechangiwa na makatazo ya watawala wa kikomunisti tangu enzi za akina Milosovic ingawa wengi wa walioulizwa ni kama walikua hawajielewi kama wana dini ama la

5) Sweden na Denmark. asilimi 17 tu ndio wanaamini kwamba Mungu Yupo na hii inawarahishia kutoishi bila hofu na kutenda dhambi yoyote waitakayo……….Waswidi na Wadenish wengi wamegeuza baa kuwa ndio ‘makanisa yao’

6. United Kingdom (40% wenye dini) na Ufaransa (41%) na kwingineko kwenye nchi nyingi tu za ulaya magharibi na mashariki…Wanawake na Wazee tu ndio husali huku vijana wengi wakiendelea kula bata na kugeukia ushoga na usagaji ……Kuna marafiki zangu ni wafaransa hakika hawajui kitu chochote kinachohusiana na Mungu, si biblia wala Quran huwa hawaabudu kitu chochote

7. Hongkong pia ni moja ya nchi yenye wapagani wengi duniani (52%)……………nyingine zikiwa ni Norway (39%), Austria, Israel, …..
 
Halafu hiyo namba 5 huwa nasikia ndio sehemu nzuri na salama kuishi...shetani katika mvuto wake
 
Kifupi sio kwamba hawa jamaa hawaamini kuwa kuna "Super natural Power" ,wanaamini sana!!Ila wao wengi wao hawana uhusiano na Yesu wala Muhamad!!
Kwao Ukristo na Uislam sio sehemu ya maisha yao.Sasa mtu asipokuwa Muislam au Mkristo,haimaanishi hamjui "Mungu"
 
Hayo hawapingi uwepo wa Mungu. Wengi uliosema hawaamini. Katika. Uislam au ukristu. Wanaamini dini nyingine
Upo sahihi jamaa anajua dini ni uislamu na ukristo tu ...
Duniani kuna dini nyingi sana,kwa mfano hao wahindi naosema wanaabudu Ng'ombe sio kweli Ng'ombe yupo tu kama ishara.
Hivi kwa mfano unawez waislamu wanaabudu mwezi?.au wakristo wanabudu msaraba? Jibu mi hapana.

Wachina wengi ni Budhism..ukrsto umeeingia hivi karbun..

Kuna mataifa mengine ni Wazoroaster,wengine ni Sikhism,wengine Jews(Wayahudi),kuna Babism,na Wabaha'i hivyo sio kuwa ati kwa sabab sio waislamu au wakristo basi hawasali hapana....

Make some more analysis utakutana na ukweli juu ya hili...

Na hata unaeandika uko na biasness kwenye tafti yako,ulikuwa tayari ulishaweka vigezo vyako vya yupi ndo Mungu(Yesu(*Yesu sio Mungu bali Mtume wa Mungu)/Allah*ni neno lenye asili ya kiarabu ambalo kwa kiswahili ndio Mungu au God kwa waaumini wa dini ya kiislam).

Yaani Ulikuwa ushaweka vizuwizi au mipaka ama ulienda kufany utafiti tayari una majibu...hivyo ulichokiona hukukubaliana nacho....na mtafti hutakiw kuwa biased.

Wakati wewe ukiamin hivyo kuna wenzio Mungu wanamuita kwa majina mengine japo mim ntasema Mungu ni mmoja tu,Dini zote ni Kitu kimoja...sema tu bado hatjalitambua hili.
 
Judgemental society at its best.
Wewe kuamini katika Mungu haikupi haki ya kumuhukumu mwengine ambaye haamini katika Mungu.
Mmoja wenu anaweza kuwa sio sawa na inawezekana ukawa wewe.
 
View attachment 410050

Utafiti Unaonesha kwamba 63% ya watu duniani wanaamini uwepo wa Mungu, yafuatayo ni Mataifa yasiyoamini uwepo wa Mungu (Atheism).

Yasemekana kiwango cha watu kuwa na imani na dini na uwepo wa Mungu kinazidi kupungua duniani huku makanisa mengi hasa Ulaya yakigeuzwa kuwa majumba ya starehe japo pia yasemekana kwamba watu wanatumia teknolojia zaidi hasa luninga kusikiliza mahubiri majumbani mwao huku wakituma sadaka kwa njia ya miamala kama za M-Pesa ama tiGO-Pesa

Wazungu wengi ambao ndio walisambaza dini huku Afrika kwa njia ya Umishenari wanaamini kwamba Dini ni jambo la kufikirika na kuogofesha tu ili kupunguza maovu duniani na kuwanyima watu KULA BATA huku wakiwakamua mapato yao kwa njia ya kinachoitwa ZAKA NA SADAKA….

1. Asilimia 75 ya Wachina hawana dini kutokana na kuaminishwa na Mao Zedong kuzama kwenye Ukomonist mwanzoni mwa miaka ya 70. Wachina wengi wanaamini katika ‘CONFUCIUS’ huku wakila chochote kilicho mbele yao, hata hivyo hali hii inasemekana kusababishwa na wingi wa watu nchini humo usioendana pengine Tanzania tunachagua kwa sababu bado tupo wachache na chakula kipo tele huku tayari Raisi wa Malwi akiamuru watu wale kula panya na panzi kwa kuwa wanapatikana kwa wingi nchini humo

2. Wajapani wengi hawajielewi na wengi wao wana dini zaidi ya moja yaani unaweza Ijumaa ukamkuta Msikitini, Jumamosi Usabatoni na Jumapili pia anazama kanisa lolote.

3. Huku Raia wengi wa Vietnam wanaabudu babu zao, yaani siku akijisikia kuabudu anakwenda kwenye kaburi la Babu yake anakula gombo na kurudi nyumbani. ….Ilihali Wahindi wengi wakiabudu wanyama aghalabu Ng’ombe kama Mungu wao

4. Jamhuri ya Czech ……wao wanaamini zaidi kwenye Ukomunisti, ni asilimia 21 tu wanaoamini uwepo wa Mungu….Hii pia imechangiwa na makatazo ya watawala wa kikomunisti tangu enzi za akina Milosovic ingawa wengi wa walioulizwa ni kama walikua hawajielewi kama wana dini ama la

5) Sweden na Denmark. asilimi 17 tu ndio wanaamini kwamba Mungu Yupo na hii inawarahishia kutoishi bila hofu na kutenda dhambi yoyote waitakayo……….Waswidi na Wadenish wengi wamegeuza baa kuwa ndio ‘makanisa yao’

6. United Kingdom (40% wenye dini) na Ufaransa (41%) na kwingineko kwenye nchi nyingi tu za ulaya magharibi na mashariki…Wanawake na Wazee tu ndio husali huku vijana wengi wakiendelea kula bata na kugeukia ushoga na usagaji ……Kuna marafiki zangu ni wafaransa hakika hawajui kitu chochote kinachohusiana na Mungu, si biblia wala Quran huwa hawaabudu kitu chochote

7. Hongkong pia ni moja ya nchi yenye wapagani wengi duniani (52%)……………nyingine zikiwa ni Norway (39%), Austria, Israel, …..
Tanzania ilitakiwa ishike namba moja..asilimja tisini na Tisa point Tisa ya watanzania wana abudu mizimu na ndumba ..wamejifunika blanketi la uislamu na ukristo
 
Kweli kabisa mkuu nchi hii ushirikina umetamalaki sana yaani mpaka unajiuliza hawa watu wanaenda msikitini/kanisani kumuabudu nani
 
Mungu ni mmoja ambae anapaswa kuabudiwa!!!! Na ikizidi hapo ni miungu, ishu ni kwamba watu hatutaki kukubali ukweli na tunaanza kujifariji kwa namna hii na ile, ipo shida kubwa sana kuhusu Mungu na usipotaka kuujua ukweli kibinafsi jambo hili linachanganya sana kwasababu kila mtu ana maoni yake kuhusu ibada ipi ipo sahihi
 
Hayo makundi yamegawanywa kutokana na dini ambazo watu wanazotumia km njia ya kumuabudu Mungu lakini sio idadi ya watu wanaomwabudu Mungu!!!!
 
Kutokua na dini, au kutoamini dini fulani ni tofauti kuamini uwepo au kutokuwepo kwa mungu.

Mtu anaweza asiwe na dini lakini anaamini mungu yupo.

Hii dhana ya kuamini muumini wa dini fulani ndio mwenye kuamini uwepo wa mungu inatia shaka hasa ukizingatia matendo na maisha wanayoishi na hizo dini zao.
 
Waswahili wanasema ngoma ikivuma saaana ipo karibu na kupasuka!!!! Yapo maswali mengi ya kujiuliza sana kwann haya yanatokea na kwakiwango hichi na kasi hii katika ulimwengu huu na kwann sisi tunayasikia au watu wanaiga kwa kasi na nn matokeo yake??? Na kazi ya watu haki za binadamu hasa nn na wanatetea nn??? Na unawza usiige ila ukajifunza kwa wanaoiga ibada au mambo ya nchi je yapi yamewakuta???
 
Hayo hawapingi uwepo wa Mungu. Wengi uliosema hawaamini. Katika. Uislam au ukristu. Wanaamini dini nyingine
Mtu mpaka anajiachia kanisan na vilevi huko haamin au anapinga uwepo wa ambaye anasujudiwa mule kanisan au msikitn...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom