Yajue mataifa yanayopinga uwepo wa Mungu

Tatizo lako unajua dini ni ukrisitu na uisilamu hayo mataifa yote yana dini zake memyewe sio za kuletewa na mitumbwi kama ya kwako wewe
 
Kutokua na dini, au kutoamini dini fulani ni tofauti kuamini uwepo au kutokuwepo kwa mungu.

Mtu anaweza asiwe na dini lakini anaamini mungu yupo.

Hii dhana ya kuamini muumini wa dini fulani ndio mwenye kuamini uwepo wa mungu inatia shaka hasa ukizingatia matendo na maisha wanayoishi na hizo dini zao.
Haswa nakuunga mkono!!! Kuna watu wanaacha kumuabudu Mungu wanaabudu dini na kujikuta njiapanda
 
Tatizo lako unajua dini ni ukrisitu na uisilamu hayo mataifa yote yana dini zake memyewe sio za kuletewa na mitumbwi kama ya kwako wewe
Nakubaliana naww na pia tukumbishane dini sio Mungu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom