Yahoo E-mails hacked?

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Kuanzia siku tatu zilizopita nimekuwa nikipokea emails za ajabu ajabu toka kwa ndugu na marafiki wanaotumia Yahoo. Wao wanasema hawajatuma hizo messages. Inaonyesha labda password zao zimekuwa hacked, or something. Kuna watu hapa wame experience hili tatizo? If yes or not consider changing your password.
 
Hata mimi napokea e-mail kwa wote kwenye adress book yangu na e-mail zote zinafanana. ila hazina title
 
Hata mimi napokea e-mail kwa wote kwenye adress book yangu na e-mail zote zinafanana. ila hazina title

Hata mie nimepata emails za namna hiyohiyo kutoka kwa jamaa zangu. Cha msingi ni kubadili PW km wadau wengine wanavyoshauri hapo juu
 
Jee email hizo zinadai mtumaji kakwama ughaibuni na anahitaji msaada wa fedha? kama ndivyo zilianza zamani tu.

Badili passward au email adress kabisa.
 
Jee email hizo zinadai mtumaji kakwama ughaibuni na anahitaji msaada wa fedha? kama ndivyo zilianza zamani tu.

Badili passward au email adress kabisa.

No sio hizo. Hizi zina link, ukibofya inakupeleka site unauza viagra, nk. Kama Kikahe alivyosema hapo juu, hazina title.
 
No sio hizo. Hizi zina link, ukibofya inakupeleka site unauza viagra, nk. Kama Kikahe alivyosema hapo juu, hazina title.
Yeah ni kweli kabisa hata mimi napata so nani wa kuchange password hapa mimi au yule rafiki yangu mwenye email???
 
Hata mie nimepokea email za aina hiyo toka kwa friends, lkn nilipowauliza wakasema hawatuma vitu vya aina hiyo. Tena siyo za yahoo peke yake, nimepokea toka email za aol.com pia!
 
yeah keep ur mail safe...rulzhacker walisema internet mails is not safe to store ur secret there by theway mnajua kazi ya "spam" kwenye yahoo?
 
Back
Top Bottom