Yah: Uyoga, Vipepeo na Midoli Bunge la Watanzania

Bungeni-Dodoma.jpg

Ugomvi wa Kifikra: Mojawapo ya upotoshaji mkubwa uliotokea ni kuwaaminisha watu kuwa ipo haki fulani inaitwa "ya kupata habari live". Kwamba, usipopata habari "live" basi haki yako hiyo imevunjwa. Haki hii haipo mahali popote duniani, na haijawahi kutambuliwa na serikali yoyote duniani! Hakuna haki ya kupata habari "live"!

Ipo haki ya kupata na kutoa habari. Haki hii ni miongoni mwa haki za msingi za binadamu. Haki hii imeanishwa katika Azimio la Wote la Umoja wa Mataifa juu ya Haki za Binadamu la 1948 (Kifungu cha 19) ambalo nchi nyingi duniani nazo zimeikubali.

Tanzania nayo inatambua haki hii na tumeiweka Katika Katiba yetu Ibara ya 18. Haki ya kupata habari ni haki ya msingi ya binadamu, kwamba huwezi kumnyima mtu habari. Ningekuwa miongoni mwa watu ambao wamekasirika na kuja kuu kama Serikali ya Magufuli ingedai au hata kupendekeza kuwa Watanzania wasiambiwe au wasisikie kinachotokea Bungeni. Ningeungana na wengine kupinga vikali endapo angesema kuwa Serikali imeamua kuwa kuanzia sasa habari za Bunge hazitawekwa wazi kwa wananchi. HIlo lingekuwa ni kuvunja Ibara ya 18 ya Katiba na kwenda kinyume na Azimio la Umoja wa Taifa la Haki za Binadamu ambayo Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoliridhia.

Kama Magufuli na Serikali yake wangekuja na pendekezo kama hilo nina uhakika kesi rahisi kabisa ya Kikatiba ingeweza kufunguliwa dhidi ya uamuzi huo na kwa asilimia 100 Serikali ingeshindwa.

Binafsi naamini ipo haki kubwa zaidi ambayo inatishia Watanzania kupata habari sahihi kutoka kwa wawakilishi wao Bungeni. Wabunge wamechaguliwa na wananchi kuwawakilisha Bungeni; nii ni pamoja na kushiriki mijadala, kutoa maoni, kusimamia serikali, lakini kubwa zaidi kutunga sheria na kubadilisha sheria mbalimbali. Mbunge ambaye haendi Bungeni, au ambaye anatoka Bungeni kwa sababu tu hajapenda uamuzi fulani wa Kiti cha Spika au kupinga maamuzi fulani ya kisiasa anawanyima wananchi waliomwakilisha kupata habari sahihi - kwani akija na kuulizwa kuhusu jambo ambalo yeye hakuwepo Bungeni hawezi kutoa habari sahihi na hivyo atakuwa anawanyima wananchi haki yao chini ya Ibara ya 18 ya Katiba na chini ya Azimio la UM la Haki za Binadamu.

Ndugu zangu, kama kuna sababu ya wabunge kulumbana na kucharuka ni kuhusiana na wao kutokuwepo “live” Bungeni wakati mijadala mbalimbali inafanyika na wao kutoa mawazo au kutoa hoja na kupendekeza Sheria au Mabadiliko ya Sheria mbalimbali Bungeni. Kuna faida gani kwa wananchi kuona kinachotokea Bungeni “live” kama wale waliowatuma huko Bungeni hawapo “Live”. Mwananchi wa jimbo fulani atafurahia nini kuona Bungeni kinachofanyika “live” wakati Mbunge wa jimbo lake hayupo “live” Bungeni?

Mwananchi ambaye anamuuliza Mbunge wake kuhusu suala fulani ambalo alitakiwa awe ametolea maoni nay eye hakuwepo “live” Bungeni atafaidika nini kuambiwa kuwa ameona jinsi watu walivyozungumza kwa ukali mambo ambayo yeye hayamgusi na mbunge wake hakuwepo Bungeni? Hili ndilo jambo hasa la kulizungumzia.

Binafsi, ningekuwa na uwezo nisingejali sana hili la kuona au kutoona “live”; ningejali zaidi kile kinachofanyika “live” Bungeni hata kama mimi mwenyewe sioni kwa macho! Kwa sababu macho siyo chombo cha kuaminiwa sana kwa kukupa taarifa sahihi; vinginevyo, mazingaombwe yangekuwa yanaamini ni ukweli. Kuona tu haitoshi; tunataka tujue nini kinafanywa na wabunge wetu Bungeni.

Lakini ningeenda mbali zaidi; na ninatumaini Serikali ya Mabadiliko ya J.P. Magufuli itakuja na mabadiliko ya sheria ambayo wabunge wote watafurahia ambayo yataweka adhabu kwa wabunge watoro Bungeni. Kama wafanyakazi wengine kwenye makampuni wanapewa kiasi tu (limited) cha siku ambazo anaweza kusema alikuwa mgonjwa wabunge nao wapewe siku (na zisizidi siku saba) kwa mwaka (ambapo kikao cha Bunge kinafanyika) ambapo ataweza kutoa udhuru kuwa hawezi kuwepo Bungeni. Isipokuwa kwa Mbunge ambaye yuko mahututi amelazwa au amepewa leave na Daktari kwa muda fulani. Wengine wote watatakiwa wawepo Bungeni au kwa kila siku, saa ambayo hawapo wakati vikao vya Bunge vinafanyika “live” watakatwa kwenye mishahara yao shilingi 50,000 kwa kila saa ambayo hawapo Bungeni au kwenye vikao ambavyo wanatakiwa wawepo. Hatutaki tuone Bunge “live” tunataka tujue wabunge wako “live” bungeni – mbele ya Luninga au hata nje ya luninga!

Nje ya hapo, ni lazima tukatae sanaa za maigizo ambazo zinajaribu kuwashikisha Watanzania wanasesere na kuwaambia waimbe “mtoto, mtoto!” na wengine kweli wanadakia “ni mtoto mtoto!” ati kwa vile mdoli huyo unafumba na kufumbua macho na unacheka kwa sauti zinazotokana na spika zinazoendeshwa na betri tumboni! Wakati wa kuwalazimisha Watanzania washike vipepeo na kuimba “uyoga uyoga” umepita! Tusiwafanye watu wetu waamini haki ambazo hazipo zipo na zile haki zenyewe za msingi wasijue kuwa zipo na wanatakiwa kuzidai!

Lakini kuna kubwa zaidi; kama kweli Wabunge wanataka kulazimisha kitu fulani kifanywe na chombo cha serikali ni wao wenye jukumu la kutunga sheria na kutenga fedha kwa chombo chochote cha serikali. Kama Nape ameona kuwa ni gharama kubwa kurusha vipindi “Live” badala ya kususa na kukasirika wabunge wanaweza hata kutoa hoja ya dharura ikajadiliwa Bungeni na kuamuliwa ili Serikali ipeleke fedha za ziada kwa TBC ili irushe Bunge live. Na hata Bunge likirushwa “live” masaa 24 – wabunge wawemo au viti tu vinavyozunguka zunguka – bado Watanzania watakuwa wanadai haki yao ya kuona wabunge wao wapo Bungeni “live” na wanashiriki ipasavyo kwenye mijadala muhimu na inayogusa maisha yao.

Mengine haya ni vipepeo na uyoga tu! Sidandii hata.

MMM
Hoja yako MMM ina mashiko!
 
Sasa kama mnaamini kwamba TBC watafanya editing ina maana hamna imani kama TBC ni chombo cha haki, sasa iweje muanze kulilia na kukilaumu chombo ambacho hamkiamini kwa kuchukuwa maamuzi ambacho chenyewe kimeona inafaa?

Kama hamuamini TBC haiwezi kusema Ukweli basi hampaswi hata kuiangalia problem solved!
Kwani lawama zipo kwa TBC au serikali ktk hili?.

TBC inafuata maelekezo kutoka kwa bosi wake ambaye ni serikali ya CCM.

Kwa hiyo ni rahisi kufanya editing kwa raw bunge session kwa mujibu wa maelekezo ya bosi.

Tatizo watu tupo suspicious na agenda ya kutuletea recorded
 
Huna lolote acha kujipendekeza kwa CCM uliyoitukana kwa miaka zaidi ya 15 iliyopita, waongelea mabadiliko yapi akwa mfano? shame on you huna platform yeyote ya kusikilizwa labda ukaandike makala zako kwa gazeti la uhuru na jambo leo
Kuwa upinzani siyo lazima usiwe na akili.
Soma mantiki ya mjadala ulio mbele yako na uelewe.
Watu wanachezea kodi zetu huko bungeni nyie mnakenua tu!
 
Kilichonikera zaidi mimi ni kuona Naibu Spika kutowapa nafasi wabunge wa Upinzani wanapoomba Mwongozo...

Mfano; baada ya Waziri Jenister Mhagama kutoa taarifa kuhusu kivuko kuzama huko Kilombero,Mbunge wa jimbo hilo bwana Lijualikali aliomba nafasi lakini Naibu Spika akakataa....sasa nini maana ya Vikao vya Bunge.
 
Lakini kuna kubwa zaidi; kama kweli Wabunge wanataka kulazimisha kitu fulani kifanywe na chombo cha serikali ni wao wenye jukumu la kutunga sheria na kutenga fedha kwa chombo chochote cha serikali. Kama Nape ameona kuwa ni gharama kubwa kurusha vipindi “Live” badala ya kususa na kukasirika wabunge wanaweza hata kutoa hoja ya dharura ikajadiliwa Bungeni na kuamuliwa ili Serikali ipeleke fedha za ziada kwa TBC ili irushe Bunge live. Na hata Bunge likirushwa “live” masaa 24 – wabunge wawemo au viti tu vinavyozunguka zunguka – bado Watanzania watakuwa wanadai haki yao ya kuona wabunge wao wapo Bungeni “live” na wanashiriki ipasavyo kwenye mijadala muhimu na inayogusa maisha yao.

Mengine haya ni vipepeo na uyoga tu! Sidandii hata.

MMM
Mzee wangu hebu soma vizuri ulichokiandika hapa.
 
Nimefikiria kitu kingine....vipi wakipigania bunge liwe na kitengo [idara] chake cha media ambacho kitakuwa na wajibu wa kurekodi 'live audio na video' za shughuli za bunge halafu vyombo vya habari vikawa vinachukua live feed kutoka kwake na kulipia ada ndogo?

Au tayari utaratibu kama huo upo?
that won't happen,75% ya wabunge wa ccm ni tawi la serikali na ndio majority,kama wameunga mkono tbc kutorusha "live" watapinga kuanzishwa kwa tv ya bunge itakayoorusha moja kwa moja.
 
Bungeni-Dodoma.jpg

Ugomvi wa Kifikra: Mojawapo ya upotoshaji mkubwa uliotokea ni kuwaaminisha watu kuwa ipo haki fulani inaitwa "ya kupata habari live". Kwamba, usipopata habari "live" basi haki yako hiyo imevunjwa. Haki hii haipo mahali popote duniani, na haijawahi kutambuliwa na serikali yoyote duniani! Hakuna haki ya kupata habari "live"!

Ipo haki ya kupata na kutoa habari. Haki hii ni miongoni mwa haki za msingi za binadamu. Haki hii imeanishwa katika Azimio la Wote la Umoja wa Mataifa juu ya Haki za Binadamu la 1948 (Kifungu cha 19) ambalo nchi nyingi duniani nazo zimeikubali.

Tanzania nayo inatambua haki hii na tumeiweka Katika Katiba yetu Ibara ya 18. Haki ya kupata habari ni haki ya msingi ya binadamu, kwamba huwezi kumnyima mtu habari. Ningekuwa miongoni mwa watu ambao wamekasirika na kuja kuu kama Serikali ya Magufuli ingedai au hata kupendekeza kuwa Watanzania wasiambiwe au wasisikie kinachotokea Bungeni. Ningeungana na wengine kupinga vikali endapo angesema kuwa Serikali imeamua kuwa kuanzia sasa habari za Bunge hazitawekwa wazi kwa wananchi. HIlo lingekuwa ni kuvunja Ibara ya 18 ya Katiba na kwenda kinyume na Azimio la Umoja wa Taifa la Haki za Binadamu ambayo Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoliridhia.

Kama Magufuli na Serikali yake wangekuja na pendekezo kama hilo nina uhakika kesi rahisi kabisa ya Kikatiba ingeweza kufunguliwa dhidi ya uamuzi huo na kwa asilimia 100 Serikali ingeshindwa.

Binafsi naamini ipo haki kubwa zaidi ambayo inatishia Watanzania kupata habari sahihi kutoka kwa wawakilishi wao Bungeni. Wabunge wamechaguliwa na wananchi kuwawakilisha Bungeni; nii ni pamoja na kushiriki mijadala, kutoa maoni, kusimamia serikali, lakini kubwa zaidi kutunga sheria na kubadilisha sheria mbalimbali. Mbunge ambaye haendi Bungeni, au ambaye anatoka Bungeni kwa sababu tu hajapenda uamuzi fulani wa Kiti cha Spika au kupinga maamuzi fulani ya kisiasa anawanyima wananchi waliomwakilisha kupata habari sahihi - kwani akija na kuulizwa kuhusu jambo ambalo yeye hakuwepo Bungeni hawezi kutoa habari sahihi na hivyo atakuwa anawanyima wananchi haki yao chini ya Ibara ya 18 ya Katiba na chini ya Azimio la UM la Haki za Binadamu.

Ndugu zangu, kama kuna sababu ya wabunge kulumbana na kucharuka ni kuhusiana na wao kutokuwepo “live” Bungeni wakati mijadala mbalimbali inafanyika na wao kutoa mawazo au kutoa hoja na kupendekeza Sheria au Mabadiliko ya Sheria mbalimbali Bungeni. Kuna faida gani kwa wananchi kuona kinachotokea Bungeni “live” kama wale waliowatuma huko Bungeni hawapo “Live”. Mwananchi wa jimbo fulani atafurahia nini kuona Bungeni kinachofanyika “live” wakati Mbunge wa jimbo lake hayupo “live” Bungeni?

Mwananchi ambaye anamuuliza Mbunge wake kuhusu suala fulani ambalo alitakiwa awe ametolea maoni nay eye hakuwepo “live” Bungeni atafaidika nini kuambiwa kuwa ameona jinsi watu walivyozungumza kwa ukali mambo ambayo yeye hayamgusi na mbunge wake hakuwepo Bungeni? Hili ndilo jambo hasa la kulizungumzia.

Binafsi, ningekuwa na uwezo nisingejali sana hili la kuona au kutoona “live”; ningejali zaidi kile kinachofanyika “live” Bungeni hata kama mimi mwenyewe sioni kwa macho! Kwa sababu macho siyo chombo cha kuaminiwa sana kwa kukupa taarifa sahihi; vinginevyo, mazingaombwe yangekuwa yanaamini ni ukweli. Kuona tu haitoshi; tunataka tujue nini kinafanywa na wabunge wetu Bungeni.

Lakini ningeenda mbali zaidi; na ninatumaini Serikali ya Mabadiliko ya J.P. Magufuli itakuja na mabadiliko ya sheria ambayo wabunge wote watafurahia ambayo yataweka adhabu kwa wabunge watoro Bungeni. Kama wafanyakazi wengine kwenye makampuni wanapewa kiasi tu (limited) cha siku ambazo anaweza kusema alikuwa mgonjwa wabunge nao wapewe siku (na zisizidi siku saba) kwa mwaka (ambapo kikao cha Bunge kinafanyika) ambapo ataweza kutoa udhuru kuwa hawezi kuwepo Bungeni. Isipokuwa kwa Mbunge ambaye yuko mahututi amelazwa au amepewa leave na Daktari kwa muda fulani. Wengine wote watatakiwa wawepo Bungeni au kwa kila siku, saa ambayo hawapo wakati vikao vya Bunge vinafanyika “live” watakatwa kwenye mishahara yao shilingi 50,000 kwa kila saa ambayo hawapo Bungeni au kwenye vikao ambavyo wanatakiwa wawepo. Hatutaki tuone Bunge “live” tunataka tujue wabunge wako “live” bungeni – mbele ya Luninga au hata nje ya luninga!

Nje ya hapo, ni lazima tukatae sanaa za maigizo ambazo zinajaribu kuwashikisha Watanzania wanasesere na kuwaambia waimbe “mtoto, mtoto!” na wengine kweli wanadakia “ni mtoto mtoto!” ati kwa vile mdoli huyo unafumba na kufumbua macho na unacheka kwa sauti zinazotokana na spika zinazoendeshwa na betri tumboni! Wakati wa kuwalazimisha Watanzania washike vipepeo na kuimba “uyoga uyoga” umepita! Tusiwafanye watu wetu waamini haki ambazo hazipo zipo na zile haki zenyewe za msingi wasijue kuwa zipo na wanatakiwa kuzidai!

Lakini kuna kubwa zaidi; kama kweli Wabunge wanataka kulazimisha kitu fulani kifanywe na chombo cha serikali ni wao wenye jukumu la kutunga sheria na kutenga fedha kwa chombo chochote cha serikali. Kama Nape ameona kuwa ni gharama kubwa kurusha vipindi “Live” badala ya kususa na kukasirika wabunge wanaweza hata kutoa hoja ya dharura ikajadiliwa Bungeni na kuamuliwa ili Serikali ipeleke fedha za ziada kwa TBC ili irushe Bunge live. Na hata Bunge likirushwa “live” masaa 24 – wabunge wawemo au viti tu vinavyozunguka zunguka – bado Watanzania watakuwa wanadai haki yao ya kuona wabunge wao wapo Bungeni “live” na wanashiriki ipasavyo kwenye mijadala muhimu na inayogusa maisha yao.

Mengine haya ni vipepeo na uyoga tu! Sidandii hata.

MMM

Mkuu MMM,

Kwamtazamo wako ni sawa kabisa ila kihalisia na matukio mengi yanayo wakumba watanzania na ambayo hayatatuliwi kwa wakati na viongozi wakiwa bungeni Toka enzi ya Radio ya taifa ikirusha live bunge yet ahadi zao hazitufikii kiasi kile ni filimeeee (maigizo) tu kila mara.

Ni nini leo wanasifia serikali makini alafu inajishukuuu hapo kuna political propaganda inachezwa kufunika kombe mwana haramu apite.

Kitu kinacho wasumbua CCM ni kutokuwa makini kwani walisha poteza imani kubwa sana kwa wananchi matukio haya yote ya Ufisadi,ubadhirifu na uhuni wa kuongoza seruikali kwa kuunga unga ndiko kuna wasuta, Siasa ya vyama vingi CCM haiwezi ilisha jiwekea wao ndio wawe watawala wa Nchi hii ukiwa we wa upande wa pili hapana hustahili kuingia IKULU khaaaa kwanini mkuu?

MMM toka wapinzani watoke inje ya ukumbi wa bunge umewasikia wabunge wa CCM wanavyo toa points zao? kwanza wanapoteza muda kwa kusifia tuu hawaiurizi serikali? wao wamekalia lakini basi naiomba serikali yangu ifanye hiki na kile mnapo kuwa mna nadi sera za CCM na kupitisha budget huwaga wanafanya tathimini baada ya budget? wamesahau walikuwa wanakopa kwa kuongeza budget means misaada, while nchi ilikuwa na uwezo wa kukusanya kodi leo hii wanazunguka mbuyu wanakuja na topi ya Bunge lisiwe live wanaficha nini?

My Take:

Sababu walizo zitoa Nape na Waziri mkuu Majaliwa hazina mashiko kabisaaa, Wanaacha mambo ya msingi wao wanaenda kwenye technocal mind destruction kwa wananchi, me nasema hii ni video kwanini leo unakamatakamata fukuza sasa wananchi wanapo ona sasa ndio wakati muafaka wa haki kutendeka unajistukia ulichemka ili kupooza unaanzisha sekeseke jingine kuwaondo wananchi walicho kiona cha kwanza.

Wananchi tumeamishwa kwa kuambiwa hakuna live coverage za bunge tunasahau kesi za Escrow Makontena Takukuru TPA, wakati serikali ilipaswa toa ufafanuzi kuwa TV station zingine zitaendelea pia, Ila kinacho tusikitisha tulihama toka analogy tukaja digital na tukanunua ving'amuzi na tunavirecharge kila mwezi pesa hii yote ianakwenda wapi? Kodi twalipa sasa watuambie wanazigawanyaje hizi pesa kwa mashirika ya umma.

Hapa serikali inatuonyesha mapungufu yake ya kiutendaji kukurupuka saaana bila kuwa na mbinu mbadala.

Ni nani anamsimamia nani Serikali kusimamia bunge au bunge kusimamia serikali?
 
Na hizi stori za kijiweni nazo zitafika mahali zitakwama tu; mmeingia mahaba ya mabadiliko feki kiasi kwamba hamtaki kuamini mmeuzwa wazima wazima. Kutoka hamtoki mmebakia kupinga tu mabadiliko ya kweli.
Hao wote waliotuletea hizi nadharia za maendeleo na mabadiliko wanasema kuwa 'information is power'. Na uelewa wangu unaonyesha kwamba maendeleo na mabadiliko ni kwenda mbele huku ukihifadhi (maintain) hatua au 'gains' zilizotangulia.
Sasa kama MMM unasema mabadiliko ya kweli yako kwa JPM ina maana ya JK yalikuwa 'mabadiliko ya uongo' na kama ni hivyo mnatuaminishaje kuwa kufuta hatua ambayo JK alikuwa amefikia ya kuonyesha haya mambo 'live' ndio backwardness!???

Lakini pia hamuoni kwamba Watanzania kwenye lack of information ndicho chanzo cha kudharauliwa kwetu!? Ni kwa nini tusiwape watz uhuru wa kutambua kwamba mijadala ya kitaifa isiyo na tija ndicho chanzo cha umasikini wetu ili kama inadhihirika basi ipigwe marufuku (naamaanisha vikao vya bunge kufutwa) kama zilivyosimamishwa semina nyingine!
 
TBccm leo imekua mali? Tumeaminishwa kwamba wenye akili waliacha kuangalia TV hii miaka mingi kumbe LAGHAI wakubwa. Aibu yao

Bunge ni Muhimili mkubwa sana katika nchi na bunge sio January mpaka December laonyeshwa live kumbukeni hilo lina nyakati zake katika mwaka sasa linapo fika wananchi ndipo wanapo taka kujua fika mwenendo wa Nchi yao inaendaje je vilitekelezwa vingapi na vitatekelezwaje lini na lini na kupata mrejesho.

Tulipita na Mkapa/ JK hapakuwa na shida as we much further kumbe tunataka kurudishana nyuma pale tunapotegemea mabadiliko zaidi ya live na ya kidemocrasia wenzetu wanapanga hapana haistahili iyo khaaa jamani tunaelekea dunia ya utandawazi mnataka tuishi stone age style kweli?
 
Hao wote waliotuletea hizi madharia za maendeleo na mabadiliko wanasema kwa 'information is power'. Na uelewa wangu unaonyesha kwamba maendeleo na mabadiliko ni kwenda mbele huku ukihifadhi (maintain) hatua au 'gains' zilizotangulia.
Sasa kama MMM unasema mabadiliko ya kweli yako kwa JPM ina maana ya JK yalikuwa 'mabadiliko ya uongo' na kama ni hivyo mnatuaminishaje kuwa kufuta hatua ambayo JK alikuwa amefikia ya kuonyesha haya mambo 'live' ndi backwardness!???

Lakini pia hamuoni kwamba Watanzania kwenye lack of information ndicho chanzo cha kudharauliwa kwetu!? Ni kwa nini

Hapo umenena kweli Mkuu Lukindo
 
Enhee, hapo sasa tupo ukurasa mmoja kwani hata mimi toka jana nimekuwa najiuliza...'hivi, kwani vituo vingine vya runinga na redio haviwezi kurusha na/au ku-stream live hizo shughuli za bunge'?
hivyo havitumii kodi ya wananchi,TBC hizi ndio haswa shughulo zake
 
Bungeni-Dodoma.jpg

Ugomvi wa Kifikra: Mojawapo ya upotoshaji mkubwa uliotokea ni kuwaaminisha watu kuwa ipo haki fulani inaitwa "ya kupata habari live". Kwamba, usipopata habari "live" basi haki yako hiyo imevunjwa. Haki hii haipo mahali popote duniani, na haijawahi kutambuliwa na serikali yoyote duniani! Hakuna haki ya kupata habari "live"!

Ipo haki ya kupata na kutoa habari. Haki hii ni miongoni mwa haki za msingi za binadamu. Haki hii imeanishwa katika Azimio la Wote la Umoja wa Mataifa juu ya Haki za Binadamu la 1948 (Kifungu cha 19) ambalo nchi nyingi duniani nazo zimeikubali.

Tanzania nayo inatambua haki hii na tumeiweka Katika Katiba yetu Ibara ya 18. Haki ya kupata habari ni haki ya msingi ya binadamu, kwamba huwezi kumnyima mtu habari. Ningekuwa miongoni mwa watu ambao wamekasirika na kuja kuu kama Serikali ya Magufuli ingedai au hata kupendekeza kuwa Watanzania wasiambiwe au wasisikie kinachotokea Bungeni. Ningeungana na wengine kupinga vikali endapo angesema kuwa Serikali imeamua kuwa kuanzia sasa habari za Bunge hazitawekwa wazi kwa wananchi. HIlo lingekuwa ni kuvunja Ibara ya 18 ya Katiba na kwenda kinyume na Azimio la Umoja wa Taifa la Haki za Binadamu ambayo Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoliridhia.

Kama Magufuli na Serikali yake wangekuja na pendekezo kama hilo nina uhakika kesi rahisi kabisa ya Kikatiba ingeweza kufunguliwa dhidi ya uamuzi huo na kwa asilimia 100 Serikali ingeshindwa.

Binafsi naamini ipo haki kubwa zaidi ambayo inatishia Watanzania kupata habari sahihi kutoka kwa wawakilishi wao Bungeni. Wabunge wamechaguliwa na wananchi kuwawakilisha Bungeni; nii ni pamoja na kushiriki mijadala, kutoa maoni, kusimamia serikali, lakini kubwa zaidi kutunga sheria na kubadilisha sheria mbalimbali. Mbunge ambaye haendi Bungeni, au ambaye anatoka Bungeni kwa sababu tu hajapenda uamuzi fulani wa Kiti cha Spika au kupinga maamuzi fulani ya kisiasa anawanyima wananchi waliomwakilisha kupata habari sahihi - kwani akija na kuulizwa kuhusu jambo ambalo yeye hakuwepo Bungeni hawezi kutoa habari sahihi na hivyo atakuwa anawanyima wananchi haki yao chini ya Ibara ya 18 ya Katiba na chini ya Azimio la UM la Haki za Binadamu.

Ndugu zangu, kama kuna sababu ya wabunge kulumbana na kucharuka ni kuhusiana na wao kutokuwepo “live” Bungeni wakati mijadala mbalimbali inafanyika na wao kutoa mawazo au kutoa hoja na kupendekeza Sheria au Mabadiliko ya Sheria mbalimbali Bungeni. Kuna faida gani kwa wananchi kuona kinachotokea Bungeni “live” kama wale waliowatuma huko Bungeni hawapo “Live”. Mwananchi wa jimbo fulani atafurahia nini kuona Bungeni kinachofanyika “live” wakati Mbunge wa jimbo lake hayupo “live” Bungeni?

Mwananchi ambaye anamuuliza Mbunge wake kuhusu suala fulani ambalo alitakiwa awe ametolea maoni nay eye hakuwepo “live” Bungeni atafaidika nini kuambiwa kuwa ameona jinsi watu walivyozungumza kwa ukali mambo ambayo yeye hayamgusi na mbunge wake hakuwepo Bungeni? Hili ndilo jambo hasa la kulizungumzia.

Binafsi, ningekuwa na uwezo nisingejali sana hili la kuona au kutoona “live”; ningejali zaidi kile kinachofanyika “live” Bungeni hata kama mimi mwenyewe sioni kwa macho! Kwa sababu macho siyo chombo cha kuaminiwa sana kwa kukupa taarifa sahihi; vinginevyo, mazingaombwe yangekuwa yanaamini ni ukweli. Kuona tu haitoshi; tunataka tujue nini kinafanywa na wabunge wetu Bungeni.

Lakini ningeenda mbali zaidi; na ninatumaini Serikali ya Mabadiliko ya J.P. Magufuli itakuja na mabadiliko ya sheria ambayo wabunge wote watafurahia ambayo yataweka adhabu kwa wabunge watoro Bungeni. Kama wafanyakazi wengine kwenye makampuni wanapewa kiasi tu (limited) cha siku ambazo anaweza kusema alikuwa mgonjwa wabunge nao wapewe siku (na zisizidi siku saba) kwa mwaka (ambapo kikao cha Bunge kinafanyika) ambapo ataweza kutoa udhuru kuwa hawezi kuwepo Bungeni. Isipokuwa kwa Mbunge ambaye yuko mahututi amelazwa au amepewa leave na Daktari kwa muda fulani. Wengine wote watatakiwa wawepo Bungeni au kwa kila siku, saa ambayo hawapo wakati vikao vya Bunge vinafanyika “live” watakatwa kwenye mishahara yao shilingi 50,000 kwa kila saa ambayo hawapo Bungeni au kwenye vikao ambavyo wanatakiwa wawepo. Hatutaki tuone Bunge “live” tunataka tujue wabunge wako “live” bungeni – mbele ya Luninga au hata nje ya luninga!

Nje ya hapo, ni lazima tukatae sanaa za maigizo ambazo zinajaribu kuwashikisha Watanzania wanasesere na kuwaambia waimbe “mtoto, mtoto!” na wengine kweli wanadakia “ni mtoto mtoto!” ati kwa vile mdoli huyo unafumba na kufumbua macho na unacheka kwa sauti zinazotokana na spika zinazoendeshwa na betri tumboni! Wakati wa kuwalazimisha Watanzania washike vipepeo na kuimba “uyoga uyoga” umepita! Tusiwafanye watu wetu waamini haki ambazo hazipo zipo na zile haki zenyewe za msingi wasijue kuwa zipo na wanatakiwa kuzidai!

Lakini kuna kubwa zaidi; kama kweli Wabunge wanataka kulazimisha kitu fulani kifanywe na chombo cha serikali ni wao wenye jukumu la kutunga sheria na kutenga fedha kwa chombo chochote cha serikali. Kama Nape ameona kuwa ni gharama kubwa kurusha vipindi “Live” badala ya kususa na kukasirika wabunge wanaweza hata kutoa hoja ya dharura ikajadiliwa Bungeni na kuamuliwa ili Serikali ipeleke fedha za ziada kwa TBC ili irushe Bunge live. Na hata Bunge likirushwa “live” masaa 24 – wabunge wawemo au viti tu vinavyozunguka zunguka – bado Watanzania watakuwa wanadai haki yao ya kuona wabunge wao wapo Bungeni “live” na wanashiriki ipasavyo kwenye mijadala muhimu na inayogusa maisha yao.

Mengine haya ni vipepeo na uyoga tu! Sidandii hata.

MMM

Hopeless comments
 
Kwa point zako hizi unaonekana akili zako bado zimefungiwa lumumba
hahaha... mkuu hiyo ni kawaida kwa Mafisi...Wao akili zao huzifungia Lumumba hadi wanapotoka madarakani ama kibarua kikiota nyasi... muone Membe baada ya kuacha uongozi, amezipitia akili zake huko Lumumba na sasa anazungumza mambo ya hekima..
kwa hata huyu jamaa..ipo siku atarudishiwa akili na atauona ukweli...ila kwa sasa bado ni msukule...mpe pole ndugu yangu
 
Duh, umeandika vizuri sana
 
Kwa hiyo kama h
Mkuu labda nikuulize, ni nchi gani duniani ambayo kikao cha Bunge kinaonyeshwa Live kwenye televisheni kwa zaidi ya nusu saa, achilia mbali masaa sita na wananchi wamekaa wanatazama?

Kwa hiyo kama hakuna na sisi tuige?.Kwani tunafanana nao kwa namna ya tunavyoendesha mambo yetu ?
 
Na kwa nini JF ifungiwe? Kwani TBC imefungiwa? Nijuavyo mimi Serikali imesema Bunge litarekodiwa na kuonyeshwa jioni na kurudiwa wkend sasa sijui tatitzo liko wapi hapo?

Na hii siyo TZ peke yake nchi nyingi Duniani hata zile tunazoziiga kwa mambo ya kiutawala ambazo kila siku hulaumu Serikali yetu kwa nini haifanyi kama wao hufanya hivi kwamba Bunge huonyeshwa jioni!

Hebu toa mfano...
Live coverage inaendana na mabadiliko na kukua kwa technolojia...
 
Eti wanasema sheria ya TCRA inakataza matangazo, hii sheria katunga MUNGU au shetani?

Sheria ya MUNGU huwa haibadilishwi, ya shetani yote yanabadilishwa.

Mwanakijiji anawaona kina Magu kama MUNGU vile kuwa hawakosei.
 
Bungeni-Dodoma.jpg

Ugomvi wa Kifikra: Mojawapo ya upotoshaji mkubwa uliotokea ni kuwaaminisha watu kuwa ipo haki fulani inaitwa "ya kupata habari live". Kwamba, usipopata habari "live" basi haki yako hiyo imevunjwa. Haki hii haipo mahali popote duniani, na haijawahi kutambuliwa na serikali yoyote duniani! Hakuna haki ya kupata habari "live"!

Ipo haki ya kupata na kutoa habari. Haki hii ni miongoni mwa haki za msingi za binadamu. Haki hii imeanishwa katika Azimio la Wote la Umoja wa Mataifa juu ya Haki za Binadamu la 1948 (Kifungu cha 19) ambalo nchi nyingi duniani nazo zimeikubali.

Tanzania nayo inatambua haki hii na tumeiweka Katika Katiba yetu Ibara ya 18. Haki ya kupata habari ni haki ya msingi ya binadamu, kwamba huwezi kumnyima mtu habari. Ningekuwa miongoni mwa watu ambao wamekasirika na kuja kuu kama Serikali ya Magufuli ingedai au hata kupendekeza kuwa Watanzania wasiambiwe au wasisikie kinachotokea Bungeni. Ningeungana na wengine kupinga vikali endapo angesema kuwa Serikali imeamua kuwa kuanzia sasa habari za Bunge hazitawekwa wazi kwa wananchi. HIlo lingekuwa ni kuvunja Ibara ya 18 ya Katiba na kwenda kinyume na Azimio la Umoja wa Taifa la Haki za Binadamu ambayo Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoliridhia.

Kama Magufuli na Serikali yake wangekuja na pendekezo kama hilo nina uhakika kesi rahisi kabisa ya Kikatiba ingeweza kufunguliwa dhidi ya uamuzi huo na kwa asilimia 100 Serikali ingeshindwa.

Binafsi naamini ipo haki kubwa zaidi ambayo inatishia Watanzania kupata habari sahihi kutoka kwa wawakilishi wao Bungeni. Wabunge wamechaguliwa na wananchi kuwawakilisha Bungeni; nii ni pamoja na kushiriki mijadala, kutoa maoni, kusimamia serikali, lakini kubwa zaidi kutunga sheria na kubadilisha sheria mbalimbali. Mbunge ambaye haendi Bungeni, au ambaye anatoka Bungeni kwa sababu tu hajapenda uamuzi fulani wa Kiti cha Spika au kupinga maamuzi fulani ya kisiasa anawanyima wananchi waliomwakilisha kupata habari sahihi - kwani akija na kuulizwa kuhusu jambo ambalo yeye hakuwepo Bungeni hawezi kutoa habari sahihi na hivyo atakuwa anawanyima wananchi haki yao chini ya Ibara ya 18 ya Katiba na chini ya Azimio la UM la Haki za Binadamu.

Ndugu zangu, kama kuna sababu ya wabunge kulumbana na kucharuka ni kuhusiana na wao kutokuwepo “live” Bungeni wakati mijadala mbalimbali inafanyika na wao kutoa mawazo au kutoa hoja na kupendekeza Sheria au Mabadiliko ya Sheria mbalimbali Bungeni. Kuna faida gani kwa wananchi kuona kinachotokea Bungeni “live” kama wale waliowatuma huko Bungeni hawapo “Live”. Mwananchi wa jimbo fulani atafurahia nini kuona Bungeni kinachofanyika “live” wakati Mbunge wa jimbo lake hayupo “live” Bungeni?

Mwananchi ambaye anamuuliza Mbunge wake kuhusu suala fulani ambalo alitakiwa awe ametolea maoni nay eye hakuwepo “live” Bungeni atafaidika nini kuambiwa kuwa ameona jinsi watu walivyozungumza kwa ukali mambo ambayo yeye hayamgusi na mbunge wake hakuwepo Bungeni? Hili ndilo jambo hasa la kulizungumzia.

Binafsi, ningekuwa na uwezo nisingejali sana hili la kuona au kutoona “live”; ningejali zaidi kile kinachofanyika “live” Bungeni hata kama mimi mwenyewe sioni kwa macho! Kwa sababu macho siyo chombo cha kuaminiwa sana kwa kukupa taarifa sahihi; vinginevyo, mazingaombwe yangekuwa yanaamini ni ukweli. Kuona tu haitoshi; tunataka tujue nini kinafanywa na wabunge wetu Bungeni.

Lakini ningeenda mbali zaidi; na ninatumaini Serikali ya Mabadiliko ya J.P. Magufuli itakuja na mabadiliko ya sheria ambayo wabunge wote watafurahia ambayo yataweka adhabu kwa wabunge watoro Bungeni. Kama wafanyakazi wengine kwenye makampuni wanapewa kiasi tu (limited) cha siku ambazo anaweza kusema alikuwa mgonjwa wabunge nao wapewe siku (na zisizidi siku saba) kwa mwaka (ambapo kikao cha Bunge kinafanyika) ambapo ataweza kutoa udhuru kuwa hawezi kuwepo Bungeni. Isipokuwa kwa Mbunge ambaye yuko mahututi amelazwa au amepewa leave na Daktari kwa muda fulani. Wengine wote watatakiwa wawepo Bungeni au kwa kila siku, saa ambayo hawapo wakati vikao vya Bunge vinafanyika “live” watakatwa kwenye mishahara yao shilingi 50,000 kwa kila saa ambayo hawapo Bungeni au kwenye vikao ambavyo wanatakiwa wawepo. Hatutaki tuone Bunge “live” tunataka tujue wabunge wako “live” bungeni – mbele ya Luninga au hata nje ya luninga!

Nje ya hapo, ni lazima tukatae sanaa za maigizo ambazo zinajaribu kuwashikisha Watanzania wanasesere na kuwaambia waimbe “mtoto, mtoto!” na wengine kweli wanadakia “ni mtoto mtoto!” ati kwa vile mdoli huyo unafumba na kufumbua macho na unacheka kwa sauti zinazotokana na spika zinazoendeshwa na betri tumboni! Wakati wa kuwalazimisha Watanzania washike vipepeo na kuimba “uyoga uyoga” umepita! Tusiwafanye watu wetu waamini haki ambazo hazipo zipo na zile haki zenyewe za msingi wasijue kuwa zipo na wanatakiwa kuzidai!

Lakini kuna kubwa zaidi; kama kweli Wabunge wanataka kulazimisha kitu fulani kifanywe na chombo cha serikali ni wao wenye jukumu la kutunga sheria na kutenga fedha kwa chombo chochote cha serikali. Kama Nape ameona kuwa ni gharama kubwa kurusha vipindi “Live” badala ya kususa na kukasirika wabunge wanaweza hata kutoa hoja ya dharura ikajadiliwa Bungeni na kuamuliwa ili Serikali ipeleke fedha za ziada kwa TBC ili irushe Bunge live. Na hata Bunge likirushwa “live” masaa 24 – wabunge wawemo au viti tu vinavyozunguka zunguka – bado Watanzania watakuwa wanadai haki yao ya kuona wabunge wao wapo Bungeni “live” na wanashiriki ipasavyo kwenye mijadala muhimu na inayogusa maisha yao.

Mengine haya ni vipepeo na uyoga tu! Sidandii hata.

MMM
Pana vitu ambavyo watanzania wanahitaji kuona live na kuoneshwa recorded. Endapo bunge litarekodiwa na ili wananchi waoneshwe matukio yote yaliyojiri, najiuliza kuwa muda utakaotumika kurushwa hiyo recorded utakuwa tofauti na ule wa live? Au hizo recorded lengo lake ni kutuonyesha episode kama zile za hotuba ya baba wa taifa?.

Kikao hicho ni cha msingi sana watu wote kuona kinachoendelea kadri ya mida yao na ishu ya kuwepo mbunge wake live ni ishu nyingine. Wazo au hoja inaweza tolewa na mbunge yeyote na ikawa na manufaa kwa taifa zima. Hoja yako ya kutaka mbunge pekee ndio iwe msingi wa live bungeni na baadae awapelekee wananchi wake ni Sawa na kusema hoja ya Kafulila ya escrow iliwahusu wananchi wa jimbo lake tu na hivyo hivyo kwenye hoja za zitto za akaunti za nje ya nchi na mafisadi.

Cha msingi kama TBC Hawana bajeti viachwe vyombo vya Habari binafsi virushe kwani bajeti zake hazitegemei Serikali.
 
Lakini ningeenda mbali zaidi; na ninatumaini Serikali ya Mabadiliko ya J.P. Magufuli itakuja na mabadiliko ya sheria ambayo wabunge wote watafurahia ambayo yataweka adhabu kwa wabunge watoro Bungeni.
Mzee Mwanakijiji,

Kwa muda mrefu binafsi nimekuwa nikiamini tatizo la CCM ni watu waliomo ndani ya CCM na mfumo mzima-- kwamba, sera hizi hizi zikipata wasimamizi na watendaji wazuri na walio waadilifu basi nchi hii isingeweza kuwa maskini. Kinyume chake, mara nyingi ulikuwa ukisisitiza kwamba CCM hata iongozwe na nani; CCM ni CCM tu!!! Moja ya post zako ambazo hata hivyo sikukuunga mkono ni hii hapa:
Wapo baadhi yetu ambao wanaamini kuwa "sera za CCM ni nzuri ila zimekosa watekelezaji tu". Wapo wanaoamini kuwa sera hizi ni nzuri sana vitabuni ila hazijapata watu wazuri kuweza kuzifanyia kazi. Wengine wamefikia kuamini kuwa uzuri wa sera hizi unasababisha hata nchi jirani kuzi"copy" na kuzi"paste" kwenye mipango yao. Wale wenye kuamini hivi hatimaye huamini kuwa siku moja CCM itaweza kupata watu wazuri wa kuzitekeleza sera zake - hadi hivi sasa inaonekana watu hao hawapo. Miaka hamsini ya kutawala ati hawajapatikana watu wakuzitekeleza sera hizi vizuri.

Sisi wengine tunasema siyo tu wamekosa watu wa kuzitekeleza bali hata wakipata watu wazuri kiasi gani sera hizo hazitekelezeki. Hazitekelezeki kwa sababu ni sera mbovu zilizoandikwa kwa maneno mazuri. Kwa watu wanaopenda maneno matamu ni rahisi sana kuhadaika na sera hizo.

----
Kama kuna mtu anasema wana sera nzuri; naombeni hata mfano mmoja wa maana wa uzuri wa sera zao.
Pamoja na yote hayo, hivi sasa umeonekana ukiunga mkono kila kinachofanywa na serikali ya chama kile kile chenye sera zile zile ambazo, according to you:
hata wakipata watu wazuri kiasi gani sera hizo hazitekelezeki
But even more interesting; 100% ya uongozi wa CCM ni ule ule na waliorudi serikalini including "Oval" Office ni wale wale waliozaliwa kule kule!
MASWALI:
  • Nini kimebadilika kwenye sera za CCM?
  • Hivi kweli tatizo lako lilikuwa CCM au baadhi ya watu ambao walikuwa CCM hususani JK na Lowassa?
Hivi unakumbuka kwamba:
(Lowassa) mgombea wa CCM na atakuja na chama chake kile kile cha miaka zaidi ya hamsini.
Hivi CCM ya 2012 -2015 iliyokuwa chini ya Mwenyekiti Jakaya Mrisho Kikwete ina tofauti gani na CCM ya After October 25; 2015 yenye viongozi wale wale?!!

Usidhani kwamba nimetoka kwenye mada kwa kuitaja sana CCM bali issue ni kwamba; wakati wengine tulikuwa tunaamini na kusimamia kwamba tatizo la CCM ni la kiuongozi zaidi lakini kwa miaka yote hii wewe umekuwa ukiimba kwamba CCM hii hata itoe nani bado serikali yake itabaki kuwa serikali ya CCM ile ile ya miaka 54 iliyopita!! Am I missing a dot here; Sir?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Shida kubwa ya uhuru wa kutoa maoni ni kuwa unatakiwa kuyaheshimu maoni ya muhusika hata kama yanaonekana ni pumba!
 
Back
Top Bottom