Kuwa upinzani siyo lazima usiwe na akili.
Soma mantiki ya mjadala ulio mbele yako na uelewe.
Watu wanachezea kodi zetu huko bungeni nyie mnakenua tu!
Swali zuri. Mijitu inashabikia tu bila mantiki. Anayedhani hili linawezekana basi afungue kituo chake spesheli kwa ajili ya kuonyesha shughuli za serikali kama walivyofanya jamaa wa C-span kule Marekani.Mkuu labda nikuulize, ni nchi gani duniani ambayo kikao cha Bunge kinaonyeshwa Live kwenye televisheni kwa zaidi ya nusu saa, achilia mbali masaa sita na wananchi wamekaa wanatazama?
Duh! limbwata la Kihaya!huyu mzee na mzee mwenzie padri slaa tokea walambishwe hela za magamba na limbwata la kihaya wamekuwa kama mahayawani!we mzee usiyepiga hata kura hapa tanzania funga bakuli lako unatupigia kelele!hivi slaa bado analala sebleni kwako huko marekani?!!
kodi gani unalipa wewe na suruali yako iliyochanika kwenye vikalio
Nimemdharau sana alieanzisha bandiko hili...Ohh wabunge wawepo live
lakini watanzania waoneshwe edited na recorded version sio?
kweli hapa kazi tu
Ni akili kama hiyo ndo mnacheza mayenu bungeni, very irresponsible.kodi gani unalipa wewe na suruali yako iliyochanika kwenye vikalio
Hivi wenzetu nilini mtaacha hizi Tabia za MTU mwingine kufikiri kwa niaba yenu.....
Na kwa nini JF ifungiwe? Kwani TBC imefungiwa? Nijuavyo mimi Serikali imesema Bunge litarekodiwa na kuonyeshwa jioni na kurudiwa wkend sasa sijui tatitzo liko wapi hapo?
Na hii siyo TZ peke yake nchi nyingi Duniani hata zile tunazoziiga kwa mambo ya kiutawala ambazo kila siku hulaumu Serikali yetu kwa nini haifanyi kama wao hufanya hivi kwamba Bunge huonyeshwa jioni!
Ni akili kama hiyo ndo mnacheza mayenu bungeni, very irresponsible.
Hata ukitukana, uwezo wako wa akili unabaki pale pale!We ni nyumbu kabisa
Hata ukitukana, uwezo wako wa akili unabaki pale pale!
Try something else!!!
Ni kweli hakuna haki ya kuona bunge live.Hawawezi kwa sababu hakuna ambaye anaweza kutetea haki isiyokuwepo.
Mkuu sasa kama sphere yako ya mawazo ni hiyo, you are in the wrong place.kaolewe na mwanakijiji wewe
Bora kutowakilishwa kuliko kuwakilishwa kwa kiini macho.JPM aliwaomba sana wabunge wamsaidie na wachape kazi nae yeye yupo tayari 24/7.
Hii tabia ya UTORO Bungeni inataka kuota mizizi na ni lazima idhibitiwe.
Nafikiri unafaa kuishi kwenye karne ya nabii Mussa kwa mawazo yako. Lililo bora na lenye manufaa kwa wengi lifanyikeHuwo ulive wa Wabunge umeanza lini? Yaani tangu lini wabunge wanaonyeshwa live mpaka leo hii iwe dhambi kubwa wao kutokuonyeshwa live?
Mkuu sasa kama sphere yako ya mawazo ni hiyo, you are in the wrong place.
Uwanda wako wewe ni kuolewa, nenda kweye jukwaa hilo linalokuhusu.
Huku ni Greti Thinkas tu, mtu uliyetoka uchochoro wa kubinuana hapa si mahali pako.
Go where you belong.
The sad fact is, wengine mnaowachagua kuwawawakilisha bungeni hawajui wanaenda kufanya nini huko, na wana mawazo kama yako.
Kule hakuna kubinuliwa kama nyie mnafvyo fanya na kutaka iwe hivyo.
Vinatakiwa vichwa, nothing short.