Staphylococcus Aureus
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 1,624
- 2,489
Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula?
Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula sasa hapo umefunga umebadilisha ratiba ya chakula?
Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si ulazimishwe.