Ya Sajuki na funzo kwa wasanii wetu

Kweli haiingii akilini kwamba umoja wao hauna maana, kama wameshindwa hata kutoa mchango wao kama chama badala yake wachache wamejitokeza kivyao vyao, hii inadhihirisha kwamba hawa jamaa hawapendani wao kwa wao, kwani wanasumbuliwa na jinamizi la wivu ingeleta maana kama wangejichangisha kama chama haijalishi huyu katoa hela nyingi au katoa kidogo maana nafahamu kuwa hata wao wanazidiaana uwezo wa kifedha, inabidi wakae chini na kutafakari kwani kwasasa umoja wao haunatija kama wanashindwa hata kusaidiana katika matatizo.
 
Kwa tatizo kama la kwake, asingeweza kujitibu kwa gharama zake. Mamilioni yote yale angeyatoa wapi?
Bima zenyewe huwa zinachagua magonjwa,
Nilishangaa akina Makamba, Zito na yule Waziri kwenye ze komedi wakisisitiza eti bima ya afya ndo ingekua suluhisho wakati wao wakiungua mfano Zito alivyougua, Bima ya afya haikumpeleka India kutibiwa.
 
Kweli haiingii akilini kwamba umoja wao hauna maana, kama wameshindwa hata kutoa mchango wao kama chama badala yake wachache wamejitokeza kivyao vyao, hii inadhihirisha kwamba hawa jamaa hawapendani wao kwa wao, kwani wanasumbuliwa na jinamizi la wivu ingeleta maana kama wangejichangisha kama chama haijalishi huyu katoa hela nyingi au katoa kidogo maana nafahamu kuwa hata wao wanazidiaana uwezo wa kifedha, inabidi wakae chini na kutafakari kwani kwasasa umoja wao haunatija kama wanashindwa hata kusaidiana katika matatizo.

nawasiwasi na hata hicho chama chao kipo kwa malengo gani eti!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom