kaka kamsikilize huwezi jua labda anataka mrudiane tena ili umsomeshe masters alafu akutose tena
kaka kamsikilize huwezi jua labda anataka mrudiane tena ili umsomeshe masters alafu akutose tena
sasa si umuone tu ujue kwanza nini anataka?
why guessing?
kaka kamsikilize huwezi jua labda anataka mrudiane tena ili umsomeshe masters alafu akutose tena
dah we noma.Kubali appointment yake mpeleke kwenye restaurant ya gharama ya kawaida then ukifika mwambie awe huru kutumia chochote atakacho wewe tumia maji yanatosha then ukikaa nae kidogo fanya mchakato mtoroke bill iwe juu yake.usimuonee huruma mkuu mi nilishamfanyia m1 hadi leo akiniona heshima depe wanapenda kula vya bure,then tafuta msichana mwingne mkali zaidi yake .dawa ya mwanamke ni mwanamke mwanzake
Hapo pekundu na hasa kwenye mstari ni jibu tosha kwamba unapaswa wewe mwenyewe uzingatie hayo.
1. alikuambia yeye shida yake kwako ilikuwa ni mali yako na hakuwahi na wala hakupendi.
2. Alikukashfu sana.
Mimi binafsi, ni kwamba katika yote fanya lkn suala la kunikashfu ni fedheha sana. Hivyo, nakupa pole sana kwa yaliyokukukuta. Ulijinyima kwa kiasi kidogo ulichokuwa nacho badala ya kuwasaidia ndugu zako au kufanya mambo ya maendeleo, lkn kwasababu ulisikumwa na upendo kwa huyo dada ulijinyima kwa vyote ili afanikiwe kufikia malengo yake. Si ajabu hata wewe labda hayo mafanikio ya elimu haukujaliwa kama ulivyomfanikisha (samahani kama nitakuwa nimekukwaza hapa, lkn ni hasira ya kutokana na alivyokutenda huyo dada). Lkn katika yote mwishowe ulikuja kuambulia Fedhea na si ajabu hata matusi ya nguoni.
Ndugu yangu, mimi nakuambia jibu moja tu kwamba huyo dada HAKUWAHI KUKUPENDA NA HATATOKEA KUKUPENDA, lkn sasa mambo yake hayajanyooka na anakumbuka ulivyojitoa kile kipindi anasoma, hivyo anaamini kwamba utampokea tu.Hivyo mimi nakupa ushauri ufuatao,
1. Kamwe usionane naye, kwani hakuwahi kukuhitaji na kama anakuhitaji sasa ni kwasababu kakwama au katoswa na sasa kwako ndiyo pakumalizia stress na matatizo yake.
2. Na kama utaamua kuonana naye, jitahidi sana isiwe kwako unapohishi.
3. Kuwa na tahadharii zaidi, kwani si ajabu ana matatizo hata ya kiafya anataka akugawie. Hili likitokea itakuumiza zaidi, kwani itakutonesha kidonda ambacho kilishaanza kupona.
4. Kuwa na msimamo kama mwanaume na usikubali kurudi nyuma,kwani kuna hatari mabo yake yakishamnyokea ATAKUMWAGA TENA:
Usiseme hivyo mkuu.....nadhani wewe bado hujawaelewa vizuri hawa viumbe......wanaweza hata kusababisha baraza la mawaziri kuvunjwa... kwa kifupi kama ulikuwa na furaha ulivyokuwa naye basi mrudie upesi....haya mambo huwa hayana ushauri sana kutoka kwa watu wengine.... cha msingi ni kujiuliza mwenyewe kwamba una furaha au la....kisha unajiamulia.....basi.....isije siku moja ikawa bahati mbaya mkakutana na sister halafu ukamwambia " huyu ndiyo alitaka kunishauri nikuteme"......ha ha hahahahaaa! hanipati tena
hii nimeipenda sana kaka,asante sana kwa ushauri