WWC Final: Japan vs USA

Hamieni kule kwa Copa America sasa maana nako kunaelekea kutakuwa na matuta

Nyani, Copa uchovu mtupu.. hakuna cha Neema au Macaroni, heri wamlete Marta!

Uliona goli la Sawa lilivyokukwa tamu? hata kulionyesha tena ESPN wanaogopa kulionyesha, achilia mbali Aswile na Kabunda waliopiga penati za kwanza za Marekani!
 
I called for Japan to win it kwenye ile thread nyingine, ila baada ya Wambach kufunga nilikata tamaa lakini kumbe duh akina Geisha walikuwa bado hawajamaliza.
 
Miye nampenda Rapinoe.. mwanamke wa shoka...imahine kwenye Chagulaga.. lazima jasho likutoke...
 
I called for Japan to win it kwenye ile thread nyingine, ila baada ya Wambach kufunga nilikata tamaa lakini kumbe duh akina Geisha walikuwa bado hawajamaliza.

Wambosi mzuri.. lakini kina Kabunda, Aswile na Kajole ndio waliharibu... leo ni mkao wa Sushi na Sashimi tupu..
 
USA Penalty 1 Japan Penalty 3

Japan-120-animated-flag-gifs.gif
Champions%20Football%20Gif.gif

Japan Bingwa World CUP 2011
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nyani, Copa uchovu mtupu.. hakuna cha Neema au Macaroni, heri wamlete Marta!

Uliona goli la Sawa lilivyokukwa tamu? hata kulionyesha tena ESPN wanaogopa kulionyesha, achilia mbali Aswile na Kabunda waliopiga penati za kwanza za Marekani!
Naona Brazil nao wameenda kwenye penalties.
 
Katika world cup ya wanawake 2011, japan imefanikiwa kutwaa ubingwa dhidi ya marekani, mchezo uliochezwa huko ujerumani

mchezo ulikuwa mkali sana,

japan haukuonyesha nafasi ya ushindi kipindi cha kwanza

usa ilionesha ina uwezo mkubwa wa kukitwaa kikombe hasa kwa mashambulizi mengi kwenye lango la japan

walianza kufunga usa then japan wakasawazisha.

Mchezo ulienda sare hadi dakika za kawaida 90 zikaisha

kwenye nyongeza ya dakika 30, usa ilianza kufunga, na japan ilisawazisha dakika za majeruhi kabisa,

ngoma ikaenda penati

usa walikosa penati tatu za mwanzo,

japan ilikosa penati moja tu, na wakatwaa ubingwa

huu ni ubingwa wa kimiujiza hasa ukizingatia hali waliyonayo wajapan nyumbani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom