Wrongful death claim

kassamali

JF-Expert Member
Jan 11, 2010
214
40
Kuna mambo mambo yametokea nchini lakini ufuatiliaji wake umekuwa mdogo sana ...labda kwa kuwa watu wengi wa kawaida hili ni suala geni kidogo kwao...juzi tumeona hukumu ya Chenge imetoka.Je nini hatima ya ile familiya ambao wanapaswa kufungua civil case kudai madai,je nini hatima ya familiya ambazo miaka michache iliyopitandugu zao walikufa kwenye ajali ya treni pale morogorogo..nini hatima ya familiya ambao ndugu zao wanakufa kila sik kwenye ajali ya mabai ya mikoa..fuatayo ni malelezo juu ya madai yanayotokana na kufa kwa matu ambapo kmesababishwa na mtu mwingine click hii link ili upate maelezo ya nini cha kufanya ndugu yako anapopoteza maisha kutokana na uzembe wa mtu mwingine

WRONGFUL DEATH CLAIM
 
Back
Top Bottom