kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,034
- 2,943
Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, naomba niende moja kwa mija kwenye mada, nataka kuandaa workstation kama hii nyumbani kwangu, na mimi sio mjuzi sana wa mambo ya mitandao ila napenda sana kufanya kazi online, mpaka sasa nimesha nunua monitor mbili 27inch HP, nina computer (laptop mbili HP-Core i7-8th Gen) SSD STORAGE, nina WIRELESS KEYBORD & MOUSE plus KITI. bado sijanunua ni meza Tu cha kufanyia kazi ambayo mwezi ujao nataka kinunue meza pamoja na kufunga Unlimited internet ambayo itaniwezesha kufanya kazi zangu vizuri,
MAOMBI YANGU KWENU: natafuta kazi ambayo naweza kufanya online, / ni shughuli gani naweza kupata na kufanya kupitia workstation yangu iyo, yaani nataka nikiamka asubuhi ofisi yangu iwe iyo workstation yangu au ata kama nikienda kazini nikirudi naweza kufanya kazi nyingine online kupitia workstation yangu iyo, naombeni mawazo na ushauri wenu ndugu zangu kijana wenu mpambanaji mwenzenu na mungu awabariki sana.