Work from Home, Now in Tanzania.

Braza unatakiwa ku justify kwamba nyie sio matapeli, kuwa na ofisi, kuregister kampuni, address haitoshi kwa justification.

Hata Richmond walikuwa na ofisi lakini walitutapeli.

Pia jaribuni kuwa na proper e-mail address and NOT yahoo things.
Give us references who have benefited so far with your business na siyo kusema tu ofisi zako wapi.

Unajua watanzania wameshachoka na utapeli wa nchi ndo that's why you see people are sensitive.
 
1) Justification yetu ni very simple, hatumwambii mtu ajiunge kwa kulipia pesa, au atutumie pesa, au kuna charge yoyote ya kulipia utayotakiwa uilipie. Post ya mwanzo tumesema "No hidden Charges".

Sasa sijui "justification" gani zaidi ya hizo? labda uniambie uitakayo.

2) Ya Richmond waachie Richmond, sisi hatuuzi majenereta (kwa sasa).

3) Hili ni Tangazo la kazi na si kuuza bidhaa, kwa atakae kazi na anaeona ana uwezo wa kuuza "RFID solutions" anaweza wasiliana nasi.

Naomba uelewe hatutaki mtu alipie chochote na hatoambiwa mtu alipie chochote, tunachotaka sisi ni awe na uwezo tu wakuuza "RFID solutions", atembelee tovuti zetu aone kama ataweza kisha awasiliane nasi na tutamuelekeza zaidi.

Kuhusu references zetu zote uzitakazo naomba tembelea tovuti zetu tulizotaja post #1 na kama bado utahitaji kingine zaidi, usisite kuwasiliana nasi kwa njia upendayo katika tulizozitaja.

Unanshangaza unaposema "Pia jaribuni kuwa na proper e-mail address and NOT yahoo things". Kwani tatizo ni nini? what is a "proper e-mail address"? labda utufahamishe. Kwa sisi kwa sasa yahoo inakidhi mahitaji yetu ya kuwasiliana, hatuna cha kuficha. Na pia moja ya "solutions" zetu ni kuweza kuifanya email address yoyote ile kuwa "secure" ikihitajika kuwa hivyo. Kwa hiyo usijali kuhusu email address.
 
Sijapenda majibu yake hata kidogo,

inafaa ajue kwamba JF kuna watu wenye uwezo wa kufikiria mpaka ukucha!, Hakuna vilaza humu anaubabe wa kizamaaaaani na huku mtaani utakuta anajiita marketing officer!,

Kama strateji yako ya kumaket hiyo kitu ilikua JF umewapata wadau wanakupopoa sasa, na unashindwa kusema.

KUNA BAADHI YA VITU NI VIGUMU KUFANYIKA KWENYE BAADHI YA MAZINGIRA!
 
Umekosea, hapafanywi marketing hapa, RFID haina haja ya marketing labda kwa asiyeijuwa. Hapa wanatafutwa wauzaji wakakusanye orders tu.

Kuhusu kupopolewa, "challenges are opportunities", wee kila ukipopoa sisi ndio furaha yetu.

Nani aliokwambia JF hapafai kwa haya matangazo ya kutafuta wafanya kazi? Hapa ni best place ever, 50 applicants in one day. Can you beat that?

Tuna washukuru sana ma=mods wa JF kutuwekea jukwaa hili, linatusaidia sana tunaotafuta wafanyakazi na wale ambao wanatafuta kazi. Ahsanteni sana.
 
Haikuwa furaha mwanzoni coz nilosoma maneno yako yalikua yanaambatana na Kejeli, Mtu akiuliza anahitaji kujua na wala hakuna haja ya kusema inaonekana hajui, Yesssssssssssssssss, ndo maana ameuliza!

:Nani aliokwambia JF hapafai kwa haya matangazo ya kutafuta wafanya kazi? Hapa ni best place ever, 50 applicants in one day. Can you beat that?:
Do i need???

Anyway safari njema!
 
Ahsante sana. Naomba tembeletea tovuti yetu: Falken Secure Networks
 
Tatizo lako ur taking much of ur time kujitetea na kuitetea hiyo bidhaa yako bila kueleza nini hasa kinachouzwa. Sijaona mahali unataja nini hasa unatakiwa kufanya nani walengwa hasa wa hii biashara, kiwango cha ufahamu. Nimesoma kila kitu lakini nimeambulia patupu. Tell us vividly nini hasa kinachouzwa na huyo anayetaka hiyo kazi atatakiwa kufanya nini?
 
BSCltd

Tanzania ina watu kama million 45, wengi wao wanaishi kwa dola moja kwa siku unategemea waweze kweli kuuza hizo RIFD or whatever ypu call them online ili nani anunue? Je, huko Canada umeshindwa kupata wateja au USA ambao wako karibu kabisa na Canada na raia wao wengi wanaishi angalau kwa dola 20 kwa siku?

Vipi biashara ya visima inalipa?
 
Kinachouzwa ni "RFID Solutions". Soma post #1 utayakuta yote unayoyauliza.
 
BSCltd

Tanzania ina watu kama million 45, wengi wao wanaishi kwa dola moja kwa siku unategemea waweze kweli kuuza hizo RIFD or whatever ypu call them online ili nani anunue? Je, huko Canada umeshindwa kupata wateja au USA ambao wako karibu kabisa na Canada na raia wao wengi wanaishi angalau kwa dola 20 kwa siku?

Vipi biashara ya visima inalipa?

Hapo ndio kwenye tatizo, hakuna niliposema iuzwe "online" au kuna mahala umeona nimesema iuzwe "online"?

RFID si kitu ghali kama unavyofikiria, na Tanzania ipo na inatumika kwa sasa, na soko lake ni kubwa sana, iwe Tanzania au kwingine kokote kule.

Mfano mmoja mdogo sana ambao Tanzania unaweza ukaitumia RFID vizuri sana ni:

Nadhani unajuwa Tanzania tuna ng'ombe wengi sana, na Serikali na wadau wengine wengi tu wanapigia kelele tuwache kuwaunguza na kuwakata, kwa kuwatia alama, kuna shusha thamani ya ngozi na kunawaumiza ng'ombe. Ufumbuzi wa kuwacha yote hayo na kuiwacha ngozi ya ng'ombe iwe haina makovu wala michoro wala mikato ni RFID. Unaweza kumwekea ng'ombe RFID Tag na ikawa ni wepesi na kwa urahisi kumjuwa ni ng'ombe wa nani, kwa sasa yuko wapi? karudi zizini hajarudi? na unaweza hata kum=track akipotea au akiibiwa. Tag unaweza kuiweka hata ndani ya ngozi ya ng'ombe ambapo hamna ataejuwa iko wapi isipokuwa aliemwekea, na ikitolewa tu unapata habari hapo hapo kuwa tag imekuwa "tampered".

Hilo ni moja tu katika kazi za RFID.

Hii RFID solution ni rahisi sana na wala isikutie shaka kuwa labda ni vitu visivyo nunulika kwa ughali.

Serikali yenyewe ina mpango wa kumpa kila raia ID na tunadhani zitakuwa ni RFID id's.

Post yako imenikumbusha, si zamani sana wengi wetu walikuwa wanafikiri simu za mkononi ni kwa ajili ya wenye kipato cha juu tu. Nadhani nawe bado uko huko huko kwa kufikiri kuwa RFID ni kwa ajili ya Canada na Merekani tu. Pole sana.
 
1) Nadhani mpaka sasa kinachokutatiza ni kuwa hujaelewa maana ya "sell from home" unaichanganya na "kuuza online". La hasha, "sell from home" tunayoimaanisha hapa, ni kuwa huna haja ya ku-report ofisini, unaanzia kuuza nyumbani unamalizia kuuza nyumbani, kwetu zinakuja "reports" na support zozote utazohitaji zitakufikia nyumbani. Kuuza kutoka nyumbani si kuuza "on line" kama unavyodhani na si kwamba utapohitajika kumuona "mteja wao" utabaki hapo nyumbani tu, no! utaenda kutokea huko huko kwako (from home). Mradi ujuwe tu unachokifanya......................

Hivi how is it easy to sell from home something that u can not sell from one house to another. Nachoelewa from home or house unaweza kuuza viatu lotion, vyombo vya ndani, home appliacecama TV passi cookers . na sio RFID. Huwezi kuwa mwanayanymala hata mbezi au Msaki ukauza RFID. utahitaji kwenda posta au KKooo.

RFI ni buiness inahitaji contrarcta na tender. RFID ni business kama unataka kufanikiwa unahitaji full time employed staff to market

kuna business or bidhaa amabazo unaweza kufanya from home or online na ni mahitaji ya kila mtu au kila nyumba regardless of location. mimi nadhani hujui nature na aina ya business inayofaa kufanyika from home or online.

Narudia tena RFID is the last business one can can do effciently or proifitably from whataver you call it home or online

May be hujafanya business analysis na requiment yako vizuri.

Nikitoka porini nitakuja hapo dar nione
 
RFID ni rahisi kuiuza kutokea nyumbani. Unatakiwa uwe mtu wa kujituma na unaeweza kuuza "independent". A businessman on your own world. Sioni sababu yoyote ya kumuweka sales executive au sales engineer a report ofisini kila siku wakati tunaweza kum "equip" huko nyumbani kwake!

Contracts na Tender ni kweli mauzo lakini si mara zote, na hizo contract na tender jinsi tunavyo ku equip sisi, hao wanao bid wengine watakutafuta wewe uwape solutions, once tukikupika ukapikika. Usiwe na hofu.

Ukiijuwa RFID ipasavyo na solutions tulizokuwa nazo, hapo ndipo utaelewa ni nini nnachoongea. Nakuomba download hii pdf document (ni kubwa kiasi) niliyoiweka link yake kwenye post #30 hapo juu na ujisomee, maswali yako mengi utajijibu baada ya kusoma hicho kilichomo.

Na ukishaiingia hii "concept" ya kuuza RFID kutokea nyumbani utaijuwa kuwa na yenyewe pia ni full time employment. Siongelei hapa time employment, nnachoongelea ni "independent" selling, you are your own boss, kazi yako na mauzo yako ndio yana matter.

Umesema uko porini, naomba tazama post #32 hapo juu, utaona moja ya solutions ambayo inawezekana ukaanza kuiuza huko huko porini kabla hujafika hata mjini.

Karibu sana.
 
1. Bidhaa yako kaiuze Uingereza wakojua kingereza!

2. Biashara huiwezi rudi darasani

3. Huna lugha ya kuuza au kuelimisha
(carataristic of sales personel)

4. Una madharau yasiyo ya maana kwa watu usio wajua humu jamvini maana kuna mwana jamvi mmoja ametoa
maoni kuhusu kiswahili anafanyia kazi ubalozi wa marekani lakin unajibu
utumbo na kumwona hajui kingereza
hii lugha tu ndugu

5. Hujui unachokiuza zaidi sana naona
kama unauza ofisi ambayo ni jengo na
matapeli wanaweza kuwa nalo kama
richmond nk.

NB: Nenda kwa mwalimu wako alikufundisha utapeli akupe home work nyingine urudi urudi humu jamvini vinginevyo hakuna unachoweza kuuza usichojua kukitetea kistaarabu.
 
Business Services & Consultancy Ltd. (BSC), based in Dar Es Salaam, Tanzania. Has the following "work from home vacancies":

Sales Executive / Sales Engineer
RFID Solutions.

Selling RFID solutions.

BSC has partnered with FALKEN Secure Networks in selling their products in Tanzania. FALKEN Secure Networks is a specialized system integrator and value-added reseller headquartered in the Greater Toronto Area with branch locations in London, Hamilton, Ottawa and Calgary, which serves both domestic and international enterprises with industry-leading technology for secure communications integrated with corporate networks.

FSN was founded with the mission to provide world-class integrated enterprise solutions to the growing and increasingly sophisticated threats from viruses, phishing and malware, internal and external information breaches, identity theft, email interception and to protect citizens, governments and enterprise brands by ensuring compliance with the variety of privacy and security regulations in force. The emerging corporate need of secure RFID Network solutions is also provided by FSN.

To excel on this mandate, FSN has partnered with strength - the global leaders in Information Encryption, Secure File Transfer, Identity Validation, Data Loss Prevention, Secure Email Retention and Archiving, Voice Encryption and Next Generation Secure RFID Networks. FSN and our partners add their own industry-specific expertise, with a joint commitment of helping deliver email security, data loss prevention and networked RFID solutions that are designed to meet and exceed the varied and complex needs of our customers. In addition, our flexible application solutions may be provided on a Hosted, Managed Service basis or on-premise as customer requirements dictate.

Requirements:

Be able to sell independently.

Conditions:

We hire on sales commission basis. No Salary. No Expenses reimbursement. No hidden charges. No nauli.

If you can sell, you can make money, if you can not sell, forget making money.

"state of the art RFID" products.

If you are interested and for more information:

website: Falken Secure Networks

Send your CV to: yourbsc2010@yahoo.com

Or Please Call: +255 754 484384 , do not beep.

BSC Ltd

Nyie ni wafanyabiashara. Naomba niwashauri kitu kimoja. Msipoteze muda wenu kubishana na wafanyakazi na wanasiasa. Kusema ukweli watu wengi walioko JF ukileta idea ya business wako negative sana. Kuna watu wachache sana humu ndani wanaweza kuzifanyia kazi idea zinazoletwa hapa ndani.

Wafanyakazi wengi tumefundishwa shuleni kuwa bora kuwafanyia kazi wengine, lakini si kufanya kazi inayokupa uhuru wa kuamua mambo yako. Unaobishana nao wengi wao ni watu wa mwisho wa mwezi. Mtu wa biashara hana haja ya kuanza kupata justification hapa ndani, baada ya kupata hii info na address yenu angekuja directly hapo Shekilango kujithibitishia na kuijua vizuri hii biashara ili kama anaweza afanye au kama haiwezi basi. Lakini mnapoteza muda wenu kujibizana na "wrong target".

Ujumbe umefika wenye nia ya kujikomboa kutoka kutumia chini ya dola moja kwa siku na kugombea daladala kuwahi kwa mwajiri anayekulipa mpaka uandamane wataufanyia kazi. Wanaotaka kuendelea kukopa magari ya kutembelea na kuyalipia kwa miaka mitano huku wanaishi chumba kimoja cha kupanga watatoa pre-mature judgement kuwaita ninyi matapeli.

Mfano

Kuna bwana mmoja aliwahi kutoa idea ya kuuza LUKU kwa ZAP na MPESA hapa jamii siku za nyuma. Watu wengi sana walitoa critic hasi bila hata kufanyia kazi hiyo idea. Kuna baadhi najua walikata tamaa, wengine waliifanyia kazi. Mimi nilikuwa na cousin wangu anatafuta kazi nikamfanyia analysis ya hiyo biashara akaona inafaa, akaifungua pale manzese. Nakuambia ni mwezi umepita, ofisi moja tu ameweza kupata faida ya TZS 400,000 kwa mtaji mdogo sana. Sasa hivi anahangaika afungue ofisi nyingine buguruni na mbagala.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom