Work from Home, Now in Tanzania.

BSCLtd.

Member
Dec 26, 2010
25
5
Business Services & Consultancy Ltd. (BSC), based in Dar Es Salaam, Tanzania. Has the following "work from home vacancies":

Sales Executive / Sales Engineer
RFID Solutions.

Selling RFID solutions.

BSC has partnered with FALKEN Secure Networks in selling their products in Tanzania. FALKEN Secure Networks is a specialized system integrator and value-added reseller headquartered in the Greater Toronto Area with branch locations in London, Hamilton, Ottawa and Calgary, which serves both domestic and international enterprises with industry-leading technology for secure communications integrated with corporate networks.

FSN was founded with the mission to provide world-class integrated enterprise solutions to the growing and increasingly sophisticated threats from viruses, phishing and malware, internal and external information breaches, identity theft, email interception and to protect citizens, governments and enterprise brands by ensuring compliance with the variety of privacy and security regulations in force. The emerging corporate need of secure RFID Network solutions is also provided by FSN.

To excel on this mandate, FSN has partnered with strength - the global leaders in Information Encryption, Secure File Transfer, Identity Validation, Data Loss Prevention, Secure Email Retention and Archiving, Voice Encryption and Next Generation Secure RFID Networks. FSN and our partners add their own industry-specific expertise, with a joint commitment of helping deliver email security, data loss prevention and networked RFID solutions that are designed to meet and exceed the varied and complex needs of our customers. In addition, our flexible application solutions may be provided on a Hosted, Managed Service basis or on-premise as customer requirements dictate.

Requirements:

Be able to sell independently.

Conditions:

We hire on sales commission basis. No Salary. No Expenses reimbursement. No hidden charges. No nauli.

If you can sell, you can make money, if you can not sell, forget making money.

"state of the art RFID" products.

If you are interested and for more information:

website: http://www.falkensecurenetworks.com/index.html

Send your CV to: yourbsc2010@yahoo.com

Or Please Call: +255 754 484384 , do not beep.
 
usanii mwingine bwana yaani katika bidhaa za selling from home mmeona RFID.

U re not serious
.

Moderator fungeni hii thread hawa ni matapeli hakuna cha Toronto wala london. Hawa ni watu wa kufish privacy inforamtion za watu

Kwanza kabisa, nna-uhakika huelewi RFID ni nini, laiti ingekuwa unaelewa basi usingeihusisha na "kufish".

Pili, nakuomba tafadhali futa kauli yako ya kutuita matapeli. Napenda kukufahamisha kuwa sisi ni wafanya biashara wa halali na tunafanya biashara zetu kihalali tuna office zetu kihalali Tanzania na tumesajiliwa Tanzania kihalali na tutakuwekea anuani yetu hapa chini, ututembelee wewe na mwingine yeyote apendae na utuoneshe utapeli wetu ni nini?

Tatu, kuhusu uuzaji wa bidhaa, ya ama ziwe RFID ya ama ziwe zozote zile "from home" ni mtindo ambao unatumika dunia nzima kwa sasa na labda kwa umbumbumbu wako hilo hulielewi. Hebu tuambie, ni nini kinachomfanya mtu asiweze kuuza RFID solutions "from home"? Labda ni lugha imekupiga chenga na huelewi tofauti ya "from home" na "at home".

Ikiwa mtu anaweza kufanya kazi ya kuuza "independently", na kwa sasa huduma za mawasiliano zipo popote, si lazima uwe "ofisini", kwa nini tusiitumie fursa hiyo? na kupunguza gharama za maofisi? nadhani haupo dunia ya leo.

Nakuomba tafadhali sana rejea anuani zetu zote tunazokupa hapa chini na utembelee ofisi zetu za Tanzania na "principals" wetu huko Canada. Na kama huna uwezo wa kufika huko, unaweza kuwasiliana na ubalozi wa Canada Tanzania au ubalozi wa Tanzania Canada ili wakusaidie kutujuwa sisi ni nani na tunafanya kazi vipi.

Business Services & Consultancy Ltd., (BSC) ni Kampuni inayomilikiwa na waTanzania kwa asilimia mia moja (100%). Licha ya kuanza kuiwakilisha hii kampuni ya Falken Secure Networks ya Canada hivi karibuni, BSC kwa miaka mitatu sasa inaziwakilisha kampuni zingine 3 za ki Canada. "Snub Pro Africa Ltd. (SPA) Water Wells Drilling Company" ni moja ya kampuni ya Canada ambayo tunaiwakilisha na kuisimamia kazi zake zote za uchimbaji wa visima hapa Tanzania. Kwa kukujuza tu, SPA imesha-chimba visima vingi tu vya maji Tanzania vya Serikali na watu binafsi na hakuna "complain" hata moja mpaka dakika hii. Na inasimamiwa na kuendeshwa na wafanyakazi wa kiTanzania kwa asilimia mia moja (100%). Na hivi juzi tu tumemaliza kuchimba visima virefu vitano vya halmashauri ya Mkuranga kwa niaba ya kampuni ya EFAM ya Tanzania.

Kampuni zingine za ki Canada tunazo ziwakilisha Tanzania ni:

TEJA Food Groups
514- 42nd Ave SE
Calgary, Alberta, T2G 1Y6
Phone 403-243-3478
Fax 403-243-8989
email: "teresa@tejafoods.com"
website: TEJA FOOD GROUP- Source for Quality Seafood Items

ISG LTD
11377 85 St. SE Calgary
Ph: 403-922-2836
Em: aboki@shaw.ca

Tunasikitishwa sana, wakati sisi tunahangaika kutafuta kazi kwa manufaa yetu, ya Taifa letu na wa Tanzania wenzetu kwa ujumla, wanatokea watu kama wewe ambao hawajui wanachokiongea na kukurupuka tu na kutupakazia.

Tunakuomba utuulize chochote usicho kijuwa kuhusu RFID na au kuhusu sisi, kazi zetu na sisi ni kina nani na tutakufahamisha, ya ama uje ofisini kwetu au majumbani kwetu au utupigie simu, au utuandikie barua pepe au utuulize hata hapa kwenye nyuzi za JF. Lakini tafadhali, tunakutahadharisha usituharibie jina letu, kwani nna uhakika hutujui mwanzo wala mwisho na umekurupuka tu.

Anuani zetu za Tanzania ni:

Business Services & Consultancy Ltd.
Millennium Business Park,
Office No. 7, Morogoro Rd. Dar Es Salaam.
Namba zetu za simu ni: +255 22 2401154 Mobile: +255 754 484384
Email: yourbsc2010@yahoo.com

Address za Falken Secure Networks ni hizi:

8 Golfdale Court, Suite 101
Caledon, Ontario, Canada
L7E 0B3
Tel: 1-905-880-4044
Fax: 1-519-268-8711
email: sales@falkensecurenetworks.com
website: Falken Secure Networks

Ahsante,

Abdul Ghafur
Managing Director
BSC Ltd.
 
What is RFID?

Thank you for your good question;

Radio-frequency identification de-modulation (RFID) is a technology that uses communication through the use of radio waves to exchange data between a reader and an electronic tag attached to an object, for the purpose of identification and tracking.
It is possible in the near future, RFID technology will continue to proliferate in our daily lives the way that bar code technology did over the forty years leading up to the turn of the 21st century bringing unobtrusive but remarkable changes when it was new. Read more: http://en.wikipedia.org/wiki/Radio-frequency_identification

Radio Frequency Identification is a powerful technology that enables companies to achieve total business visibility. By knowing the identity, location and conditions of assets, tools, inventory, people and more, companies can optimize business processes and reduce operational costs.

BSC Ltd., of Tanzania along with Falken Secure Networks of Canada can now offer almost all available RFID solutions in Tanzania plus its unique RFID integration solution.
 
Thank you for your good question;

Radio-frequency identification de-modulation (RFID) is a technology that uses communication through the use of radio waves to exchange data between a reader and an electronic tag attached to an object, for the purpose of identification and tracking.
It is possible in the near future, RFID technology will continue to proliferate in our daily lives the way that bar code technology did over the forty years leading up to the turn of the 21st century bringing unobtrusive but remarkable changes when it was new. Read more: Radio-frequency identification - Wikipedia, the free encyclopedia

Radio Frequency Identification is a powerful technology that enables companies to achieve total business visibility. By knowing the identity, location and conditions of assets, tools, inventory, people and more, companies can optimize business processes and reduce operational costs.

BSC Ltd., of Tanzania along with Falken Secure Networks of Canada can now offer almost all available RFID solutions in Tanzania plus its unique RFID integration solution.

Thank you for enlightening me, how can I sell RFID from home? I am a house wife, though I have a good educational background, I have only worked on my husbands businesses and I have never worked in sells before.
 
1) You can sell anything from home, a) you just have to manage your time at home, you have to restrict yourself to set up your time of house chores and your business time. A sales person is a business person, all successful business persons are very serious in their works and their schedules. You have to respect what you do and set guidelines and adhere to them responsibly. b) The time you set for business is your office time and it should be strictly for your business.

2) In order to be able to sell effectively and successfully, you have to know your products thoroughly, you have to know your customers well and know how your products can be a cost saving solution to their problems. We will provide you with all you need to learn about RFID solutions we offer. Once you have been accepted into our program you become a part of FSN family, and this is what FSN is all about:

FSN is a Place where…..People are empowered; Respect replaces status; Job content replaces Job Title; There are no Sacred Cows; There is growth; We treat challenges as opportunities…

FSN People…. Treat each other with respect; Do what they say they will; Take responsibility for their own safety; Take responsibility for their own actions; Embrace diversity; Work without bureaucracy; Challenge the status quo; Think; Know what they want; Make decisions; Try new things; Learn continuously; Are not afraid to fail; Thrive on change; Are fearless, passionate and energetic; Are resilient – bounce back; Care, support and encourage each other; Are tough; Are proud; Are humble; Are enthusiastic; Have fun; Deliver extraordinary results – consistently- against all odds; Believe nothing is impossible, Believe every employee can make a difference, Believe in themselves; Talk straight; Pay attention to detail; Are hands on; Make it happen; Keep it simple; Cut the frills; Can do; Ask why not?; Say: "I am FSN!"

FSN Recognizes…Contributions – not positions; Performance; Initiative; Innovation; Excellence; Professionalism; Talent; Commitment; Honesty; Can-do-attitude.

3) Being a housewife of a businessman can be to your advantage when selling RFID.
 
Thanks BSC, ttyl.
 
Mimi sijaelewa ni biashara gani unaaweza fanya ukiwa nyumbani? kwa tekinolojia ipi? Computer au TV? kama ni computer siiyo wote tunazo nyumbani hizi tunatumia ofisi.

Achana na hizo lugha za kigeni, tafuta mtu atafasiri vizuri kwa kiswahili tukuelewe vinginevyo hatujakupata tunaona mauza mauza yanayotupeleka kukuita TAPELI.

Tafadhali fanya hivyo.

Asante sana, barikiwa katika kazi zako za mikono. AMEN
 
Kama hujaelewa RFID ni nini na lugha ya kiingereza haipandi basi dada hii kazi tunayoitangaza haikufai. Wala usituite matapeli kwa kuwa tu, lugha huielewi. Ukitaka maelezo zaidi tembelea ofisi zetu, anuani zake zipo katika bandiko #5 hapo juu.

Kama ujuavyo, si kila kazi ni kwa kila mtu, kila mtu na kazi yake. Uiwezayo wewe kuna wenzako hawaiwezi na waiwezayo wenzako wewe huiwezi.
 
Ndugu mi naona hujafafanua vizuri hata kama mtu anaielewa lugha uliyotumia. Mfano hakuna mahali unapoonyesha mtu atakuwa anauza bidhaa nini/bidhaa gani (do u offer expertise or tangible products-hardware). Kulingana na products zenu, inaoneka anahitajika salesperson mwenye uelewa mkubwa (IT professional) wa mambo hayo ya security ili aweze kushawishi wateja wanunue-hili ulitakiwa ulionyeshe mapema maana sioni kama mtu ambaye hakusoma IT anaweza akauza hii idea vizuri kwa makampuni ya bongo kirahisi.

Kitu kingine ni kwamba hii idea ni mpya kwa hapa bongo (mfano mambo kama identity theft,), ulipaswa kuwa mvumilivu na kuwaelewesha wadau vizuri kuhusiana na shughuli zenu, maana hata anayelewa kiingereza anaweza asielewe ni huduma ipi mnayotoa hasa.
 
With very liitle knowledge in business but competet in IT product i dont see the possibility of selling RFID solution from home.

U sell RFID solutions by :

  • signing contract with business ,companies or government
  • Competing in tender like National Id project . Did u compete?
My friend RFID is not a dish plate , shoes clothes or lotion. Inawezekana na wewe hujui RFID

Naposema ni utapeli ni kwamba watakaosajili mtawaambia walipie kiasi fulani ili waijfunze jinsi ya kuuza hizo co mplex product. Then baada ya hapo ndo itakuwa imekula kwao. U wil never sell RFID solution online. Jipange upya

Mimi sijaelewa ni biashara gani unaaweza fanya ukiwa nyumbani? kwa tekinolojia ipi? Computer au TV? kama ni computer siiyo wote tunazo nyumbani hizi tunatumia ofisi.

Achana na hizo lugha za kigeni, tafuta mtu atafasiri vizuri kwa kiswahili tukuelewe vinginevyo hatujakupata tunaona mauza mauza yanayotupeleka kukuita TAPELI.

Tafadhali fanya hivyo.

Asante sana, barikiwa katika kazi zako za mikono. AMEN

Zipo some business unaweza kuwa agent wa kuuza online but hii ya RFID ni usaniii.
 
Kama hujaelewa RFID ni nini na lugha ya kiingereza haipandi basi dada hii kazi tunayoitangaza haikufai. Wala usituite matapeli kwa kuwa tu, lugha huielewi. Ukitaka maelezo zaidi tembelea ofisi zetu, anuani zake zipo katika bandiko #5 hapo juu.

Kama ujuavyo, si kila kazi ni kwa kila mtu, kila mtu na kazi yake. Uiwezayo wewe kuna wenzako hawaiwezi na waiwezayo wenzako wewe huiwezi.

Unaona sasa! Ndo maana mnaitwa matapeli kutokana na jinsi unavyojieleza,ubabe mwingi na ujanja ujanja usiokuwa na maana. Title yako inasema 'Work from Home, Now in Tanzania'. Sasa watanzania ni akina nani? Hao watanzania wanaongea lugha gani? Kama unashindwa kuwaeleza watu hiyo RFID na FSN ni nini kwa lugha inayoeleweka na wengi(Kiswahili), ni nini mantiki ya tangazo lako humu JF? Je ulikuwa unawalenga wanaojua kiinglishi tu au? JF ina watu wa aina zote na wenye elimu za ngazi zote,jaribu kuwa makini na kauli zako,dharau unazoleta hapa si mahala pake,peleka tangazo lako huko facebook!!! Toa maelekezo yanayoeleweka na watu wenyewe watajua kama hiyo kazi wataiweza au la. Jieleze,jieleze,jieleze... mbona ukijieleza vizuri watu watakuelewa tu.

Hata hayo maelezo uliyoyatoa kwa kiinglishi yanaleta maswali chungu mbovu,hayajitoshelezi na ndo maana watu wanataka kujua vizuri. Kama ni Teknolojia mpya,waeleze watu kwa ufasaha na kwa ufupi bila ubabe. Ukieleweka vizuri,hakuna atakayekuita tapeli.
 
Ndugu mi naona hujafafanua vizuri hata kama mtu anaielewa lugha uliyotumia. Mfano hakuna mahali unapoonyesha mtu atakuwa anauza bidhaa nini/bidhaa gani (do u offer expertise or tangible products-hardware). Kulingana na products zenu, inaoneka anahitajika salesperson mwenye uelewa mkubwa (IT professional) wa mambo hayo ya security ili aweze kushawishi wateja wanunue-hili ulitakiwa ulionyeshe mapema maana sioni kama mtu ambaye hakusoma IT anaweza akauza hii idea vizuri kwa makampuni ya bongo kirahisi.

Kitu kingine ni kwamba hii idea ni mpya kwa hapa bongo (mfano mambo kama identity theft,), ulipaswa kuwa mvumilivu na kuwaelewesha wadau vizuri kuhusiana na shughuli zenu, maana hata anayelewa kiingereza anaweza asielewe ni huduma ipi mnayotoa hasa.

Ahsante sana kwa post yako nzuri, ntajaribu kukuelewesha kadri ya uwezo wangu kwa yote uliyoeleza/uliza.

1) Kuhusu mtu atauza nini?

Nadhani post yangu namba moja imejieleza vizuri tu, na ukiisoma vizuri hiyo post, chini kuna maelezo yanayosema "If you are interested and for more information: " na baada ya hayo maelezo tumeweka link ya website yenye maelezo pamoja na anuani zetu. Jee, umeshatembelea hiyo website na bado hujajuwa tunachouza ni nini? kama hujatembelea naomba tembelea na kisha utanijulisha kama umeelewa au la, kwani naona kama hapa ntakupa tena maelezo ambayo tayari yapo kwenye website. Na pia baada ya kutembelea kwenye hiyo website, kama kuna jambo hujalielewa vizuri unaweza tuuliza tena ambacho hujakielewa nasi tutajaribu kukuelewesha kadri ya uwezo wetu. We offer total (all) solutions on RFID. You name it we do it, in case you are not so sure of your solution, show us your business we will tailor design our RFID solutions for you, may it be "expertise or tangible products-hardware".

2) Kuhusu "
uelewa mkubwa (IT professional)" kama ulivyouliza.

Naomba rejea post yangu #9
item 2.nadhani inajibu hilo swali, kama hujaridhika utaniuliza te nijaribu kufafanua kivingine.

3) "
ulipaswa kuwa mvumilivu na kuwaelewesha".

Ahsante kwa hilo, ntajitahidi kuwa "mvumilivu na kuwaelewesha" wote watakao penda kujuwa zaidi kadri ya uwezo wangu. Pia ningependelea zaidi kwa atakae kuelewa zaidi, kwanza apitie kwenye "website" tajwa na kama bado kuna utata tueleweshane zaidi, au unaonaje?

Natumai nimejibu uliyouliza kadri ya uwezo wangu kwa sasa na kama kuna kitu hujaridhika nacho, tafadhali usisite kutuuliza.
 
With very liitle knowledge in businnss but competet in IT product i dntunderts how u can selee RFID solution from home.

U sell RFID solutions by

  • signing conract with business .companies or government
  • Competing in tender like National Id project . Did u compete?

My friend RFID is not dish plate , shoes clothes or lotion. Inawezekana na wewe hujui RFID

Naposema ni utapeli ni kwamba watakaosajili mtawaambia walipie kiasi fulani ili waijfunze jinsi ya kuuza hizo co mplex product. Then baada ya hapo ndo itakuwa imekula kwao. U wil never sell RFID solution online. Jipange upya

Zipo some business unaweza kuwa agent wa kuuza online but hii ya RFID ni usaniii.

1) Nadhani mpaka sasa kinachokutatiza ni kuwa hujaelewa maana ya "sell from home" unaichanganya na "kuuza online". La hasha, "sell from home" tunayoimaanisha hapa, ni kuwa huna haja ya ku-report ofisini, unaanzia kuuza nyumbani unamalizia kuuza nyumbani, kwetu zinakuja "reports" na support zozote utazohitaji zitakufikia nyumbani. Kuuza kutoka nyumbani si kuuza "on line" kama unavyodhani na si kwamba utapohitajika kumuona "mteja wao" utabaki hapo nyumbani tu, no! utaenda kutokea huko huko kwako (from home). Mradi ujuwe tu unachokifanya.

2) We sell on all those ways you have mentioned but we are not in a position to tell you where.

3) Thank you very much for letting me know that RFID "is not dish plate , shoes clothes or lotion. Inawezekana na wewe hujui RFID". Hatubishani hapa.

4) "Naposema ni utapeli ni kwamba watakaosajili mtawaambia walipie kiasi fulani ili waijfunze jinsi ya kuuza hizo co mplex product. Then baada ya hapo ndo itakuwa imekula kwa"

Hiyo ni dhana yako. Soma post namba moja kuna sehemu tumeweka wazi kabisa
"No hidden charges". Nadhani unaelewa maana yake. Hatuna haja ya senti tano ya mtu tunayemuajiri, sisi ndio tunamlipa yeye. Tafadhali kama hujui uliza kwa njia nzuri na si kuweka dhana kwenye kazi za watu.

Na hapa tunawaomba wote waliokwisha kutu-contact kwenye anuani ztu tulizoainisha hapo juu, kama kuna mmoja kaombwa pesa au kaambiwa alipe ili afundishwe, ajitokeze na kama hakuna pia tunaomba mjitokeze kumjibu huyu ndugu yetu, manaa kwanza alianza kwa kutushutumu kuwa tunatka kufanya "fishing", sasa kaja na mpya kuwa tunataka "walipie kiasi fulani ili waijfunze". Hizo zote ni dhanna mbaya na hazikusaidii kitu wala hazitusaidii sisi, hutujuwi, hatukujuwi, majungu ya nini? tumekupa anuani zetu zote, uje na utuambie hapa ndipo mnapofanya "utapeli"au tuonyeshe kwa ushahidi mmoja tuliemwabia alipie kiasi chochote kile, hapo utakuwa huna dhanna na ni mkweli. Kwani tumekukosa nini?

4) "
Zipo some business unaweza kuwa agent wa kuuza online but hii ya RFID ni usaniii."

Hapo umekosea, hakuna sehemu tuliosema uuze
"online", kama papo tuoneshe ni wapi? Kwanini umekazania kututia kauli yako vinywani mwetu? na huo usanii ni upi? si ueleze hapa! nakuona unababaika mara "fishing", mara "utapeli", mara "online", mara "usanii" ni nini tulichokosa hapa au kutafuta Sells Executives na Sales Engineers imekukera? Ni kipi tulicho "tapeli"?, au nani tumem"tapeli"? wapi tumefanya "fishing"? wapi tuliposema uuze "online"? wapi tulipofanya "usanii"?

Napenda ufahamu kwa mara nyingine, sisi ni wafanya biashara wenye heshima zetu, hatujawahi "kutapeli", kufanya "usanii", kufanya "fishing", wala kumwambia yeyote auze bidhaa zetu "online". Tunakukaribisha kwa mara nyingine tena (rejea post yangu #6 kwa anuani zetu kamili za ofisini). Na kama hikutoshi, hii hapa ya nyumbani hapa unaweza nitembelea wakati wowote ukipenda:

Jina: Abdul Ghafur
Kata: Sinza
Mtaa: Sinza E, SNY/SNE/664
P.O. Box 19139
Dar Es Salaam, Tanzania
Phone: +255 (0) 22 2461287, Mob : +255 754 484384
Email: abdulghafurtz@yahoo.com

Ukifika Sinza kwa Remmy uliza kwa Jaji Makanja ni wapi au kwenye ile kampuni ya kuchimba visima ni wapi, utaelekezwa, mlangoni kwangu utakuta bango kubwa limeandika: Snub Pro Africa Ltd. Water Well Drillers. Na ukipotea nipigie ntakuelekeza vizuri, nnacho kuomba ni kuwacha kututupia shutuma tusizokuwa nazo, na hiyo yoote ni kwa kuwa hutujuwi, una dhanni tu, ndio maana nnakukaribisha upendapo ama ofisini ama nyumbani kwangu ili tujuwane, kwani nnafahamu kuwa asiekujuwa hakuthamini. Tukisha juwana tutathaminiana na ndio uje hapa JF kusema ukweli wako wa "utapeli" tunaoufanya na kama hukuukuta pia uje kusema ukweli kwa uliyoyakuta.

Unaona sasa! Ndo maana mnaitwa matapeli kutokana na jinsi unavyojieleza,ubabe mwingi na ujanja ujanja usiokuwa na maana. Title yako inasema 'Work from Home, Now in Tanzania'. Sasa watanzania ni akina nani? Hao watanzania wanaongea lugha gani? Kama unashindwa kuwaeleza watu hiyo RFID na FSN ni nini kwa lugha inayoeleweka na wengi(Kiswahili), ni nini mantiki ya tangazo lako humu JF? Je ulikuwa unawalenga wanaojua kiinglishi tu au? JF ina watu wa aina zote na wenye elimu za ngazi zote,jaribu kuwa makini na kauli zako,dharau unazoleta hapa si mahala pake,peleka tangazo lako huko facebook!!! Toa maelekezo yanayoeleweka na watu wenyewe watajua kama hiyo kazi wataiweza au la. Jieleze,jieleze,jieleze... mbona ukijieleza vizuri watu watakuelewa tu.

Hata hayo maelezo uliyoyatoa kwa kiinglishi yanaleta maswali chungu mbovu,hayajitoshelezi na ndo maana watu wanataka kujua vizuri. Kama ni Teknolojia mpya,waeleze watu kwa ufasaha na kwa ufupi bila ubabe. Ukieleweka vizuri,hakuna atakayekuita tapeli.

Ahsante kwa kunijuza yote hayo.

WaTanzania ni wakina nani? nadhani unajuwa hilo, na narudia tena, kujieleza si tatizo, lakini tatizo ni kama kiingereza hukijuwi basi itakuwa vigumu kufanya kazi nasi. Hatutokuwa na wakati wa kukufundisha kiingereza na "solutions", "technical manuals", "user guides", mpaka "webinars" zetu zote zipo au zinaendeshwa kiingereza.

Kama majibu yangu yamekuwa ya "ubabe mwingi na ujanja ujanja usiokuwa na maana", naomba nisamehewe. Kwa ufupi, tutaeleweshana hapa kwa kiswahili lakini ikifikia kumpa mtu kazi, kama kiingereza kinapiga chenga hilo asahau kwa sasa. Kwani sisi tunahitaji wajuao kiingereza ili iwe rahisi kwao kuwauzia wanaojuwa na wasiojuwa kiingereza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom