Amateur
Member
- Apr 18, 2011
- 34
- 5
Hivi ni kwanini wanawake huwa hawapendani, especially kama hawafahamiani. Kwa mfano wanawake wanaofanya kazi za reception au customer service wakipata mteja wa kike response yao ni tofauti na angekuja mwanaume, ni kwanini. Mwanamke akimkuta mwanaume ndio yuko mapokezi huwa anakuwa more comfortable than angemkuta mwanamke. Hata ukitaka kuomba directions ya sehemu mwanamke atamtamtafuta mwanaume amuulize. Sisemi ni wote ila mara nyingi ni hivyo. Kwanini huwa wanadharauliana hata kama hawafahamiani- just by looking utamskia 'anajishebedua' etc etc. Hapo ni mdada kapita pengine kapendeza na watu wanamtizama. Ndio maana wanawake wanshindwa kuendelea, life iis too short for this type of hatred you never know whom you could meet through casual acquantances. Pengine ni mtu ambaye atakuwa na manufaa sana kwako. Wana JF what is your take on this?