Women to women

Amateur

Member
Apr 18, 2011
34
5
Hivi ni kwanini wanawake huwa hawapendani, especially kama hawafahamiani. Kwa mfano wanawake wanaofanya kazi za reception au customer service wakipata mteja wa kike response yao ni tofauti na angekuja mwanaume, ni kwanini. Mwanamke akimkuta mwanaume ndio yuko mapokezi huwa anakuwa more comfortable than angemkuta mwanamke. Hata ukitaka kuomba directions ya sehemu mwanamke atamtamtafuta mwanaume amuulize. Sisemi ni wote ila mara nyingi ni hivyo. Kwanini huwa wanadharauliana hata kama hawafahamiani- just by looking utamskia 'anajishebedua' etc etc. Hapo ni mdada kapita pengine kapendeza na watu wanamtizama. Ndio maana wanawake wanshindwa kuendelea, life iis too short for this type of hatred you never know whom you could meet through casual acquantances. Pengine ni mtu ambaye atakuwa na manufaa sana kwako. Wana JF what is your take on this?
 
Chuki binafsi...
Wivu.....
Ujinga.....
Binafsi siwezi kumchukia mtu bila sababu....hata wanaonipa sababu tu nawapotezea achilia mbali mtu nisiyemjua!Yanini kujichosha na kitu ambacho hakina faida kwangu wala hasara kwa huyo mwingine!!!
 
mie nahisi wanaume ndio chanzo,kwa vile mko wachache wanawake tuko kny competition kuwapata hence war with each other.....:dance::dance::A S 103:
 
Wivu, Ignorance, Viwango, suspision, nature, survival of the fittest ... The list can go on forever.... Na sababu nyingine ni nyie wenyewe guys ... una mwanamke wako hapa.. akija mwingine unamuangalia kama vile ulonae hapo si lolote....
 
Ni kweli ila ukisha kuwa aware na hii weakness una avoid. Mimi kazi nayofanya nina deal na mabinti na wakaka. Na inainvolve power relation. Am powerful than my clients. Kwa kuwa najua hii weakness nina upendeleo fulani kwa mabinti kuliko wakaka; na wananipenda sana tofauti na other women colleagues. Nadhani ni kutokujiamni kunafanya tuchukia wanawake na wadada. Tena hata kwa upande wa mavazi, wanawake wako critical sana kwa wanawake wenzao, utasikia amevaa mini nani amtake! Mimi napenda sana kuona binti kapendeza kwa hiyo I am always against those critics. Mavazi ni umri hata sie tulivaa sana tu kwa nini leo hii umtolee mimacho mtoto wa mwenzio!
 
Chuki binafsi...
Wivu.....
Ujinga.....
Binafsi siwezi kumchukia mtu bila sababu....hata wanaonipa sababu tu nawapotezea achilia mbali mtu nisiyemjua!Yanini kujichosha na kitu ambacho hakina faida kwangu wala hasara kwa huyo mwingine!!!

Umemaliza kila kitu
 
Hata kwenye suala la uchaguzi kama mgombea mmojawapo ni mwanamke utashangaa kura nyingi za wanawake zinakwenda kwa mwanaume. It is natural!
 
Umenikumbusha kuna kitu kinaitwa law of magnetism nilisoma form 2 more than 20 yrs ago inasema, Like charges repel on each other while unlike charges attract on each other
 
Wivu, Ignorance, Viwango, suspision, nature, survival of the fittest ... The list can go on forever.... Na sababu nyingine ni nyie wenyewe guys ... una mwanamke wako hapa.. akija mwingine unamuangalia kama vile ulonae hapo si lolote....

haya bwana AD
 
mie nahisi wanaume ndio chanzo,kwa vile mko wachache wanawake tuko kny competition kuwapata hence war with each other.....:dance::dance::A S 103:
Pauline, hilo la wanaume kuwa wachache sikualiani nalo. We kumbuka mdada anamchukia mwenzie bila sababu zozote, hawajuani hapa mwanaume anaingiaje? Mi naona kumchukia mtu bila sababu ni ujinga, wivu, ushamba n.k. Afu wanaume wako wengi au tuko sawa kwa sawa!
 
moz-screenshot-3.png
moz-screenshot-4.png
moz-screenshot-6.png
View attachment Gender profile.docx

Please see the attached gender profile per synovate report last year
 
Wivu, Ignorance, Viwango, suspision, nature, survival of the fittest ... The list can go on forever.... Na sababu nyingine ni nyie wenyewe guys ... una mwanamke wako hapa.. akija mwingine unamuangalia kama vile ulonae hapo si lolote....
Yaani sie wanawake sijui tukoje, utakuta mtu anajisikia tu kumchukia mtu bilasababu, labda unaona anapendwa sana na watu wengi, au ana mafanikio makubwa kuliko wewe, bila sababu mtu anaanza kumfanyia mwenzake visa, Yaani wanawake wenzangu tusipopendana wenyewe unadhani tutapendwa na nani? kwanza upendo uanze kwetu from there unaweza sambaa na kwengine. Mfano mzuri ni Big brother, akienda msichana hamna anaejali, ngoja aende mvulana watapiga watu kura mpaka basi, TUBADILIKE
 
kubadilika Gaga.... Kazi ipo dear... Ni sawa na kusema mtu akatazwe kwenda haja ndogo akiamka tu asubuhi na asubiri mpaka jioni....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hatuwezi kupedana kamwe, miwivu isiyo na maana , kuchukuliana wanaume na ujinga tu. Labda tuanze kuwafunza watoto wetu ili kizazi chao waondoe hiyo, na sidhani kama tutafanikiwa lol
 
kubadilika Gaga.... Kazi ipo dear... Ni sawa na kusema mtu akatazwe kwenda haja ndogo akiamka tu asubuhi na asubiri mpaka jioni....
Unaonaje tukianza wenyewe kubadilika bila kujali kama wengine watabadilika maybe tutakuwa tumepiga hatua fulani
 
Unaonaje tukianza wenyewe kubadilika bila kujali kama wengine watabadilika maybe tutakuwa tumepiga hatua fulani

I love the idea.. Starting with me... Personally siko hivyo but unfortunately kila mwanamke anasema hivyo mpaka inakosa uzito.....
 
Back
Top Bottom