upo deep kuliko wanawake wenyewe.Itakuwa jumamosi ya tarehe 9 june 2012 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa moja jioni, pale Dunken House Mikocheni.Hapa ndio pale wanapokutana kina dada/wamama kuzungumza changamoto za kila siku katika mahusiano,ndoa,na familia kwa ujumla.
Asante sana HorsePowerItakuwa jumamosi ya tarehe 9 june 2012 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa moja jioni, pale Dunken House Mikocheni.Hapa ndio pale wanapokutana kina dada/wamama kuzungumza changamoto za kila siku katika mahusiano,ndoa,na familia kwa ujumla.
upo deep kuliko wanawake wenyewe.
Itakuwa jumamosi ya tarehe 9 june 2012 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa moja jioni, pale Dunken House Mikocheni.Hapa ndio pale wanapokutana kina dada/wamama kuzungumza changamoto za kila siku katika mahusiano,ndoa,na familia kwa ujumla.
upo deep kuliko wanawake wenyewe.
Siyo tu kuwa niko deep na mambo yao, ila ni wajibu wangu na najisikia amani na furaha ku-collect information zinazowahusu wadada na kuwafikishia ipasavyo, na kuawasaidia kwa nguvu zote pale inapobidi. Siwezi hata kidogo ku-undermine uwepo wa Wadada ktk dunia hii, bali natumbua na kuthamini uwepo na uwezo wao maana wao ndiyo walionizaa, wakaninyonyesha, wakanifunga nepi (eti siku hizi ni pampas!), wakanilea, wakanitunza na kunipenda. Najisikia fahari sana kuwahudumia hawa ndugu ingawa baadhi yao huyatesa mawazo yetu wanaume na kutufanya saa nyingine tusiwaamini! But all in all, kwangu mimi hakuna kama mama!