Wizi wa magari unasababishwa na mambo mengi sana.
Vitu vya kufanya:
Kumbuka kuwa Tanzania is a lawless country. Lawless si kwa sababu hakuna sheria la ila ni kwa sababu wanaotakiwa kusimamia sheria wanashirikiana na wavunja sheria. Take all precautions kabla ya kukimbilia kwa polisi walio kwenye payroll ya professional thieves. Ikibidi fuata taratibu za kumiliki silaha ya moto ili kulinda mali zako. Polisi wapo kulinda watawala na familia zao ila kapuko usiyekuwa na lolote you are on your own. Wezi hawa wanajulikana ila wanaachiwa kwa sababu wanatakiwa kukata cha juu. Ukiona polisi wanakuuliza thamani ya mali iliyoibiwa wakati wa kutoa maelezo ujue wana assess probable selling price na kuifikisha kwa wahusika. Kama mtandao huu wa wizi ungekuwa ni mtandao wa kihaini ungeisha sambaratishwa siku nyingi. Vyombo vya ulinzi na usalama vina uwezo huo na vina intelligensia yote kuhusu hawa watu. Hawapo for probo. Wapo kisiasa na kimasilahi zaidi!!!.
Kuna jamaa yangu ni njagu, huwa ananiambia wazi kuwa wakati walipokuwa wana passout CCP Moshi, once upon a time, mgeni rasmi alikuwa PM Sumaye those days, aliyekuwa IGP Omari Mahita wakati akiwahutubia kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, aliwaamrisha mafundi mitambo wazime vipaza sauti kwa muda wakafanya hivyo na kuwapatia kauli hii.
"Ukikutana na mtu anakupatia hela chukua usiziache, toa umauzi wako, ila kama utaona hujaridhika na hela hizo angalia asikwambie twende huku nikakuongezee, akikupatia za moto sisi tutakukana hatukujui"
Ukiangalia kauli kama hizi ni dhahiri polisi wapo kimasilahi zaidi. TAFAKARI!
- Kufunga Immobiliser kwa kutumia mafundi wa vijiweni ambao unawapatia access ya kulijua gari lako A to Z kwa kuwapatia Tshs 100,000 au chini ya hapo: Hawa ni rahisi kuwapatia professional thieves code za immobiliser yako na kulifungua gari kama lao vile
- Kupendelea kupeleka magari Carwash na kuwaachia ufunguo wakiendelea na kazi huku wewe ukisogea bar ya karibu kujipatia moja moto moja baridi: Hawa hutumia Bar soaps kupata alama za funguo yako na hivyo kwenda kuchonga zao, kila unaporudi kuwataka wakuoshee wanajaribisha kama funguo yao inafanya kazi na kuchua details za kurekebisha tena na tena mpaka pale wanapoweza kuzitumia kwenye gari lako, inafuata stage ya pili ya kuku-trace miendenendo yako
- Kuepeleka gari service kwenye vituo visivyo na credibility mafundi wake wanafanya kazi kwa kulipwa mshahara wa Tshs 50,000 kwa mwezi
- Kujiaminin sana kupita kiasi baada ya kufunga immobiliser ya mtaani, na hivyo kurelax sehemu yoyote unayo park gari
Vitu vya kufanya:
- Never trust a car washer hata kama wewe ni bosi ni mara kumi ukae nao man to man hata kama watakumwagia maji makusudi uondoke, vinginevyo jiwekee routine ya kuosha mwenyewe gari lako nyumbani kila week end
- Never leave any valuables in a car which can be a thief magnet. Kumbuka hata ukiacha mfuko wa maganda ya embe uliyokula mwizi atajaribu kuvunja kioo na akikuta maganda ya embe atajaribu kuchukua kitakachochukulika hata kama ikibidi gari lote ataondoka nalo. Usiache kitu chochote juu ya seat
- Jaribu kutembea na mtu ambaye muda wote atabakia ndani ya gari bila kuwa na funguo kama unaenda sehemu za shopping as Mlimani City. Kumbuka kuwa hata hawa wizi huja na magari wakijifanya ni wateja na kubakia ndani wakiwinda kama eagle akiangalia vifaranga.
- Usimuazime gari mtu yeyote yule hata kama ni best friend ambaye hayupo kwenye list ya Insurer as a driver. Don't trust any third party hata kama unakaa nae nyumba moja. Gari ni sawa na nguo yako ya ndani ukimuazima mtu atajua wapi pana tundu na wapi pamechakaa. Never ever do that. Ni bora akuone mbaya kuliko kumuacha akafanye mambo ambayo wewe huwa hufanyi na baadae kujikuta unapoteza mali uliyoitafuta kwa jasho kubwa.