trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
Ni hatari. Wanapendelea magari gani zaidi?@ LEGE
mkuu ujue nikimwaga mambo hapa nihatari sana ntakuwa nimefungua mlango wa wengi kuingia kwenye wizi wa magari.
DODOSO
1-mim nifund umeme wa magari so nishawahi pata kesi kwa ajiri ya ku unlock gari ya mzee 1 ambaye mwanae alinipakaz hiyo haichukui hata dk 5.
Ila kwa hawa wezi wa magari kunakifaa wanatumia wanachofanya ni kukiweka mita chache na unapopaki gari yako au mtu anakuwa nacho karibu na gari yako utakapo funga gari tu kwa kutumia remot yako chenyewe kinanasa zile code na kuzi record na pind utakapo ondoka nyuma yeye ana unlock na kiulain anatoweka na gari yako kwa style hiyo hata uwe na car alarm ya kutoka mbingun lzm uibiwe tu.
2-kuna wanaotumia remot universal (malaya) ku unlock hii huwa inafanction sana kwa hiz car alarm za kichina za bei chee.
Kuna njia nyingine za kawaida tu watumiazo wezi wa power window,engine control,radio n.k