Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Heshima mbele wakuu!wajamen naomben kuulza,kuna ndugu yangu mmoja ana a/c kwenye bank ya crdb,kakuta kias kikubwa cha akiba yake hakipo,sasa akajarbu kwenda kwenye bank husika kuomba bank statement inavoonyesha kuna pesa zlichukuliwa tarehe flan bila yeye kujua na mchukuaji atakua ni mtu wake wa karibu ambaye anajua hadi pasword zake,sasa ninachoomba 2saidiwe ni jins ya kumjua huyo m2 alyeituibia hzo fedha!natangulza shukran.