Wizara ya Ustawi wa Jamii Ipo?

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Nimekuwa nikiona katika vipindi vya habari vya ITV watu wenye matatizo mbalimbali wanaomba misaada kutoka kwa wasamaria wema. Je ile wizara ya ustawi wa jamii ipo? Na kama ipo kazi yake ni nini?
 
Duh! sidhani kama ipo maana kama ipo inafanya shughuli gani?? kila kukicha tunaona NGOs zikifanya kazi zake na wafadhili kama kina VOda kwa watoto na kina mama, the same as TBL and so! sasa hii wizara afadhali ifutwe tu! wanakula pesa na nataka sana kujua bajeti yao ilikubaliwa na imemlenga nani?? au ndio mambo kama yale ya Nishati ???
 
Back
Top Bottom