mnangagwa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 978
- 1,424
Heshima kwenu wakuu, Ustawi wa Jamii ni taasisi iliyo ndani ya serikali,na lengo la kuanzishwa kwake ni kutoa huduma zinazohusiana na masuala ya haki za watoto.
Lakini usiombe wewe mwanaume ukapelekwa ustawi wa Jamii na mwanamke hata kama una haki lakini utaonekana ww mwanaume ndo mkosaji.
Ofisi za ustawi wa jamii zimegeuka kuwa chama cha kusaidia wanawake,hasa afisa ustawi wa jamii manispaa ya ilala anaitwa magdalena msaki amenivurugia familia yangu.
Mke wangu aliondoka mwaka 2019 baada kumgundua kuwa katoa mimba ya Hawara yake na kuniachia watoto wanne mmoja akiwa na miaka miwili,toka muda huo alipeleka shauri bakwata akidai talaka,qadhi mkoa wa dsm akatoa hukumu ambayo mke alionekana na makosa.
Akakimbilia ustawi wa jamii manispaa ilala(magdalena msaki ni ndg yake) nikapigiwa simu na kuhojiwa, nikakataa mahojiano ya simu nikihitaji niletewe barua ya wito.
Nililetewa barua ya wito,kufika ofisini nalazimishwa nikabidhi watoto kwa mama yao bila maelezo ya kina, nikakataa kuwakabidhi mpaka yawepo maandishi ya kisheria ya makabidhiano hayo,matokeo yake naambiwa watoto sio wangu nawang'ang'ania wa nini?
Afisa ustawi wa jamii nae akaniambia watoto sio wangu lakini naonekana nina kiherehere sana,nikamjibu kama watoto sio wangu nitafanya utaratibu wa kuwapima d.n.a ili nithibitishe,hapo ndo shida ilipoanzia,ikafanyika connection kwenda mahakama ya watoto kisutu na akakabidhiwa hakimu maalum anishughulikie kabla sijafanikiwa adhma yangu.
Hukumu ikatoka watoto wote wanne ambao wakubwa ni mapacha 12yrs,9yrs na 6yrs wote nikaamriwa nimkabidhi mama yao,na afisa ustawi jamii ameniapia popote nitakapoenda kulalamika atakuwa upande wa mwanamke na nitaijua nguvu ya wanawake.
Wajuzi na wataalamu naomba ushauri wenu nifuate taratibu zp ili kumshtaki afisa ustawi jamii huyu kwa kutumia ofisi ya serikali kwa manufaa yake binafsi.