Kutokana na wizara hiyo kupewa askari wa ukweli inasemekana ndo itakuwa wizara bora kutokaxa na kombinesheni ya dokta Pombe na dokta Mwakyembe,ama kweli wizara ya ukweli hii
Wizara au Idara haitegemei ubora wa wakuu wake. Inawezekana wakachagiza ndipo mambo yakaenda sawa. lakini pia waweza kupata kinyume cha matokeo kwa sababu NI RAHISI KUMPELEKA PUNDA MTONI, LAKINI SI RAHISI KUMLAZIMISHA KUNYWA MAJI!. Kama uoza uko kwa watendaji chini, ni kazi sana kwa aliye juu kujua walioko chini wameoza kiasi gani inachukua muda kugundua hilo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.