Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,658
- 4,861
Wizara ya mambo ya Nje ya Israel, imetoa pole na kuoneshwa kusikitishwa kwa mauaji yaliyotendeka kwa kijana Joshua, kupitia ukurasa wa mitandao ya kijamii.
Ikumbukwe kuwa Israeli haina Ubalozi wowote Nchini Tanzania kwa miaka mingi, ila imekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa endapo kuna mtanzania kapata shida katika hiyo vita.
Hata hivyo Tanzania inaitambua Palestina kama Nchi huru, na Palestina inaubalozi wake jijini Dar es salaam. Lakini Ubalozi huo umekuwa hautoi pole wala habari yoyote ya watanzania wanaopitia shida huko Palestine. Na ubalozi huo haujatoa tamko lolote kuhusu mauaji ya vijana wa kitanzania waliouwawa na wanamgambo wa kipalestina wanajulikana kama HAMAS.
Ubalozi huo haupambanii hata vijana wetu waliotekwa na wapalestina waachiwe. Yani wapo tu hapa Tanzania kama galasha, wanajua fika kabisa kwamba Watanzania wametekwa na kikundi chao cha Hamas ila wamekaa kimya