Wizara ya afya na ulinzi warushiana mpira juu ya posho za madaktari wanajeshi

mayoscissors

JF-Expert Member
Nov 24, 2009
975
471
Baada ya MNH kukana kuwalipa posho ya sh laki moja kwa siku madaktari wanajeshi wanafanya idara ya dharura muhimbili,kuna mgoganzano kati wizara hizo juu ya nani awalipipe,kwa sasa ulinzi inaonea huruma afya kwa misukosuko iliyonayo.:A S embarassed:
 
Khaa! Kumbe nao wanahitaji posho?
They can't be serious.
Kipi nafuu kati ya tsh 80,000/= na 100,000/=?
 
Ni kweli kuna mgongano hapo nani awalipe wale ma soja posho zao kumbuka wanafanya kazi masaa 12 kwa siku....na wengine double shift ili angalau kurekebisha ile hali pale lazima walipwe.....
 
Baada ya MNH kukana kuwalipa posho ya sh laki moja kwa siku madaktari wanajeshi wanafanya idara ya dharura muhimbili,kuna mgoganzano kati wizara hizo juu ya nani awalipipe,kwa sasa ulinzi inaonea huruma afya kwa misukosuko iliyonayo.:A S embarassed:
Haya haya,yetu macho! Mjeda hasaidiwi bunduki!!
 
Baada ya MNH kukana kuwalipa posho ya sh laki moja kwa siku madaktari wanajeshi wanafanya idara ya dharura muhimbili,kuna mgoganzano kati wizara hizo juu ya nani awalipipe,kwa sasa ulinzi inaonea huruma afya kwa misukosuko iliyonayo.:A S embarassed:

nani kakwambia?
 
Back
Top Bottom