Wizara hizi zipo mahututi, wakati wowote zina kata moto

4. Wizara ya elimu
Hii iko vizuri sema wanakazi ngumu kuhakikisha wanafanya mabadiliko makubwa kwenye Elimu katika kutekeleza Sera ya Elimu ya Mwaka 2014 pamoja na Mtaala mpya.Huyo Waziri na Makatibu wake nafuu watapata likipita Hilo.Na Raisi akitaka kuharibu movie ajifanye kutumbua hapo kuwasikiliza Chawa Itakuwa wabilah Tawfiq.
 
Hizo wizara zilikuwa moto awamu ya tano. Nakumbuka mpaka kuna mfumo wa ku,uia upotevu wa dawa niliujua unaitwa GOTamis sijui..nimeanza kusahau..nilikuta hospitali moja mkoani wanahenya na huo mfumo.

Tanesco nako ilikuwa moto..REA imepamba moto na bwawa la Mwalim Nyerere nako moto.

Huko ardhi ndio ilikuwa balaa..ardhi ilikuwa inatifuliwa mpaka inapiga kelele.



Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom