Mbona sijaona wivu ulivokuponza kwenye mapenzi hayo ni mambo ya kawaida sana tena wewe mpole kabisa unajishusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaa...!Jamani..sasa ana sifa zote za mme bwege.
Sijakuelewa unaniuliza mimi au mwenye threadyani huyo bi dada wako ni singo mother,?
mwenye threadSijakuelewa unaniuliza mimi au mwenye thread
Okaymwenye thread
Kasoro wewe tu Babu...huna hizo sifa.Khaaaa...!