Natoa wito wa "Mapinduzi ya Kizalendo nchi nzima kuanzia tarehe 12/02/2011"
Kwakweli imedhihirika wazi kwamba Tanzania inahitaji Mapinduzi ya Kizalendo ni lazima wanachi tujue kwamba sisi ndio dola yenyewe na tukiamua jambo wakati wowote tunafanya bila kungoja tukae na kubadilisha vifungu vya maandishi.
Jamani mimi natoa wito kwa Watanzania wote kuamka na kufanya Mapinduzi ya Kizalendo kuikomboa nchi yetu mikononi mwa wanyang'anyi wa mali yetu.
Napenda kuwakumbusha wanachi kwamba DOLA ni Wananchi na "Katiba",Vyombo vya Ulinzi na Usalama kama Majeshi likiwemo la Polisi lililouwa watu Arusha na Zanzibar ni Vyombo vya DOLA na DOLA ni WANANCHI kwanini tunaogopa vyombo vyetu?wewe unaweza kuogopa bakuli na sahani,kisu,jembe ambayo ni vyombo vyako mwenyewe?Shime wananchi tufanye Mapinduzi ya Kizalendo na tuwafukuze madarakani Watawala dharimu bila kujali Vyama vyao wala itikadi zao ikiwa hawatekelezi matakwa yetu sisi ambo ni DOLA
Tuna haja gani ya kukaa majukwaani kujadili mabadiliko ya Katiba wakati tunaendelea kuangamia,tuamke tuseme sisi ndio Dola na hakuna haja ya kuomba kibali kwa vyombo vyetu wenyewe,kila mtanzania leo ajue sisi ndio DOLA yenyewe napenda kurudia tena sisi WANANCHI ndio Dola,sisi ndio DOLA Watanzania wenzangu,kwanini tunaogopa vyombo vya DOLA? Wakati Dola ni sisi Wananchi? Shime tufanye maandamano makubwa nchi nzima
Tuamke sasa tuwaambie wanasiasa wote bila kujali ni Chedema au CCM au CUF tumechoka na maneno yenu.
Saa imefika ya Mapinduzi ya Kizalendo ambapo hautangoja Miaka Mi 5 au 10 Kumwondoa mtu madarakani wakati tumemwona anafanya mengine ambayo hatukumtuma sisi,ATAONDOKA hata kama Katiba haisemi hivyo kwakuwa WANACHI ndio Dola yenyeweeeeeeeeee
Shime wana jamii wenzangu,tuwaambie wanachi wote kwamba sisi ndio DOLA na kamwe tusiogope Vyombo vyetu kama Polisi,Jeshi na etc
Natangaza kufanyika kwa MAANDAMANO MAKUBWA NCHI NZIMA siku ya tarehe 19 Jumosi ya Wiki ijayo,2011 kuishinikiza serikali iliyopo iondoke madarakani kama haitafanya yafuatayo:-
1.Kukomesha mgawo wa Umeme haraka iwezekanavyo ndani ya siku 7
2.Kushughulikia haraka matatizo ya Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu ikiwa ni pamoja Kuwaongezea Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya JUU posho ya Kujikimu kutoka TZS.5000 hadi TZS.15,000 kwa siku.
3.Kutoa tamko kuhusu namna watavyolishughulikia tatizo la AJIRA kwa maelfu ya Vijana waliohitimu katika Vyuo mbalimbali
4.Kuwakamata na kuwaweka ndani watuhumiwa wote wa Ufisadi kuanzia IPTL,Richmond,Dowans,Meremeta na EPA na wengine
5.Kuwafukuza wawekezaji wote wanotuibia MADINI yetu kwenye Migodi yote nchi nzima ama lasivyo wanachi watavamia migodi yote kuanzia tarehe 19/02/2011
6.Kushugulikia matatizo ya Walimu,wahadhiri wa Vyuo vya Elimu ya juu,kama ukosefu wa Nyumba,kutolipwa Posho na madai yao mbalimbali.
7.Kuwakamata wezi wa Ruzuku za Pembejeo za Kilimo
8.Kufufua usafiri wa Reli na Kurudisha VICHWA na MITAMBO ya shirika vilivyoibiwa na Wawekezaji wa TRL kutoka India
9.Bunge livunjwe na kuitishwa uchaguzi mpya haraka sana ndani ya siku 90 kwakuwa kulikuwa na dosari NYINGI katika Uchaguzi uliopita
10.Kuundwa kwa Taifa Jipya la TANGANYIKA baada ya mabadiliko ya katiba yaliyofanywa hivi karibuni yaliyounda serikali ya Umoja wa kitaifa Zanzibar ambayo yalimaanisaha pia kuzaliwa kwa ZANZIBAR huru.
11.Kujiuzuru kwa waziri wa mambo ya ndani na mkuu wa jeshi la Polisi kwa kosa la kuhamasisha mauaji ya wananchi wasio na hatia Arusha.
Mwl.Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusema kwamba' "Wakati Taifa linapoingia katika matatizo,Jeshi ndio chombo pekee cha KIZALENDO ambacho kinaweza kuwasaidia wananchi" Sijui Uzalendo wenu uko wapi wanajeshi wetu?sisi wanachi tunawategemea na tunaomba muamke na na kutusaidia siku ya Tarehe 19/02/2011