Wito wa mapinduzi ya kizalendo Tanzania "Nationalism revolution" tarehe 19/02/2011

Natoa wito wa "Mapinduzi ya Kizalendo nchi nzima kuanzia tarehe 12/02/2011"

Kwakweli imedhihirika wazi kwamba Tanzania inahitaji Mapinduzi ya Kizalendo ni lazima wanachi tujue kwamba sisi ndio dola yenyewe na tukiamua jambo wakati wowote tunafanya bila kungoja tukae na kubadilisha vifungu vya maandishi.

Jamani mimi natoa wito kwa Watanzania wote kuamka na kufanya Mapinduzi ya Kizalendo kuikomboa nchi yetu mikononi mwa wanyang'anyi wa mali yetu.

Napenda kuwakumbusha wanachi kwamba DOLA ni Wananchi na "Katiba",Vyombo vya Ulinzi na Usalama kama Majeshi likiwemo la Polisi lililouwa watu Arusha na Zanzibar ni Vyombo vya DOLA na DOLA ni WANANCHI kwanini tunaogopa vyombo vyetu?wewe unaweza kuogopa bakuli na sahani,kisu,jembe ambayo ni vyombo vyako mwenyewe?Shime wananchi tufanye Mapinduzi ya Kizalendo na tuwafukuze madarakani Watawala dharimu bila kujali Vyama vyao wala itikadi zao ikiwa hawatekelezi matakwa yetu sisi ambo ni DOLA

Tuna haja gani ya kukaa majukwaani kujadili mabadiliko ya Katiba wakati tunaendelea kuangamia,tuamke tuseme sisi ndio Dola na hakuna haja ya kuomba kibali kwa vyombo vyetu wenyewe,kila mtanzania leo ajue sisi ndio DOLA yenyewe napenda kurudia tena sisi WANANCHI ndio Dola,sisi ndio DOLA Watanzania wenzangu,kwanini tunaogopa vyombo vya DOLA? Wakati Dola ni sisi Wananchi? Shime tufanye maandamano makubwa nchi nzima

Tuamke sasa tuwaambie wanasiasa wote bila kujali ni Chedema au CCM au CUF tumechoka na maneno yenu.

Saa imefika ya Mapinduzi ya Kizalendo ambapo hautangoja Miaka Mi 5 au 10 Kumwondoa mtu madarakani wakati tumemwona anafanya mengine ambayo hatukumtuma sisi,ATAONDOKA hata kama Katiba haisemi hivyo kwakuwa WANACHI ndio Dola yenyeweeeeeeeeee

Shime wana jamii wenzangu,tuwaambie wanachi wote kwamba sisi ndio DOLA na kamwe tusiogope Vyombo vyetu kama Polisi,Jeshi na etc

Natangaza kufanyika kwa MAANDAMANO MAKUBWA NCHI NZIMA siku ya tarehe 19 Jumosi ya Wiki ijayo,2011 kuishinikiza serikali iliyopo iondoke madarakani kama haitafanya yafuatayo:-

1.Kukomesha mgawo wa Umeme haraka iwezekanavyo ndani ya siku 7

2.Kushughulikia haraka matatizo ya Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu ikiwa ni pamoja Kuwaongezea Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya JUU posho ya Kujikimu kutoka TZS.5000 hadi TZS.15,000 kwa siku.

3.Kutoa tamko kuhusu namna watavyolishughulikia tatizo la AJIRA kwa maelfu ya Vijana waliohitimu katika Vyuo mbalimbali

4.Kuwakamata na kuwaweka ndani watuhumiwa wote wa Ufisadi kuanzia IPTL,Richmond,Dowans,Meremeta na EPA na wengine

5.Kuwafukuza wawekezaji wote wanotuibia MADINI yetu kwenye Migodi yote nchi nzima ama lasivyo wanachi watavamia migodi yote kuanzia tarehe 19/02/2011

6.Kushugulikia matatizo ya Walimu,wahadhiri wa Vyuo vya Elimu ya juu,kama ukosefu wa Nyumba,kutolipwa Posho na madai yao mbalimbali.

7.Kuwakamata wezi wa Ruzuku za Pembejeo za Kilimo

8.Kufufua usafiri wa Reli na Kurudisha VICHWA na MITAMBO ya shirika vilivyoibiwa na Wawekezaji wa TRL kutoka India

9.Bunge livunjwe na kuitishwa uchaguzi mpya haraka sana ndani ya siku 90 kwakuwa kulikuwa na dosari NYINGI katika Uchaguzi uliopita

10.Kuundwa kwa Taifa Jipya la TANGANYIKA baada ya mabadiliko ya katiba yaliyofanywa hivi karibuni yaliyounda serikali ya Umoja wa kitaifa Zanzibar ambayo yalimaanisaha pia kuzaliwa kwa ZANZIBAR huru.

11.Kujiuzuru kwa waziri wa mambo ya ndani na mkuu wa jeshi la Polisi kwa kosa la kuhamasisha mauaji ya wananchi wasio na hatia Arusha.

Mwl.Nyerere wakati wa uhai wake aliwahi kusema kwamba' "Wakati Taifa linapoingia katika matatizo,Jeshi ndio chombo pekee cha KIZALENDO ambacho kinaweza kuwasaidia wananchi" Sijui Uzalendo wenu uko wapi wanajeshi wetu?sisi wanachi tunawategemea na tunaomba muamke na na kutusaidia siku ya Tarehe 19/02/2011

jamani tusifanye mzhaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Style mpya ya kuondoa utawala mbovu sasa imepatikana,sio vita vya msituni ten a vinavyochukua hata miaka 10 au zaidi huku watu wanaendelea kula kuku mjini, ni Nguni ya umma tuu ndiyo suluhisho la mambo yote. Mwenye kudharau na adharau. Cheche moja huunguza msitu.
 
Heko Watanzania wenzangu!

Mapinduzi kuanza tarehe 19/02/2011 kuleta nuru mpya na Matumaini kwa Watanzania na vizazi vijazo.

Heko Wanafunzi woote wa Vyuo Tanzania,tuungane tufanye Mapinduzi,tufanye maandamano Makubwa kwa muda wa siku 3 tu,kujenga Taifa Jipya la Tanzania.Mamilioni ya Watanzania wenzetu kule vijijini wanatutegemea kuwa sisi ni chchu ya Mageuzi ya kweli,shime tarehe 19/02/2011 wote tujitokeze kwa wingi.

Shime Walimu wenzangu mliotelekezwa,hamna nyumba,maisha yenu ni duni,mazingira ya kazi ni magumu,mishahara ni midogo,unyonge wenu isiwe sababu ya uwoga wenu kushiriki Mapinduzi tarehe 19/02/2011.

Shime Wakulima,Mumudanganywa na siasa ya Kilimo kwanza huku mkitelekezwa bila Pembejeo na Masoko ya uhakika ya mazao yenu,pamoja na uzalishaji mkubwa bado mnadhurumiwa jasho lenu, Unyonge wenu uwe ushujaa wa kushiriki mapinduzi haya,woote tuungane kuleta mapinduzi ya Tanzania,maandamano makubwa kuanzia tarehe 19/02/2011.

Heko WAFANYAKAZI amboa ndio ALAMA ya Nyundo kwenye Bendera ya hao wanaojiita wana Mapinduzi,Poleni kwa Kuitwa MBAYUWAYU!!! Dhihirisheni kwamba ninyi ni NYUNDO kweli,Pondeni MAFISADI na wezi wa Rasilimali ya Tanzania,Pondeni Wezi wa EPA,RICHMOND,IPTL na MEREMETA,nguvu ya Mageuzi pote Duniani inaanzia hapa kwa Wafanyakazi,Unyonge wenu isiwe sababu ya kuogopa kushiriki mapinduzi ya Tarehe 19/02/2011.

Heko VIJANA wnzangu woote wa Tanzani wasio na AJIRA.Leo Machinga Complex zinatengwa nchi nzima ili muandaliwe kuwa WAMACHINGA badala ya kuimarisha shule za Sekondari na Ufundi,Shime Tufanye Mapinduzi kwa Maandamano makubwa kuanzia tarehe 19/02/2011.

Shime Watanzania,MOTTO Umeisha washwa na MAPINDUZI YA KIZALENDO TANZANIA KUANZA TAREHE 19/02/2011 Woote Tushiriki tuokoe Taifa letu kutoka Mikononi mwa Wanyang'anyi.

Shime Mawaziri wapambanaji,Samweli Sitta,na Mwakyembe na wengine wengi,kumbukeni wakina mama wanawazito wanapakiwa kwenye Matoroli kufuata Huduma za Hospitali zaidi ya KM 50 hadi 70,huruma yenu ni ZAWADI ya pekee kwa Watanzania,watendeeni jambo kizazi kijacho cha Tanzania yenye neema,Shime Unganeni nasi kuanza Mapinduzi.

MAPINDUZI YA KIZALENDO YA TANZANIA,shime Watanzania woooote.
 
jamani jamani kumekucha hali hii hatuwezi kusubiri wanasiasa watukomboe tunatakiwa kuanza sisi.Tujipange vema na kufanya maamuzi.
 
Dar hakuna kitu watu wa Dar ni waoga sana bora tulianzishe mikoani,baadae Dar wataona aibu watajoin
 
Mimi nitaprint ujumbe huu na kusambaza kwa watu 100 ambao ni maintellectual na nitawapa ujumbe ya kwamba kila mmoja ahakikishe anapata kusambaza kwa watu wengi kadri awezavyo. Hakuna wakunitisha kwenye swala la kuikomboa nchi yangu. Nashauri na wengine ambao mko kwenye mtandao mfanye hivyo kuanzia leo hadi kufikia Ijumaa ujumbe utakuwa umesambaa nchi nzima kwani wanaJF TUMETAPAKAA nchi nzima. Nawasihi wanaharakati tusiogope katika harakati za kujikomboa ss na watoto wetu.
 
Tanzania haihitaji mapinduzi. Kinachotakiwa ni kuibana serikali sasa hivi kwakuwa iko katika hali ya udhaifu katika maeneo flani flani ya kielimu, kiuchumu, rushwa, na kadhalika. Kwa kuwa haya yote pamoja na a free and fair democratic system ndio matakwa ya watanzania, basi tupate katiba mpya ambayo lazima ilinde haki ya mtanzania na kumpa nguvu juu ya kusimamia viongozi wake 'right of recall' independent electoral commission (not appointed by presidential at his pleasure), and all the relevant laws that would ensure rights and duties of citizens n government are clearly stated and enforced.

At the moment, the opposition despite much bickering and in-fighting has an unprecedented potential energy in the form of people's consensus and support. I believe that this momentum should not be reversed nor the opportunity wasted, making sure a new fair and level playing field will replace the current system politically, and economically the constitution should promote and protect the necessary rights and duties that the future development of our economy. An example of state which has adequately engraved economic system change in its constitution and subsequent legal reform is China (1981), the result...oneni walipo...!

Kwahiyo kimsingi, sidhani kama Tanzania inahitaji hali ya machafuko, itaturudisha nyuma kiuchumi, lakini vile vile muamko na chachu iliyopo katika jamii hii kwa ujumla wake isidharauliwe au kunyamazishwa bali itumiwe kuchora ramani ya tunapokwenda na kuweka misingi ya haki na maendeleo ila vilevile, kama mchangiaji mmoja hapo juu ametumia mfano wa mvunja kokoto alievaa fulana ya chagua ccm iliyoraruka ataelewa kwenda kupigwa risasi? Na jee nidhamu na msimamo wa jeshi la misri vitaweza kuonyeshwa na jeshi la Tanzania. Kwasababu isije kuwa Tienamen Sqr 1989!!

As a student of socia anthropology, history and comparative constitutional law, I have come to find that positive change results from the will of the people and their actions (pioneered by both the masses and or their leaders). In the case of revolutions, stability and progress are ney the result but rather change. So we must ask ourselves, do we want just change or do we want positive change? Radical politics destabilizes and takes a long time usually in the order of 5 decades to several centuries to fix. The French revolution, the Bolsheviks, and many more usually create a power void where someones usurps the overthrown's authority. Even in Egypt today, one analyst put it today: that the people of Egpyt shall truly be free is yet to be seen because the power now vests with the Military high command and they are long-time beneficiaries of the current regime and status quo socio-economic paradigm. Will they act in favour of democracy and free and fair opening up of a political and economic system to their own detriment? It may be so as they have promised, but Napoleon and Hitler too made promises. Power is a self-preserving mechanism.

Kwahiyo ndugu zanguni, naombeni tutafute suluhu ya matatizo yetu kwa kuendshwa na uchungu tulionao lakini kwa utaratibu makini utakaopelekea Tanzania kuwa mfano katika Africa na kuinua hali ya mtanzania mwenyewe. Hayo mapinduzi ya kupindua serikali tuwaachie wengine, au la basi tujaribu kutumia njia hii kwanza kuokoa vifo na uharibifu wa kiuchumi na amani kwa ujumla.

KK
Currently a Researcher in Comparative Constitutional law and Regional Integration.

Kwa shule yako + kawoga hauendi popote. Ukianza analysis sana maisha huwa hayabadiliki. Hili ni kama jipu ni ngumu kujichinja mwili lakini ukitoa jipu ni once off unapona. SAA YA UKOMBOZI NI SASA
 
Nimetoka kwenye thread yako sasa hivi na nilikueleza kule ni utoto ndio unakusumbuwa, read between the line na sio ukurupuke kujibu usichokijuwa, labda ningesema Dar es salaam wote ni wajinga ungekuwa na haki ya kuniita mpuuzi sababu hata mimi niko Dar, jifunze kwanza kusoma na kuelewa ndio uchangie, mimi nilianza kuingia JF mwaka 2006 lakini nimekuja kujiregister mwaka jana.
labda ni kuulize tu ni mji gani mpaka leo watu wanaliwa pesa kwa kucheza karata tatu?

Niambrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrriiiyyyeeeee
 
Mimi nitaprint ujumbe huu na kusambaza kwa watu 100 ambao ni maintellectual na nitawapa ujumbe ya kwamba kila mmoja ahakikishe anapata kusambaza kwa watu wengi kadri awezavyo. Hakuna wakunitisha kwenye swala la kuikomboa nchi yangu. Nashauri na wengine ambao mko kwenye mtandao mfanye hivyo kuanzia leo hadi kufikia Ijumaa ujumbe utakuwa umesambaa nchi nzima kwani wanaJF TUMETAPAKAA nchi nzima. Nawasihi wanaharakati tusiogope katika harakati za kujikomboa ss na watoto wetu.

Nakuunga Mkono kaka,tusambaze Ujumbe huu kwa watu wote,kila aliye uona awasambazie watu 100 anao wajua kama na mimi ninavyofanya!Mwenye mawazo zaidi alete tena,tumechoka jamani,tumechoka,Viwanda 50 Vitafungwa kutokana na Mgao wa umeme,Mamilioni ya Vijana watapata kazi watu na Wazee wataishije kama sisi vijana wenye nguvu tunapiga miayo nyumbani hatuna kazi ya kufany!!!1
 
Hee hii itakuwa ngumu sana kwa TZ. Uhamasishaji wenyewe utakuwaje? Ni watu wanganpi utaweza kuwafikia na kuwaelewesha ili wakuelewe? Hii tarehe naona kama itaishia tu hapa hapa JF. Wenzetu wa-Misri wanauwezo mkubwa wa kuwasiliana kupitia internet kwetu hapa hali ikoje?
 
Natoa hoja kuwa shinikizo hili lifanywe katika mwezi wa June na tarehe ipangwe baada ya kuhakikisha kuwa elimu imeshaenea Tanzania nzima na kila mmoja anayo taarifa,yaani kwa tarehe ilivyo bado ni karibu sana kuuelimisha umma na habari kuenea kwa kila mzalendo wa Taifa hili la Tanzania.
Kwa vile ni sehemu kubwa ya Tanzania wananchi wake hawapati habari kwa haraka ,hivyo kuipanga June ni kuhakikisha kuwa habari zinawafikia walengwa na kila mtu anakuwa na muda wa kujiandaa na kwaq hali ya uchumi wetu inavyozidi kuanguka na shida kupanda chati ,itakuwa rahisi wananchi kushawishika na kuukubali ukweli kuwa wakti ni huu.
 
naungana na wote wanaotaka mabadiliko ambayo ili yapatikane kwa 100% ni sisi watanzania ambao hatuongozi serikali kuamua kwa dhati sasa basi matatozo ni mengi kwa kweli. ili tuendelee ni sisi kuchukua hatua kwa kudai mabadiliko hata hao wanaofurahia maisha sasa walipita huku tunakopita ndipo wakafanikiwa. hatuwezi kuendelea hivi hivi na kutegemea mabadiliko ya kweli.

kweli mpaka leo ziko shule wanafunzi wanakaa chini? chumba kimoja cha darasa wanasoma madarasa mawili tofauti yaani darasa 6 na 7? hapo hapo eti wabunge wanataka jujenga nyumba za kudumu dodoma kwa hela ya nani? kwa kweli hapana hiyo aitoshi hawataki kwenda hospital za serikali kwa nini? na hayo magari ya milion 90. kwani Rav 4 ya milion 10 haitoshi? kwanza yeye alipokuwa anagombea alidhani kazi anafanyaje kuna haja kweli ya serikali kununua haya magari?

alafu wajawazito ndo wapande bajaji?
kweli haya ni matusi, nasema hivii huyo aliyesema na anayesaport hii ya wajawazito kupanda bajaji kama ambulece kama ana mke ampe mimba alafu ampandishe tena kwenye lami tena wala asisubiri uchungu ufike ndo ampandishe. alafu baada ya safari ya km hata 3. amuulize anajisikiaje. au ndugu yako yoyote mwenye mimba afanye hivyo kama jaribio ndo ujue kama hizo bajaji 400 ni akili au ni upepo.

nasema hivii mabadiliko ni lazima na ili yapatikane ni sisi kujitoa kwa kuyadai kwa pamoja. Nguvu ya Umma.
 
nafikili arusha sisi hatuna taabu hata kidogo na hakuna namna ya kufanya ila hiyo sasa wakati ni huu wake if we must die let us not die like custritated pig
 
sijui unatamia ****** au ubongo kufikiria lakini mfano wako wenyewe unaonesha unatumia nini, watu wa dar wataandamana iwapo kuna sound and logical sababu kama mfano huo wa kubomolewa nyumba sio kuwaambia waandamane kupinga matokeo ya umeya ambayo yamesababishwa na wapuuzi wachache, kama unadhani unaweza kuwaachisha watu shughuli zao kwa akili za akina lema hapa dar hufanikiwi hata kidogo. umenisikia wewe josephine mushumbuzi mchumba/mke/hawala/demu/kipozeo/ma&^ya wa Slaa

mfuate Josephine umwambie,kauli zako hazimtishi mtu,swala si mafanikio ya mtu mmoja,unaonekana uko kwenye kundi moja na wahusika,Bado hapo ujanena kitu.

Pili Josephine kuwa hawala,demu,kipozeo na yote uliyonena ya silaa siyo hoja hapa,tumezoea watu wasio na hoja wanawaza affairs za watu wengine,Mjepu bado jaribu tena.You sound so frastrated.
 
Nakuunga Mkono kaka,tusambaze Ujumbe huu kwa watu wote,kila aliye uona awasambazie watu 100 anao wajua kama na mimi ninavyofanya!Mwenye mawazo zaidi alete tena,tumechoka jamani,tumechoka,Viwanda 50 Vitafungwa kutokana na Mgao wa umeme,Mamilioni ya Vijana watapata kazi watu na Wazee wataishije kama sisi vijana wenye nguvu tunapiga miayo nyumbani hatuna kazi ya kufany!!!1

hapa mtaani napoisi watu wanasoma ujumbe na kuafiki mawazo nimegundua wazee wengi wamechoka sana.nimepeleka mpaka maeneo nyeti ya jeshi.tufanye kwa uwezo wetu wote.kwa wale wenye uchungu na nchi hii ,wapo wengi wanaonufaika na mafisadi direct or indirect humu hivyo watatuvunja mioyo.
 
Heko Watanzania wenzangu!

Mapinduzi kuanza tarehe 19/02/2011 kuleta nuru mpya na Matumaini kwa Watanzania na vizazi vijazo.

Heko Wanafunzi woote wa Vyuo Tanzania,tuungane tufanye Mapinduzi,tufanye maandamano Makubwa kwa muda wa siku 3 tu,kujenga Taifa Jipya la Tanzania.Mamilioni ya Watanzania wenzetu kule vijijini wanatutegemea kuwa sisi ni chchu ya Mageuzi ya kweli,shime tarehe 19/02/2011 wote tujitokeze kwa wingi.

Shime Walimu wenzangu mliotelekezwa,hamna nyumba,maisha yenu ni duni,mazingira ya kazi ni magumu,mishahara ni midogo,unyonge wenu isiwe sababu ya uwoga wenu kushiriki Mapinduzi tarehe 19/02/2011.

Shime Wakulima,Mumudanganywa na siasa ya Kilimo kwanza huku mkitelekezwa bila Pembejeo na Masoko ya uhakika ya mazao yenu,pamoja na uzalishaji mkubwa bado mnadhurumiwa jasho lenu, Unyonge wenu uwe ushujaa wa kushiriki mapinduzi haya,woote tuungane kuleta mapinduzi ya Tanzania,maandamano makubwa kuanzia tarehe 19/02/2011.

Heko WAFANYAKAZI amboa ndio ALAMA ya Nyundo kwenye Bendera ya hao wanaojiita wana Mapinduzi,Poleni kwa Kuitwa MBAYUWAYU!!! Dhihirisheni kwamba ninyi ni NYUNDO kweli,Pondeni MAFISADI na wezi wa Rasilimali ya Tanzania,Pondeni Wezi wa EPA,RICHMOND,IPTL na MEREMETA,nguvu ya Mageuzi pote Duniani inaanzia hapa kwa Wafanyakazi,Unyonge wenu isiwe sababu ya kuogopa kushiriki mapinduzi ya Tarehe 19/02/2011.

Heko VIJANA wnzangu woote wa Tanzani wasio na AJIRA.Leo Machinga Complex zinatengwa nchi nzima ili muandaliwe kuwa WAMACHINGA badala ya kuimarisha shule za Sekondari na Ufundi,Shime Tufanye Mapinduzi kwa Maandamano makubwa kuanzia tarehe 19/02/2011.

Shime Watanzania,MOTTO Umeisha washwa na MAPINDUZI YA KIZALENDO TANZANIA KUANZA TAREHE 19/02/2011 Woote Tushiriki tuokoe Taifa letu kutoka Mikononi mwa Wanyang'anyi.

Shime Mawaziri wapambanaji,Samweli Sitta,na Mwakyembe na wengine wengi,kumbukeni wakina mama wanawazito wanapakiwa kwenye Matoroli kufuata Huduma za Hospitali zaidi ya KM 50 hadi 70,huruma yenu ni ZAWADI ya pekee kwa Watanzania,watendeeni jambo kizazi kijacho cha Tanzania yenye neema,Shime Unganeni nasi kuanza Mapinduzi.

MAPINDUZI YA KIZALENDO YA TANZANIA,shime Watanzania woooote.

tunaomba ubadili tarehe na toa mda wa maandalizi hata miezi miwili,tufanyekazi ya kutoa elimu kwa nchi nzima.na kuwaalifu wananci wote.Tunatakiwa kufanya maandamano kwa pamoja mikoa zaidi ya mitano hasa majiji makubwa.copy nilizotoa hapa mjini ujumbe umefika na hayo ndiyo maoni ya wachache niliokutana nao.
 
Back
Top Bottom